Ni sahihi mwanamke kumkosoa mume wake/boyfriend?

Ni sahihi mwanamke kumkosoa mume wake/boyfriend?

Shida yenu moja tu. Hamjui njia nzuri ya kumkosoa mtu.
Mwanamke wa kibongo anakuchamba, hawanaga lugha ya staha kabisa yani atakukejeli kama sio kukufedhehesha hata mbele za watu.
Hio ndio kitu mabaharia wengi hatutaki!
 
Ni sahihi kabisa ila njia ya kukosolewa ndo iwe ya staha na kutambua Mamlaka niliyonayo ndani ya Nyumba

Hasa nikikosea kutoa maelezo ya kitu mbele ya familia na watoto yeye ayanyooshe ila kwa ujanja akisema Kuongezea hapo kwa point nzuri ya Baba yenu alipoishia ndo aendeleze ukweli wake

Britannica
Naomba handle yako ya twita kiongozi
 
Nisahihi kumrekebisha lkn iwe ni kwa njia ambayo bado inalinda heshima kua anaongea na Mume wake.

Vingine vidogo vidogo ni vya kumezea tuu...

Vivo ivo kwa Mwanaume, hatakiwi kumkosoa mkewe kiasi cha kumfadhaisha.

Kwa mfano, Leo amekupikia chakula kibovu, usianze mambo za Ohooo chakula gan hiki sasa.. ?? Kula mwenyewe mivyakula yako?? Hiii chumvi uliweka umefumba macho???

Badala yake mwambie "Baby chakula cha jana ulipikaje, Unajua kimeshinda hiki cha leo?

Mkosoane lkn kwa hali ambayo inaendelea kulinda heshima na mipaka.
Call a spade a spade not a big spoon
 
Back
Top Bottom