Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,412
- 119,119
Au kama kuna mahali wanagawa mwambie atuonyeshehivyo viatu vya kufunika vinaokotwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Au kama kuna mahali wanagawa mwambie atuonyeshehivyo viatu vya kufunika vinaokotwa?
Hizo mwisho kwako, ukienda kwenye public vaa viatu.Labda mwenzetu ungeweka na picha tukuelewe maana unafarakana na nafsi bila sababuView attachment 1002273
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hiyo ni special case unaweza kueleweka. Lakini ukienda mjini angalia viwanda mbili vinavyo rusha vumbi hadi inakera.Wengine tuna fungus baba... Tukivaa viatu miguu inawasha sana aisee....
Wewe nimekuacha nisije nikaambiwa nakunyanyasa mabeberu wakatunyima misaada bure.Pointless Idiot
Madhara ya kupata pesa baada ya kumaliza chuo, utajaribu kuuliza hata kwanini watu wanafua chupi bafuniKwanini watu wanazurura wamevaa kandambili?! Mjini katikati mtu kavaa kandambili!
Unakuta miguu ina vumbi kupitiliza. Kwanini watu hawa wasivae viatu vinavyofunika miguu yao?!
Hizi kandambili za kuvaa huko bafuni kwenye mabafu yetu lakini kuna watu wamefanya ni kama viatu rasmi. Unakuta mtu kucha hadi zimefanana na ardhi, kwanini hawapendi kuvaa viatu?!
Kinadada wana vijikandambili wao huita simple,! Hata sielewi huu ni utamaduni au umasikini au kutokuelewa?!
Hahaha sasa ukizipata mdogo hufui kabisa nini? yani umeshazizoea au ulitaka kumaanisha nini?Madhara ya kupata pesa baada ya kumaliza chuo, utajaribu kuuliza hata kwanini watu wanafua chupi bafuni
Yani umepiga penyewe kabisa, watu wako humu wanataka iwe kawaida. Kuna jamaa chuo alikuwa anatoka Hall moja anaenda jingine anapiga mswaki, halafu akianza kujikwangua ulimi utadhani anataka kufa au mbuzi kabanwa. Yani watu wote wanacheka jamaa alivyo komaa na tabia hiyo utadhani aliisomea,hakutaka kuiacha mpaka alipo pata kabinti flani hivi.Kandambili kwetu mwisho ni chooni ni utamaduni tu sasa kwa wengine inaweza kuwa sawa
Hii ni sawa na ile mtu kupiga mswaki huku anaongea na watu dah inakera
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha bora upekue, kuliko kandambili. Ukipekua hutimui vumbi na wala hurushi tope.We jamaa acha kutufuatilia, kabla hivyo viatu vya kufunika havijaja hizo kandambili (malapa) zilikuwa zinavaliwa na wenye nazo. Kisa viraba vimekuja ndo mtuletee dharau? Fanyeni yenu bhana. Me hata peku peku natembea
Hahaha wakalelewa na single bibi pia au babu naye alikuwepo?!Hizo ndo akili za watoto waliolelewa na single mothers. Wakapelekwa kwa bibi zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetisha 😀Mie napenda kuvaa kangambili hususan summer time nafika nazo hadi mjini.
Sent using Jamii Forums mobile app