Ni sahihi kuvaa kandambili au kobazi kwenye public?

mwandende

mwandende

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2017
Messages
2,229
Likes
2,640
Points
280
Age
39
mwandende

mwandende

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2017
2,229 2,640 280
Hahaha ubora ni upi?!
MKUU sandal,, sio KANDAMBILI.... unaweza KUNYUKA LEATHER SANDAL YAKO,,,,imenyooka,,,na SHORT yako na T-SHIRT MATATA,,,,miwani,,SAA YA DUNIA,,,,earphone ,,,ukatoka MATATA,,,kuliko KUVAA VIATU kama ngarawa,,,,na KUKAZA MKANDA kiunoni KAMA NGEDERE....lazima mjuwe kwenda na wakati..sio kila sehemu MABUTI yanahusika....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N

Nanye Go

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Messages
2,065
Likes
2,152
Points
280
N

Nanye Go

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2018
2,065 2,152 280
MKUU sandal,, sio KANDAMBILI.... unaweza KUNYUKA LEATHER SANDAL YAKO,,,,imenyooka,,,na SHORT yako na T-SHIRT MATATA,,,,miwani,,SAA YA DUNIA,,,,earphone ,,,ukatoka MATATA,,,kuliko KUVAA VIATU kama ngarawa,,,,na KUKAZA MKANDA kiunoni KAMA NGEDERE....lazima mjuwe kwenda na wakati..sio kila sehemu MABUTI yanahusika....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha haya sawa
 
Forum statistics

Threads 1,262,353
Members 485,558
Posts 30,121,025