Ni sahihi kuvaa kandambili au kobazi kwenye public?

Na sisi tunao kaa huku Mbagulile mwisho wetu wapi?
Huko huko, mkija mjini vaeni viatu bye kufunika miguu. Mnatimua vumbi sana na kandambili zenu utadhani mbuzi wanaswagwa kwenda mnadani?! Miguu michafuu mnafuata nini mjini?!
 
Huko huko, mkija mjini vaeni viatu bye kufunika miguu. Mnatimua vumbi sana na kandambili zenu utadhani mbuzi wanaswagwa kwenda mnadani?! Miguu michafuu mnafuata nini mjini?!
Aksante kwa ushauri tuta jitahidi ila kutimua mavumbi kama ma ng'ombe ya mnadani ndo raha na utamaduni wetu..... tuvumiliane tuu
 
Siku hizi nikikatiza mitaa ya Dar nakutana na waliovaa ndala na soksi tena watoto wa kiume.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Siku hizi nikikatiza mitaa ya Dar nakutana na waliovaa ndala na soksi tena watoto wa kiume.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Ukute katoka mbagala mpaka posta kwa mguu. Bora atembee peku
 
Nyie mnakera sana, iwe mvua kandambili liwe joto kandambili. Mvua mnarusha tope, jua mnatimua vumbi.
Wakati wa jua tunakuwa mang'ombe wakati wa mvua tunakuwa mabata maji....😆😆😆
Kama una bisha angalia dogo wa kwenye DP yangu anavyo timua vumbi.
 
Vingine inabidi mlazimishwe kuviacha, lasivyo mtajisaidia pembeni ya barabara tukiwaachia kila kitu.
Mbona vyako vingine hulazimishwi kuacha, hivi unafikiri life style yako kila mtu anaipenda?

Wapo ambao hawataki hata kuisikia ila kwakuwa una uhuru wanakuacha na maisha yako...

leave them alone
 
Mbona vyako vingine hulazimishwi kuacha, hivi unafikiri life style yako kila mtu anaipenda?

Wapo ambao hawataki hata kuisikia ila kwakuwa una uhuru wanakuacha na maisha yako...

leave them alone
Msije mjini kaeni huko huko banana kitunda
 
Back
Top Bottom