Ni rasmi sasa VODA inafukuza wateja

Ni rasmi sasa VODA inafukuza wateja

Bepari hana urafiki wala huruma , ukiona mnaenda sawa ujue kuna mmoja kakubali kuumia kwa namna fulani, hata hao Airtel a.k.a wakwepa kodi mnaowasifia kuna jinsi mmekubali kuumia hili liko wazi kabisa(trade union mmesahau nn)
 
Tehee! Mi nilijua nipo peke yangu! Mbaya zaidi natumia line Zao Kwny iPad na simu.
NAHAMA!!
 
Vodacoma wamefanya niikumbuke laini yangu ya tiGO... Nilizoea kujiunga cheka ya mitandao yote sasa is no more....
 
Vodacom hawana uduma ya internet siku unlimited wakat Tigo watu tunajiachia tu... Vodacom na airtel majanga... yan mm najiuliza sijui siku tigo ikizingua nitaishi vipi maana ndio mkomboz wa watanzania
 
Wamebadili vifurushi ambavyo ulikuwa ukijiunga unapiga mitandao yote, lakini sasa ukinunua vifurushi hivyo unapiga voda-voda tu, huku kwenda mtandao mwingine unakatwa hela nyingi kama zamani zile! Hii ni msiba kwetu sisi walala hoi. Na kwakweli sasa inanilazimu kuuhama huu mtandao![/QUO

MKUU PENGINE UMESHINDWA KUVIELEWA HIVYO VIFURUSHI NA UMEJIKUTA UNA POTOSHA ALAF TUSI SAHAU HII NI BIASHARA.

WALICHO FANYA VODA NI KUFANYA MABADILIKO KIDOGO KWENYE MUDA WA KUPIGA MITANDAO MINGINE UKILINGANISHA NA VODA -VODA.

MFANO VIFURUSHI VYA MASAA24

TSH400=900SEC(VODA-VODA)+45SEC(MITANDAO MINGINE)+100SMS+50MB.

TSH500=1200SEC(VODA-VODA)+50SEC(MITANDAO YOTE)+250+100MB

TSH1000=3000SEC(VODA-VODA)+60SEC(MITANDAO MINGINE)+300+100MB

UKIJARIBU KUANGALIA VIFURISHI HIVI UTAGUNDUA KUWA SEC ZILIZOKUWA ZINA TUMIKA MITANDAO YOTE KWA SASA ZINA TUMIKA VODA-VODA NA BADO WAMETOA SEKUNDE KWA MITANDAO MINGINE.

SI KWELI KUWA HUPIGI MITANDAO MINGINE BALI MUDA WA KUPIGA UMEPUNGUZWA, NA HII NI BIASHARA.

Msemaji wao au.. Ukweli ni kuwa siyo wote tunaofanya nao mawasiliano ni wateja wa voda ,hivyo kupunguza sekunde kwenda mitandao mingine ni majanga. Dawa ni kuwakimbia tu hawa wanyonyaji.
 
Tigo ndio baba lao... Airtel internet zao zipo slow haziridhishi... Voda majanga m pesa yao wanakata pesa kubwa... Ni bora uweke pesa bank kuliko mpesa... Garama za kuongea zipo juu sana... Internet yao ndio usiseme kwa mwezi unlimited elfu 40000... Wakati tigo internet unlimited internet ni 18000...

Vodacom ni mtandao unaojijal wenyewe hawajali wateja wao. Garama zao ni za kukomoa
 
Tigo huwezi linganisha na airtel. Airtel wako bomba zaidi. Ukitaka kuthibitisha hilo nunu vocha ya bulk kwa Lila mtandao, then nunua vifurushi utasema mwenyewe.
 
Kabla haya mambo ya vifurushi hayajaanza mimi nilikuwa mteja wa voda na tigo. Kipindi hicho matumizi yangu ya simu kwa siku yalikuwa hayapungui sh. 4000. mara baada ya airtel kuanzisha yatosha tu kuna mtu alinishauri ninunue line yao, na kujiunga na kifurushi cha wiki cha sh. 3999. Pamoja na kutumia kwenda mitandao yote bado wiki iliisha nikiwa bado na dakika za kuongea. Na hivi sasa matumizi yangu kwa wiki hayazidi sh 4000. Lakini kuna watu wabishi we waache tu wataelewa siku moja na hili ndilo tulilitegemea. Hamieni Airtel wale walalahoi wenzangu
 
Tigo ndio baba lao... Airtel internet zao zipo slow haziridhishi... Voda majanga m pesa yao wanakata pesa kubwa... Ni bora uweke pesa bank kuliko mpesa... Garama za kuongea zipo juu sana... Internet yao ndio usiseme kwa mwezi unlimited elfu 40000... Wakati tigo internet unlimited internet ni 18000...

Vodacom ni mtandao unaojijal wenyewe hawajali wateja wao. Garama zao ni za kukomoa

Labda inategemea uko maeneo gani. Kwa maeneo ambapo airtel kuna 3G utapenda.
 
Kaka ile airtel ya siku unlimited nayo hua inakua speed sana? Maana mm nimejarib net yao ipo slow sana
 
nimechukia sana, situpi line ila siweki voucher nitaweka ya mitandao mingine. Kama tigo sijaweka voucher nina karibu mwaka nikiweka ni mia tano tu basi na ni baada ya miezi miwili. wamenitumia message mpaka wamekoma eti weka voucher tutakupa zawadi mara nini na siweki sasa voda nao nimewaongeza. Na sasa nichukua line ya zantel ili airtel nao wakianza nihamie zantel
 
Tigo internet yake iko slow sana ila airtel iko faster like voda,lakn airtel ukipata sehemu iliyotulia network,kwa mm voda wameniua sana.
 
Ni afadhali kuhama wadau. Mimi nilikuwa najiunga kwa kifurushi cha 2000 kwa wiki mitandao yote na sasa hakipo. Tigo kuna vifurushi gani kwa wiki? Nataka nihamie huko
 
Back
Top Bottom