Ni rasmi sasa VODA inafukuza wateja

Ni rasmi sasa VODA inafukuza wateja

Mtabeba vifurushi vyenu matakataka milele. Hebu njoo mabibo hostel au bakwata au riverside uone kama simu kuna kusikilizana au chomeka modem uone kama utapata kitu
 
Pia usipotumia Line kwa mda wa mwezi mmoja wanakufungia Line.
Hawa dhahiri hawaitaji wateja.kwa hali hiyoooo bora ni baki tu.huku tigo nijiexpresss my'self....na Baba laooooo.......
 
Aiseeee hawa watu ni wezi sijapata kuona hivi kumbe ndo maana wanakuaga na viofa vya kipumbafu kumbe wanajua hela yao watarudishaje?
 
Naona voda wamefika mahali wakaridhika na vifurushi vyao lakin kuanzia sasa wakae wakijua kuwa wateja wanahama maana wamezidisha urasimu
 
Mabadiliko hayo ni makubwa sana.
Airtel yatosha mingine ya nini! Hamia airtel mi na shemeji yako tupo airtel tunaenjoy life.
 
Yaani unaweka kifurushi na hata kabla hujatumia unaletewa meseji eti kimeisha. Na hii miji. nga ya TCRA ipo ipo tu inacheka cheka kwenye Semina za posho
 
Tulishaamiaga Airtel Baba Lao, Voda na Tigo sasa hivi wakae pemebeni kwanz, line ya Voda hata sikumbuki niliitumia lini, kwani Airtel Yatosha.
 
Chezea RA na EL weye?wanawakamua watanzania kwa kwenda mbele!MAMBO YOTE AIRTEL
 
majanga tu.kiukweli wengi twaipenda na kuitumia voda,lakini sasa wamebugi men.voda you a mwizi now GO !
 
HAWAFAI VODACOM hawafai
jana tu nimeingiza vocha nilipojiunga wakaniambia

  • salio lako halitoshi
  • kuulizia salio kweli wameshakata na sababu siijui

Kweli kabisa voda wana kichefuchegu sana. Yaani hata sijui nielezeje wameshapata za kutosha sasa kiburi kimewajaa. Unatamani kumrushia mtu konde hata la uso basi tu.
 
Yani mimi VODA wananikera sana sana mpaka sasa nimeamua kuhamia TIGO. Sitaki tena kutumia VODA wanaboa sana yani ikifika saa tisa tu network inakata kabisa mpaka saa sita za usiku ndo inarudi.
 
Uwizi wa voda hauko ktk vifurushi.hata ktk ajira zao ambazo wamebinafsisha kwa kampuni nyingi ikiongozwa na erolink.ajira zilizo baki ni za wachaga tu
 
Uwizi wa voda hauko ktk vifurushi.hata ktk ajira zao ambazo wamebinafsisha kwa kampuni nyingi ikiongozwa na erolink.ajira zilizo baki ni za wachaga tu

Loh! Wachaga??? Hivi hiyo ni kweli au ni maneno tu??
 
Uwizi wa voda hauko ktk vifurushi.hata ktk ajira zao ambazo wamebinafsisha kwa kampuni nyingi ikiongozwa na erolink.ajira zilizo baki ni za wachaga tu

Sijakuelewa mkuu inamaana wachaga nao wanamiliki sehemu ya voda? Wachaga ni noma!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom