Tigo hoyeeee
Ukiona kijiji kizima kinalalamika ujue kuna tatizo
GB 1.mimi ni mteja wa 9999 kwa mwezi AIRTEL. Dakika 300 sms 7000 na 1gb. Halafu kila unapotumia unajulishwa kiasi kilichobaki.Voda wanakata kimyakimya hasa wakigundua umebaki na salio mpaka walimalize ndo unapigiwa kengele.Airtel nao majanga tu,
Hapo kabla ilikua ukilipa 999/- unapata
dakika 61,
SMS 5,000 na
But now unapata dakika 40
SMS _ _ _
300 MB