Ni rasmi sasa VODA inafukuza wateja

Ni rasmi sasa VODA inafukuza wateja

Ninayo zantel mkuu ila zile za mwanzo ambazo hazitumia line.. issue ni kununua kifurushi.. plz naomba unielekeze mkuu kama unajua jinsi ya kununua kifurushi kwa zantel..
 
dah nikajua labda kwangu ndo kuna shida...ni siku ya 3 sasa modem ya voda GSM sijui nini icho?yani wamepolomoka vibaya sana na wanaboa kishenzi,internet yao imekua mbovu balaa
kesho mapema nahamia airtel sijui vifurushi vyao vikoje?interent je?

nchi za wenzetu afrika tu wameweka miundombinu dhabiti ya net hakuna mafua haya,afu serikali hii ya bongo ndo inazidi kurudi nyuma ktk sekta nyeti ya mawasiliano WHY?

mamlaka butu ya mawasiliano, wizara feki na serikali hoi

Sure mkuu. Hapo kwenye sentensi ya mwisho pigia mstari. TCRA hawana maana kabisa. Sijui hata wanalipwa kwa kazi gani. Mfano, waliwahi kuja na "ngonjera" za kupiga mitandao yote kwa gharama ile ile. Mpaka leo kimyaa! Haya makampuni ya mawasiliano ni kama hayana udhibiti kabisa. Wanafanya wanachojisikia. Afadhali hata EWURA huwa wanatutangazia "Shirika la giza" wanapotaka kuongeza bei ya giza!
 
Ni kweli ndugu juzi walinitumia sms kuwa vifurushi vitabadilika nikawahi kununua cha mwezi mzima, kikiisha tu narudia line yangu ya tigo na airtel! Line ya voda inakaa bench kwanza mpaka wajirekebishe.

Heri yako wewe umeachiwa umalizie kifurushi chako mkuu,me nilitumiwa sms ya kuelezwa mabadiliko kama wewe unavyosema,na nilikuwa nimenunua ya wiki siku mbili nyuma,jana asubuhi kabla sijapiga simu yoyote nikaangali balance ya kifurushi nikakuta nina sec.1062 lkn baada ya kupiga simu 2 tu ambazo zote kwa pamoja zilighalimu kama dk.8 wakapita nazo zote. Kwa kifupi hawa jamaa kwa sasa hawafai!
 
Kama Voda wameanza na wengine wataanza soon ts kupiga simu starehe kama kunywq bia

Tambua Voda + Airtel wameiga Kunya kwa tiGO..
Sasa yawatokea puani..
Mfumo wa kibiashara wa Voda na Airtel unawabana sana..
tiGO ina staff wachache sana,ila ina Wajasiria mali wengi wanaoiingizia faida kubwa..Voda + Airtel wana Staff wengi na Majengo mengi na yanawabana sana,hivyo kulazimika kuwaibia wateja!!
 
Voda kweli ni weezi, jana nimeweka kifurushi cha voda to voda kea dk 20 na msg ikaja kuwa nina dk 20! Ile kupiga, dk mbili tu ikakomba na hata zile zilizokuwa nje ya kifurushi!

Wizi mtupu! Natumia Voda kwa dharura tu, nimeridhika ns Airtel.
 
mimi walikata hela badala ya dakika za cheka sijui tuwe tunabaki na salio 0 voda majanga
 
Hamia airtel.ukinunua baba lao yatosha kwa mwezi 9999/=Tshs utapiga mitandao yote voda, tigo, zantel kwa kipindi cha mwezi mzima.
 
Wamebadili vifurushi ambavyo ulikuwa ukijiunga unapiga mitandao yote, lakini sasa ukinunua vifurushi hivyo unapiga voda-voda tu, huku kwenda mtandao mwingine unakatwa hela nyingi kama zamani zile! Hii ni msiba kwetu sisi walala hoi. Na kwakweli sasa inanilazimu kuuhama huu mtandao!
siku hizi ndio maana kuna simu za duos ni kwa ajili hii mkuu ulikuwa hujui nini ndo ukanunue hizi simu ili maisha yawe rahisi..
 
Mtusamehe kwa sasa tunataufa hela ya sikukuu na ada za watoto hili swala lenu litashughulikiwa kuanzia February mwakani.
 
Kila ukipeleka kitambulisho kwa wakala utakuta msg inakuja utambulisho ni wa mda peleka kitambulisho mambo haya ya kipuuzi hayapo tiGo . VODA wahuni kila mahali
 
Nawaunga mkono wachangiaji wa thread hii ya voda, kwani network yao inasumbua mno, unapiga simu unaambiwa error in connection, hii inaonesha voda wamebweteka baada ya kuwa na wateja wengi, ukigeukia upande wa m-mpesa ndo michoshoooo, hivi hapa tz tcia kazi yenu ni nini? Ama nyie mmeajiriwa ili kukaa ofisini na kuyachunia matatizo ya walipa kodi ili wanao wasome shule nzuri?
 
Angalau kifurushi cha 7,000/= kwa wiki kina afadhali kidogo.

Ila kifurushi hiki nilichojiunga kikiisha naachana nao.
Mimi nipo kwenye hicho kifurushi. Ni ujinga kwa Tshs 7,000/- kunipa 21000 seconds voda yo voda na 420 seconds (7 minute) networks nyingine... Wizi mtupu
 
Wamebadili vifurushi ambavyo ulikuwa ukijiunga unapiga mitandao yote, lakini sasa ukinunua vifurushi hivyo unapiga voda-voda tu, huku kwenda mtandao mwingine unakatwa hela nyingi kama zamani zile! Hii ni msiba kwetu sisi walala hoi. Na kwakweli sasa inanilazimu kuuhama huu mtandao![/QUO

MKUU PENGINE UMESHINDWA KUVIELEWA HIVYO VIFURUSHI NA UMEJIKUTA UNA POTOSHA ALAF TUSI SAHAU HII NI BIASHARA.

WALICHO FANYA VODA NI KUFANYA MABADILIKO KIDOGO KWENYE MUDA WA KUPIGA MITANDAO MINGINE UKILINGANISHA NA VODA -VODA.

MFANO VIFURUSHI VYA MASAA24

TSH400=900SEC(VODA-VODA)+45SEC(MITANDAO MINGINE)+100SMS+50MB.

TSH500=1200SEC(VODA-VODA)+50SEC(MITANDAO YOTE)+250+100MB

TSH1000=3000SEC(VODA-VODA)+60SEC(MITANDAO MINGINE)+300+100MB

UKIJARIBU KUANGALIA VIFURISHI HIVI UTAGUNDUA KUWA SEC ZILIZOKUWA ZINA TUMIKA MITANDAO YOTE KWA SASA ZINA TUMIKA VODA-VODA NA BADO WAMETOA SEKUNDE KWA MITANDAO MINGINE.

SI KWELI KUWA HUPIGI MITANDAO MINGINE BALI MUDA WA KUPIGA UMEPUNGUZWA, NA HII NI BIASHARA.

ulichotuambia hapo tulishaambiwa hameni Voda mi line yao nimeweka kwenye walet. Kitu Tigo tangu nasoma mpaka Leo. Airtel afaadhali naona mama naye anatumia. Achana na voda wadau wezi wanyonyaji hao.
 
Back
Top Bottom