atubariki
JF-Expert Member
- Oct 26, 2011
- 225
- 17
Mie ndo kabisa huwa naiweka laini yao tu hewani coz wateja wangu wameizoe ila mapango mzima ni airtel hakatwi mtu hapa hamia airtel Voda hawana jipya (ila ushauri wangu kwa voda wamchunguze huyo meneja biashara wao labda katumwa kuharibu biashara yao take care!)