Ni rafiki wa kawaida ila ana wivu wa kimapenzi.

Unafanya biashara gani mkoloni? Movie industry nini? Usinijibu natania, ila was trying to connect dots.
 
kwa nini awe na wivu?au kipindi cha kufukuziana ulipita hapo siku moja?maana sioni sababu ya msingi kwa yeye kuwa na wivu

ckuwah kupita hata kdogo.. Nashndwa kuelewa kwa nini ana wivu wakat yeye alishanikataa.
 
nimekaa naye sana ila bado hanielewi... Nafikiria hata kukatisha mahusiano ya kibiashara ila nahofia usumbufu utakaojtokeza kwa sababu naye pia ni mtu muhimu katika biashara yangu.

Mkoloni am sorry to tell you you really love this lady yani tena hasa, asingekusumbua kichwa kiasi hicho kama ni biashara tu ndo unahofia. katika biashara kuna ups and down, kushindwa na kuweza, kuporomoka kabisa na kuanza upya.... lakini wewe biashara yako tayari unaijua na unajua nini ufanye ili ufike utakapo, hata huyo dada asipokuwepo naamini utaweza tu! issue kwako iko kua "you can not imagine living without her, yani katika roho yako hata kama atamkubali mke wako yeye asiondoke mana hata ukimuona tu unaridhika. Rafiki you are in big trouble.
 
Huyo rafiki yako ni bomu la hatari sana!

Alikuwa anakupenda sana ila inawezekana na wewe ulishindwa kusoma maandiko ubaoni. Usipokuwa mwangalifu basi ujiandae kuwa nao wawili!!

Mzee DC
 
Mkoloni am sorry to tell you you really love this lady yani tena hasa, asingekusumbua kichwa kiasi hicho kama ni biashara tu ndo unahofia. katika biashara kuna ups and down, kushindwa na kuweza, kuporomoka kabisa na kuanza upya.... lakini wewe biashara yako tayari unaijua na unajua nini ufanye ili ufike utakapo, hata huyo dada asipokuwepo naamini utaweza tu! issue kwako iko kua "you can not imagine living without her, yani katika roho yako hata kama atamkubali mke wako yeye asiondoke mana hata ukimuona tu unaridhika. Rafiki you are in big trouble.

nashukuru sana Asha D kwa ushauri wako. Yan kwa kwel nimehc amani baada ya kulileta hl suala hapa lijadiliwe na Great Thinkers. Ntaufanyia kaz ushauri wako na nitakupa feeback. Be blessed.
 
heheheh ndo hivyo alishindwa kuzitambua hisia zake mwanzo naona sasa ubongo wake unazunguka ...pole zake wewe endelea na mipangilio yako kwani sio kosa lako
 
nampenda as a bussines partner. Sasa anavyokuwa anamchukia huyo mchumba angu huwa inaniletea tabu kwa sabcu mchumba angu hana amani na huwa ananishaur niache kufanya naye.

Kwani mnashare capital?
 
endeleza mchakato wa kuweka ndani huyo bibiye mpya.yule demu wa mwanzo aliyekuringia,muombe tena zigo.akikubali mgonge ngozi halafu mpotezee..si alikuringia?siku akijipendekeza kula mzigo halafu piga chini fasta.

NB:...changanya na za kwako!
 
nashukuru sana Asha D kwa ushauri wako. Yan kwa kwel nimehc amani baada ya kulileta hl suala hapa lijadiliwe na Great Thinkers. Ntaufanyia kaz ushauri wako na nitakupa feeback. Be blessed.
Kama hili ndo jibu unalotoa kwa post ya Asha D hapo juu, nina mashaka kama umemwelewa....
 
Dah, mkoloni naona ulishindwa kumsoma vizuri huyo businesi partner wako. Kuna uwezakano mkubwa kwamba yeye ndo mtu unayeweza kuishi naye na mkaendesha maisha vizuri. Hasa eneo la uchumi, sasa tulia kwanza, usiwe na haraka na huyu unayemwita mchumba, jipe muda wa kuituliza akili na nafsi yako kwanza. Angalia usije ukamkumbuka na kujutia maamuzi yako. Usiizingatie sana hiyo sitaki nataka, yawezekana kugoma kwake na kutoruhusu mapenzi mapema ndo kumesababisha hayo maendeleo. Zichange vizuri karata zako.
 
nimesha mweleza mchumba wangu ila c unajua tena mambo ya wanawake yalvyo. Amekuwa akiniuliza mara kwa mara kuhusu huyo rafiki.

I like your signature "Ubaya wa Nyoka ni sumu siyo magamba" thank you!
 
endeleza mchakato wa kuweka ndani huyo bibiye mpya.yule demu wa mwanzo aliyekuringia,muombe tena zigo.akikubali mgonge ngozi halafu mpotezee..si alikuringia?siku akijipendekeza kula mzigo halafu piga chini fasta.

NB:...changanya na za kwako!

ushaur ni mzur ila me haunifai kwa sababu ntakuwa nimeongeza mzigo juu ya mzigo.
 
asilimia 70 ya mtaji ni wa kwangu. Ye huniweza kupata bidhaa kwa urahc toka abroad coz tayar ana uzoef ktk hii biashara.

Na yawezekana huyo mchumba hana uzoefu, wala biashara haijui. Usipo angalia vizuri huyu mchumba ukimuoa unaweza mkaishi maisha machungu kweli kweli, kwa sababu kuna wakati huyu dada wa mwanzo ataendesha uchumi wenu. Lazima itabidi kila kinachotumika kutokana na hiyo biashara ajue na ashauri, dah nani atakuwa mke hapo kama sio huyu mshauri?
 
Haya kwa heri Mkoloni, changanya na za kwako, Na Mungu akusaidie, ushinde hilo jaribu/changamoto unazokumbana nazo. Barikiwa.
 
Haya kwa heri Mkoloni, changanya na za kwako, Na Mungu akusaidie, ushinde hilo jaribu/changamoto unazokumbana nazo. Barikiwa.

ahsante. Naamini mungu atanisaidia na pia ntatumia shauri zote mlzonishaur il kuweza kulishnda hl jaribu..
 
Back
Top Bottom