Ni rafiki wa kawaida ila ana wivu wa kimapenzi.

nilshndwa kumwelewa. Ila now ndo nimeelewa kumbe alikuwa analeta poz mtoto.

Amini usiamini Mkoloni huyo dada akujua wewe una umuhimu to what extent, alikuchulia kawaida saaana sasa bahati mbaya kagundua ni kinyume. I feel for her (ila sina maana kua mhalalishe), kikubwa kaa nae chini mresolve hi issue, itawasumbua sana.
 
Hii story inahusianaje na siasa?nadhani sio sehemu yake Mods hamisha hii pls....inaturushia steam za kujadili vitu vya maana..
 
nampenda as a bussines partner. Sasa anavyokuwa anamchukia huyo mchumba angu huwa inaniletea tabu kwa sabcu mchumba angu hana amani na huwa ananishaur niache kufanya naye.

Tafuta business partner mwingine kama vipi fanya biashara alone. Huyo dada mnakoelekea atakuja kukubaka utaja tuambia humu humu. Si alikukataa, utashangaa anaomba kuwa kimada. Nina mifano kama wako.
 
Maskini naona anajuta saa hizi, ningejua ninge... kibao, inanikumbusha movie ya My bestfriend wedding

LOL always one of my fav when am down. I really wished the gay friend would have been straight to end up with Julia Robets.
 
Kaka bado haujachelewa. Kama bado wampenda huyo sitaki nataka, vunja uchumba na huyo nataka nataka. Maana ninachoona hapo isije ikawa unaoa huku roho iko kwa sitaki nataka, bi arusi mtarajiwa asije anza maisha ya ndoa kwa kuchangia. Maana tunakubali cheating zipo lakini at least a girl needs a faithful husband for the first 5 years.
 
Habar zenu great thinkers wote? Mimi ni kijana mfanya biashara, niliwah kupata rafik wa kike katika biashara zetu na ilitokea tukawa karibu zaidi kitu ambacho kilisababisha niwe na hisia za kimapenzi naye. Nilitokea kupenda awe mchumba wangu ili baadaye tufunge ndoa ila nilipo mueleza mwenzangu akasema yeye hayuko tayar kuwa na mahusiano nami hvyo haitawezekana.. Niliumia sana mwisho wa siku ilinibid niyaheshmu maamuz yake na ndipo nilipochukua ustaarabu wa kutafuta mchumba mwngne ambaye ndo natarajia kufunga naye ndoa.. Tangu nilipopata mchumba huyo yule rafiki yangu wa kike alianza kumchukia na kuanza kuwa na wivu. Na hata kwenye sherehe ya kumvisha pete huyu laaziz wangu mpya ye hakutokea bila sababu ya msingi.. Yani ananiweka kwenye wakat mgumu kwan amekuwa akimchunia na hata kuonesha chuki ya wazi kabisa... Naombeni msaada wenu waungwana. Ninateseka sana.

Mkoloni,angalia hapo kwenye red,kisebusebu na kiroho papo,wewe bado una hisia na huyo unayemwita 'business partner' wako, vinginevyo usingeteseka.Nakushauri uhairishe harusi ili bongo yako uiweke sawa kwanza na kuwa na uhakika nini unataka maishani mwako,vinginevyo utaishia kuumiza nafsi yako na ya wenza wako.
 
123nguruwe.jpg
nguruwe pita leo sina mkuki. huyo alikuwa na kisebusebu na kiroho papo, ENDELEA NA HUYO WA PILI HUYO WA KWANZA NI MSUMBUFU.

huyu wa kwanza ni rafik katika biashara, nksema nimpotezee kikatil inaweza kuharibu biashara zangu.
 
Amini usiamini Mkoloni huyo dada akujua wewe una umuhimu to what extent, alikuchulia kawaida saaana sasa bahati mbaya kagundua ni kinyume. I feel for her (ila sina maana kua mhalalishe), kikubwa kaa nae chini mresolve hi issue, itawasumbua sana.

nimekaa naye sana ila bado hanielewi... Nafikiria hata kukatisha mahusiano ya kibiashara ila nahofia usumbufu utakaojtokeza kwa sababu naye pia ni mtu muhimu katika biashara yangu.
 
Mkoloni,angalia hapo kwenye red,kisebusebu na kiroho papo,wewe bado una hisia na huyo unayemwita 'business partner' wako, vinginevyo usingeteseka.Nakushauri uhairishe harusi ili bongo yako uiweke sawa kwanza na kuwa na uhakika nini unataka maishani mwako,vinginevyo utaishia kuumiza nafsi yako na ya wenza wako.

cna hisia za kimapenz kwake tena hata kidogo. Nimesema nateseka kwa sababu kila siku ninapotoka kwenye biashara zangu lazma ni solve ugomvi na mchumba wangu kuhusu huyo bnt wa kwanza. Na pia nateseka kwa sababu naona na biashara znaanza kukwama.. Nashukuru kwa ushaur wako, ntaufanyia kazi
 
huyu wa kwanza ni rafik katika biashara, nksema nimpotezee kikatil inaweza kuharibu biashara zangu.

Du. Kama kumpotezea ni ngumu sijuhi tukusaidieje. Embu tueleze ukweli toka rohoni ili tuweze kuchangia mawazo. This issue is very serious. Kwa sasa regardless umemchumbia mtu, unampenda nani? Na hiyo biashara ni kweli ni equal partners au 'sitaki nataka' anaku finance?

Siwezi kujua ugumu wa kufanya biashara bila huyo 'partner' ila chunguza sana tatizo laweza kuwa si biashara ila roho yako haiko kwa huyo wife to be. Huu ni muda wa kutafakari na kuchukua hatua kabla hujaingia kwenye ndoa. Kwani ukishaoa ndugu talaka ni ngumu. Bora umwache dada wa watu usione vibaya kwani atapata mwenza mwingine kama roho yako iko kwa 'sitaki nataka'.
 
Kaka bado haujachelewa. Kama bado wampenda huyo sitaki nataka, vunja uchumba na huyo nataka nataka. Maana ninachoona hapo isije ikawa unaoa huku roho iko kwa sitaki nataka, bi arusi mtarajiwa asije anza maisha ya ndoa kwa kuchangia. Maana tunakubali cheating zipo lakini at least a girl needs a faithful husband for the first 5 years.

ki ukwel nampenda xana mchumba wangu.. Huyu ctak nataka nlshajitoa kumpenda kimapenzi..
 
Tafuta business partner mwingine kama vipi fanya biashara alone. Huyo dada mnakoelekea atakuja kukubaka utaja tuambia humu humu. Si alikukataa, utashangaa anaomba kuwa kimada. Nina mifano kama wako.

ahsante mkuu.. Ntalifanyia kaz hlo.
 
nampenda as a bussines partner. Sasa anavyokuwa anamchukia huyo mchumba angu huwa inaniletea tabu kwa sabcu mchumba angu hana amani na huwa ananishaur niache kufanya naye.

MKUU HAPO KWENYE RED sidhani.. i can read between your lines you are still obsessed with her.... kabla hujaenda mbali na mchumba wako mpya think twice ...
 
Du. Kama kumpotezea ni ngumu sijuhi tukusaidieje. Embu tueleze ukweli toka rohoni ili tuweze kuchangia mawazo. This issue is very serious. Kwa sasa regardless umemchumbia mtu, unampenda nani? Na hiyo biashara ni kweli ni equal partners au 'sitaki nataka' anaku finance?

Siwezi kujua ugumu wa kufanya biashara bila huyo 'partner' ila chunguza sana tatizo laweza kuwa si biashara ila roho yako haiko kwa huyo wife to be. Huu ni muda wa kutafakari na kuchukua hatua kabla hujaingia kwenye ndoa. Kwani ukishaoa ndugu talaka ni ngumu. Bora umwache dada wa watu usione vibaya kwani atapata mwenza mwingine kama roho yako iko kwa 'sitaki nataka'.

katika biashara 2ko sawa yaan ni equal partiner. Cmpend kimapenz hata kdogo.... Hata haya mafanikio kduchu nloyapata yamechangiwa na huyu ctak nataka sasa hapo ndo maana nashndwa kumpotezea katika biashara.
 
Ndio shida ya kuwa na business partner opposite sex, japo hakuna haja ya kulaumu kwa sasa. Mwambie huyo sitaki nataka ukweli kuwa umemwona anakubadilikia na hiyo ni hatari kwa biashara zenu. Ingawa mambo ya wanawake sijuhi kama atakuwa na busara ya kukusikiliza, akawii kukwambia "Eh na mimi nilikuwa nasubili useme, biashara na wewe basi" maana najua tuna jazba sana most of us women.
 
Back
Top Bottom