Ni rafiki wa kawaida ila ana wivu wa kimapenzi.

Vyema mkuu...nakumbuka kipindi nikiwa mvulana nilipata kua na rafiki binti whom nadhani kwa ajili ya ukaribu wetu nilienda too far lakini akasema hapana...nikachukia sana...nikaamua kuachana nae na kuelekeza kichwa changu kwenye elimu nikidhani namkomoa...hakunichukia...kwa kweli leo hii yeye ni mmoja kati ya watu waliochangia kujenga personality yangu kwa kua by the time km angekubaliana nami si mimi wala yeye agekua alipo sasa!
Nachokuaminisha hapa ni kua mapenzi yapo na yanapita ila maisha kwanza...ukifanya maamuzi sahihi utapata two in one!
 
Duuh namuonea huruma ila atapata fundisho huyo siku nyingine harudii tena sitaki nataka....hiyo ilikuwa enzi zetu sisi, siku hizi warembo ni wengi na waoaji ni wachache.
 
Vyema mkuu...nakumbuka kipindi nikiwa mvulana nilipata kua na rafiki binti whom nadhani kwa ajili ya ukaribu wetu nilienda too far lakini akasema hapana...nikachukia sana...nikaamua kuachana nae na kuelekeza kichwa changu kwenye elimu nikidhani namkomoa...hakunichukia...kwa kweli leo hii yeye ni mmoja kati ya watu waliochangia kujenga personality yangu kwa kua by the time km angekubaliana nami si mimi wala yeye agekua alipo sasa!
Nachokuaminisha hapa ni kua mapenzi yapo na yanapita ila maisha kwanza...ukifanya maamuzi sahihi utapata two in one!

ok mkuu nashukuru kwa ushaur. Ntajtahd kulsolve kwa umakini ili nipate yaliyo mema ila c kwa kuoa wanawake wawili.
 
sijaelewa kinachokuumiza roho kwamba hapo ninini haswaaaaa!!!!

bado unampenda au unaumia anavyokufanyia?? kwani yy njia kwamba utapita wapi?? au yy kawa Mungu kwamba utamuomba nani?? aaaaaahh
 
naumia jinsi anavyonifanyia na pia namuonea huruma huyu bi mdada mwingine anavyoteseka......
 
Well km ndivyo basi nikuhakikishie huyu mwanadada ndo alitakiwa kua mkeo...
Kwa kutumia tu akili ya kawaida huyu binti asingekua na msimamo mngeishia kupotezeana muda tu kitandani na mwishowe hata biashara ingekufa lakini kwa kuonesha ujasiri alikuambia hapana..na bado mkaendelea kufanya biashara pamoja! Sipo moyoni mwako ila nikuhakikishie ulilofanya sasa la kuvisha sijui pete ni kumkomoa mwenzako na for sure utaregreat muda si mrefu! Nikutakie tu ndoa njema ila una muda wa kutafakari

We kaka unapatikana wapi aisee!!!
Siku nyingi sijaongea na watu wenye upeo wa kufikiri kimtego mtego kama wako.
Yani mkoloni, anataka kutema bigijiiii kwa karanga za kuonjeshwa..............
Ha ha ha ha.............Mwanamke mpenda maendeleo hatangulizi mapenzi kwenye ishu za maendeleo Mkoloni wangu.
Njooo hapa Rombo nikupe kata ya mbege huku tukiongea vizuri, kielewekee.
 
ndo nipo kwenye mchakato wa kushuriana na baadh ya ndugu kuhusu hl swala la kuahrisha haruc.. Kinachoniuma zaid ni ile pete ya uchumba nlo mvisha huyu bnt mtarajiwa wangu...

Mkoloni, Mkoloni, Mkoloni, Mkoloni, Mkoloni, Mkoloni !!!!!!

Uko tayari kuweka maisha yako rehani kwa sababu ya pete??????????????????????????????????????????????????

Mzee DC!
 
naumia jinsi anavyonifanyia na pia namuonea huruma huyu bi mdada mwingine anavyoteseka......

Samahani sana Mkoloni,

Naweka mistari miwili tena mikubwa (conclusion) kwamba una matatizo makubwa ingawa hujijui. Unahitaji kumwona mtaalamu wa saikolojia haraka sana!! Huwezi kuongea maneno kama hayo halafu ukadai uko fit 100%.....No please my dear!
 
We bwana ulikuwa ukihitaji mchumba na umempata mmefikia hatua yakuwa mme na mke/kufunga ndoa tulia jenga mji presha ya nini wakati ulichokitaka umeshakipata? Huyo rafiki yako usimfikirie tena. Labda kama na we unamtamani useme.
 
We kaka unapatikana wapi aisee!!!
Siku nyingi sijaongea na watu wenye upeo wa kufikiri kimtego mtego kama wako.
Yani mkoloni, anataka kutema bigijiiii kwa karanga za kuonjeshwa..............
Ha ha ha ha.............Mwanamke mpenda maendeleo hatangulizi mapenzi kwenye ishu za maendeleo Mkoloni wangu.
Njooo hapa Rombo nikupe kata ya mbege huku tukiongea vizuri, kielewekee.

mbege ikishapanda kichwani kuna kitu kitaelewka hapo?:crying:
 
Samahani sana Mkoloni,

Naweka mistari miwili tena mikubwa (conclusion) kwamba una matatizo makubwa ingawa hujijui. Unahitaji kumwona mtaalamu wa saikolojia haraka sana!! Huwezi kuongea maneno kama hayo halafu ukadai uko fit 100%.....No please my dear!

mmmh!!!!!!! nimechanganyikiwa ndugu yangu,
 
naumia jinsi anavyonifanyia na pia namuonea huruma huyu bi mdada mwingine anavyoteseka......
Vunja ndoa hiyo usifaye kubahatisha kwwenye hilo tanzi la maisha, maana kama hujampenda hata akikukosea kidogo huwezi kumvumilia
 
nampenda as a bussines partner. Sasa anavyokuwa anamchukia huyo mchumba angu huwa inaniletea tabu kwa sabcu mchumba angu hana amani na huwa ananishaur niache kufanya naye.

Anakoelekea atakuharibia mwelekeo wako, na hasa ukizingatia ulishakuwa na hisia naye.................. watch out!
 
Mkuu sana LD mimi ni mfanyakazi za ndani kwa mama mmoja bepari wa Kinyasa...ndo kaniweka mjini hapa! Akijua nina acess na watu wa nje ananirudisha kijijini kwetu Mwakaleli - Kandete-Tukuyu - Rungwe - Mbeya!
 
Back
Top Bottom