Ni rafiki wa kawaida ila ana wivu wa kimapenzi.

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
11,556
7,085
Habar zenu great thinkers wote? Mimi ni kijana mfanya biashara, niliwah kupata rafik wa kike katika biashara zetu na ilitokea tukawa karibu zaidi kitu ambacho kilisababisha niwe na hisia za kimapenzi naye. Nilitokea kupenda awe mchumba wangu ili baadaye tufunge ndoa ila nilipo mueleza mwenzangu akasema yeye hayuko tayar kuwa na mahusiano nami hvyo haitawezekana.. Niliumia sana mwisho wa siku ilinibid niyaheshmu maamuz yake na ndipo nilipochukua ustaarabu wa kutafuta mchumba mwngne ambaye ndo natarajia kufunga naye ndoa.. Tangu nilipopata mchumba huyo yule rafiki yangu wa kike alianza kumchukia na kuanza kuwa na wivu. Na hata kwenye sherehe ya kumvisha pete huyu laaziz wangu mpya ye hakutokea bila sababu ya msingi.. Yani ananiweka kwenye wakat mgumu kwan amekuwa akimchunia na hata kuonesha chuki ya wazi kabisa... Naombeni msaada wenu waungwana. Ninateseka sana.
 
huyo mdada alikuwa anakutaka na anakupenda ila alikuwa anajifanya hataki....na hilo ni tatizo la wengi wanaopendwa na kutojiamini.
ngoja niulize, kwan akimchukia mpenz wako ww unapata tabu ya nn? si umpotezee tu ili muish vema na mpenzio? au bado unampenda huyo mdada?
 
Staki nataka..staki nataka..staki nataka!Alidhani utaendelea kumbeleza bila kujua mwenzake ni kati ya wale wanaochukulia hapana kua hapana badala ya kuitafsiri kama ndio!
 
mpotezee ushakuwa na mahusiano na mpenz mwingne na isitoshe huyo ndo mke wako hata auchune afanye nn cha msing mweleze ukwel mkeo yasije yakapkwa maneno mkeo akakuona na ww ufai just tel her the truth b4 ulivyokuwa nae sizitaki mbichi hizi zmemponza
 
nampenda as a bussines partner. Sasa anavyokuwa anamchukia huyo mchumba angu huwa inaniletea tabu kwa sabcu mchumba angu hana amani na huwa ananishaur niache kufanya naye.
 
nilshndwa kumwelewa. Ila now ndo nimeelewa kumbe alikuwa analeta poz mtoto.
 
mpotezee ushakuwa na mahusiano na mpenz mwingne na isitoshe huyo ndo mke wako hata auchune afanye nn cha msing mweleze ukwel mkeo yasije yakapkwa maneno mkeo akakuona na ww ufai just tel her the truth b4 ulivyokuwa nae sizitaki mbichi hizi zmemponza

kwel man inabidi amwambie huyo mkewe mtarajiwa isije ikawa taabu.
 
mpotezee ushakuwa na mahusiano na mpenz mwingne na isitoshe huyo ndo mke wako hata auchune afanye nn cha msing mweleze ukwel mkeo yasije yakapkwa maneno mkeo akakuona na ww ufai just tel her the truth b4 ulivyokuwa nae sizitaki mbichi hizi zmemponza

nimesha mweleza mchumba wangu ila c unajua tena mambo ya wanawake yalvyo. Amekuwa akiniuliza mara kwa mara kuhusu huyo rafiki.
 
nampenda as a bussines partner. Sasa anavyokuwa anamchukia huyo mchumba angu huwa inaniletea tabu kwa sabcu mchumba angu hana amani na huwa ananishaur niache kufanya naye.

kazi ipo kubwa sana....wote wanachukiana.....angalia mwenye maana zaidi kwako...fanya uamuzi unaomuweka yeye kwenye amani na kukupunguzia tabu :rant:
 
Maskini naona anajuta saa hizi, ningejua ninge... kibao, inanikumbusha movie ya My bestfriend wedding
 
huyo mdada alikuwa anakutaka na anakupenda ila alikuwa anajifanya hataki....na hilo ni tatizo la wengi wanaopendwa na kutojiamini.
ngoja niulize, kwan akimchukia mpenz wako ww unapata tabu ya nn? si umpotezee tu ili muish vema na mpenzio? au bado unampenda huyo mdada?

sitaki, nataka
au alikuwa anatest kiberiti kimejaa au la!
 
123nguruwe.jpg
nguruwe pita leo sina mkuki. huyo alikuwa na kisebusebu na kiroho papo, ENDELEA NA HUYO WA PILI HUYO WA KWANZA NI MSUMBUFU.
 
kazi ipo kubwa sana....wote wanachukiana.....angalia mwenye maana zaidi kwako...fanya uamuzi unaomuweka yeye kwenye amani na kukupunguzia tabu :rant:

ahsante kwa ushauri. Ntaufanyia kaz.. Ubarikiwe sana
 
kwa nini awe na wivu?au kipindi cha kufukuziana ulipita hapo siku moja?maana sioni sababu ya msingi kwa yeye kuwa na wivu
 
Its too late amechelewa aliyekuwa na nia tayari ameishatokea you can't turn back the hands of time.
 
Staki nataka..staki nataka..staki nataka!Alidhani utaendelea kumbeleza bila kujua mwenzake ni kati ya wale wanaochukulia hapana kua hapana badala ya kuitafsiri kama ndio!

Jamani Lizzy wengine hawajui wanachotaka mpaka pale wanapogundua anakipoteza and its too late. Ndio tatizo la kuchukulia watu for granted.
 
Back
Top Bottom