captain 21
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 583
- 1,182
Haya wanachama wa liquid uwanja wenu huu..
Mimi vinywaji vyote ntagusa..ila hata kugusa chupa tu nasisimka ni Dompo jamani...kuna mwwaka valentine tukabebana asbh na shogangu tukaanza kunywa dompo .inafika saa12 tuna dompo 3 kichwanj..mpk leo huwa nataman kuuliza nilifikaje naona aibu🤣...nilitapika balaa na me sinaga kawaida ya kuvomit hata iweje nimemix mambo . Asbh koo limekauka kbs .since 2017 sijagusa dompo hata kugusa chupa sitakDah nakumbuka nilikua ibungu ya mabibo pale niliagizaga dompo mojanikapiga nilivyomaliza nikajiona niko feet nikasema sasa kwanini watu wanaiogopa nikaagiza ya pili niliishia nusu ila dompo nikaacha bar mm nikaita tx hadi home kufika nikafunga mlango nikaingia baada ya hapo sikumbuki ila asubuhi nakumbuka mikojo imejaa sebuleni remote zote za tv zinanua mikojo hadi zulia nikakoja sebuleni sasa asubuhi ugomvi na mke wangu hadi leo ni miaka 3 sijawai gusa dompo mdomoni
Pombe gani hujawahi kuinywa?Mimi vinywaji vyote ntagusa..ila hata kugusa chupa tu nasisimka ni Dompo jamani...kuna mwwaka valentine tukabebana asbh na shogangu tukaanza kunywa dompo .inafika saa12 tuna dompo 3 kichwanj..mpk leo huwa nataman kuuliza nilifikaje naona aibu...nilitapika balaa na me sinaga kawaida ya kuvomit hata iweje nimemix mambo . Asbh koo limekauka kbs .since 2017 sijagusa dompo hata kugusa chupa sitak
Wine zina tabia ya kufanya uone sehemu yoyote ni chooDah nakumbuka nilikua ibungu ya mabibo pale niliagizaga dompo mojanikapiga nilivyomaliza nikajiona niko feet nikasema sasa kwanini watu wanaiogopa nikaagiza ya pili niliishia nusu ila dompo nikaacha bar mm nikaita tx hadi home kufika nikafunga mlango nikaingia baada ya hapo sikumbuki ila asubuhi nakumbuka mikojo imejaa sebuleni remote zote za tv zinanua mikojo hadi zulia nikakoja sebuleni sasa asubuhi ugomvi na mke wangu hadi leo ni miaka 3 sijawai gusa dompo mdomoni
Huyu jamaa alilala chooni bila shaka 😁Hukujinyea kweli wewe😂😂🤣🤣
Dah nakumbuka nilikua ibungu ya mabibo pale niliagizaga dompo mojanikapiga nilivyomaliza nikajiona niko feet nikasema sasa kwanini watu wanaiogopa nikaagiza ya pili niliishia nusu ila dompo nikaacha bar mm nikaita tx hadi home kufika nikafunga mlango nikaingia baada ya hapo sikumbuki ila asubuhi nakumbuka mikojo imejaa sebuleni remote zote za tv zinanua mikojo hadi zulia nikakoja sebuleni sasa asubuhi ugomvi na mke wangu hadi leo ni miaka 3 sijawai gusa dompo mdomoni
hivi hapa wamesema tuseme negative side effect tu eeeh, maana mimi sina jaman ila positive onesHalafu si wanasema amarula inapandisha genye kifala nyie ilikuaje
Madam two glass only ukawa hoi kwa siku mbiliHahhahaaa jaman hennesy sio ya kwenda nayo kibabe hata kidg..niliwah kunywa glas 2 toka aaa5 mchana had saa8..lakini nilikua nimelewa siku2...yaan noma mnoo mno
hivi hapa wamesema tuseme negative side effect tu eeeh, maana mimi sina jaman ila positive ones
naanza na kinywaji changu pendwa: Balleys..loooh ile spirit na aroma yake basi mie nasikia kuburidika balaaa...i love that thing jaman...nasubiri weekend ifike maana nahis mate kujaa mdomoni.
Mkuu hujambo lakini? wewe watumia nini nikupitishie jioni
hivi hapa wamesema tuseme negative side effect tu eeeh, maana mimi sina jaman ila positive ones
naanza na kinywaji changu pendwa: Balleys..loooh ile spirit na aroma yake basi mie nasikia kuburidika balaaa...i love that thing jaman...nasubiri weekend ifike maana nahis mate kujaa mdomoni.
Mkuu hujambo lakini? wewe watumia nini nikupitishie jioni
hahahahahahah uko vzr....nitakutafutia vibe moja matata utakunywa K-vant wwPombe ni nzuri ila zikizidi zinakua kero sana hasa kwa wasio kunywa, mimi sio mnywaji sana huwa nakunywa occasionally na nikinywa napenda kuwa na mziki ili niwe nacheza zinitoke kichwani, mimi sina kinywaji maalumu nakunywa tokana na vibe ya kampani niliokua nayo wakati huo,
sio wanawake wote jaman na si vizuri mwanamke alewe ila anyweWewe ni mlevi sitaki kuamini ukinywa unachangamkaje , ila wanawake mkinywa huwa mnachekeshaga sana na mnakua weak vilivyo
hahahahahahah uko vzr....nitakutafutia vibe moja matata utakunywa K-vant ww
mbona sijaona ukitiririka hapa? au wewe mtoa comments tu? teeh tehK vant ninaiheshimu sana ilishanitenda sitaki hata kuhadithia
YesMadam two glass only ukawa hoi kwa siku mbili
Nahisi ni kituko cha kilofa sana, pombe hapana aisehhmbona sijaona ukitiririka hapa? au wewe mtoa comments tu? teeh teh