2024 ikiwezekana acha pombe kabisa

Fakyuol

Senior Member
Nov 26, 2023
142
311
ni siku ya kwanza kabisa ya mwaka MPYA!!

na huu ni ukwel mchungu....wengi wenu msiotaka kuusikia

Ila ukweli ni kwamba Kaa mbali na pombe.

-Pombe inayumbisha SANA maisha yako kama Mwanaume

-kwa taarifa yako! Pombe inapunguza sana ufanisi wako kitandani.

-kuna siku Pombe itaharibu ndoa yako.

-kuna siku Pombe itaharibu kazi yako na biashara.

-kuna namna Pombe inaharibu maisha yako ya baadae.

-Na ni ukweli usiopingika...Pombe inakuweka mbali na MUNGU

-pombe ni chanzo cha fikra potovu

N.k

Hebu tafakari....na ujiulize swali hili jepesi tu!!

Imekupatia faida gani POMBE tangu ulivyo anza kuinywa mpaka mwisho wa mwaka 2023!!!!

NI mara ngapi POMBE imekutoa machozi!!??

Ni mara ngapi....pombe imekugombanisha na watu???

Iko wapi HESHIMA YAKO???

Kuna watu humu pombe imewaingiza kwenye matatzo makubwa SANA!!

So guys kama inawezekana ... Achana kabisa na POMBE

Sijasema achana na Baby wako ....nmesema Achana na POMBE

Kwani ugumu uko wapi???????

Unashindwa nini kuacha POMBE??????

Ni kitu gani hasa ..kina kufanya ushindwe kuacha POMBE??

Unajisikiaje....unapo nyooshewa vidole kila kona upitapo???

Utakuwa mtumwa wa...hivi vinywaji mpaka lini???

Wakati mwingine unaamka kichwa kizito!!!!! Kinauma!!!! Wakati mwingine Umeumia!!!!! Lakini bado umo!!!

Ukiacha pombe utapungukiwa nn???

Eti POMBE ndo mwenza wako kweli??? Ama utosi bado unacheza!!

Ni ushamba tu!!! Kama ushamba mwingine.....!!

Eti kuweka heshima baa? Jinga kabisaaa
Nan alikwambia HESHIMA inawekwa Baa???

Huna wazazi wewe?? Huna watoto????

Haya...niwaone KWENYE comments walevi wote...na mkiri
Kwamba...mmeacha POMBE!! Karibun walevi

simple!!
 
Upuuzi mtupu
 
Natamani new year nayo ingekua mapumziko ya siku 2,Leo masanga kesho tena.Yaaaaaaani......

Za kuambiwa changanya na zako.
 
Sijasema achana na Baby wako ....nmesema Achana na POMBE

Incase pombe ndo Baby wangu tunafanyaje hapo?

"Bora Raisi mlevi kuliko muongo, lazima tuwe na raisi mlevi" ~ Walisikika raia wa Kenya 254.

Tatizo linakuja hapa mtu wa bata ni wa bata tu ukifanikiwa kuacha pombe basi bhangi itakukamata na ukifanikiwa vyote basi uzinzi utakuandama. Me naona tufanye tu vyote kwa kiasi wakuu.
 
Back
Top Bottom