Ni pombe gani hutakuja kuisahau maishani mwako?

Dah nakumbuka nilikua ibungu ya mabibo pale niliagizaga dompo mojanikapiga nilivyomaliza nikajiona niko feet nikasema sasa kwanini watu wanaiogopa nikaagiza ya pili niliishia nusu ila dompo nikaacha bar mm nikaita tx hadi home kufika nikafunga mlango nikaingia baada ya hapo sikumbuki ila asubuhi nakumbuka mikojo imejaa sebuleni remote zote za tv zinanua mikojo hadi zulia nikakoja sebuleni sasa asubuhi ugomvi na mke wangu hadi leo ni miaka 3 sijawai gusa dompo mdomoni
 
Mimi vinywaji vyote ntagusa..ila hata kugusa chupa tu nasisimka ni Dompo jamani...kuna mwwaka valentine tukabebana asbh na shogangu tukaanza kunywa dompo .inafika saa12 tuna dompo 3 kichwanj..mpk leo huwa nataman kuuliza nilifikaje naona aibu🤣...nilitapika balaa na me sinaga kawaida ya kuvomit hata iweje nimemix mambo . Asbh koo limekauka kbs .since 2017 sijagusa dompo hata kugusa chupa sitak
 
Mimi vinywaji vyote ntagusa..ila hata kugusa chupa tu nasisimka ni Dompo jamani...kuna mwwaka valentine tukabebana asbh na shogangu tukaanza kunywa dompo .inafika saa12 tuna dompo 3 kichwanj..mpk leo huwa nataman kuuliza nilifikaje naona aibu...nilitapika balaa na me sinaga kawaida ya kuvomit hata iweje nimemix mambo . Asbh koo limekauka kbs .since 2017 sijagusa dompo hata kugusa chupa sitak
Pombe gani hujawahi kuinywa?
 
Dah nakumbuka nilikua ibungu ya mabibo pale niliagizaga dompo mojanikapiga nilivyomaliza nikajiona niko feet nikasema sasa kwanini watu wanaiogopa nikaagiza ya pili niliishia nusu ila dompo nikaacha bar mm nikaita tx hadi home kufika nikafunga mlango nikaingia baada ya hapo sikumbuki ila asubuhi nakumbuka mikojo imejaa sebuleni remote zote za tv zinanua mikojo hadi zulia nikakoja sebuleni sasa asubuhi ugomvi na mke wangu hadi leo ni miaka 3 sijawai gusa dompo mdomoni
Wine zina tabia ya kufanya uone sehemu yoyote ni choo
 
Dah nakumbuka nilikua ibungu ya mabibo pale niliagizaga dompo mojanikapiga nilivyomaliza nikajiona niko feet nikasema sasa kwanini watu wanaiogopa nikaagiza ya pili niliishia nusu ila dompo nikaacha bar mm nikaita tx hadi home kufika nikafunga mlango nikaingia baada ya hapo sikumbuki ila asubuhi nakumbuka mikojo imejaa sebuleni remote zote za tv zinanua mikojo hadi zulia nikakoja sebuleni sasa asubuhi ugomvi na mke wangu hadi leo ni miaka 3 sijawai gusa dompo mdomoni

Ibungu bar and lounge
 
Halafu si wanasema amarula inapandisha genye kifala nyie ilikuaje
hivi hapa wamesema tuseme negative side effect tu eeeh, maana mimi sina jaman ila positive ones
naanza na kinywaji changu pendwa: Balleys..loooh ile spirit na aroma yake basi mie nasikia kuburidika balaaa...i love that thing jaman...nasubiri weekend ifike maana nahis mate kujaa mdomoni.

Mkuu hujambo lakini? wewe watumia nini nikupitishie jioni
 
Pombe ni nzuri ila zikizidi zinakua kero sana hasa kwa wasio kunywa, mimi sio mnywaji sana huwa nakunywa occasionally na nikinywa napenda kuwa na mziki ili niwe nacheza zinitoke kichwani, mimi sina kinywaji maalumu nakunywa tokana na vibe ya kampani niliokua nayo wakati huo,
 
Wewe ni mlevi sitaki kuamini ukinywa unachangamkaje , ila wanawake mkinywa huwa mnachekeshaga sana na mnakua weak vilivyo
 
hahahahahahah uko vzr....nitakutafutia vibe moja matata utakunywa K-vant ww
 
Wewe ni mlevi sitaki kuamini ukinywa unachangamkaje , ila wanawake mkinywa huwa mnachekeshaga sana na mnakua weak vilivyo
sio wanawake wote jaman na si vizuri mwanamke alewe ila anywe
hahahahahh naamini unajua tofauti kati ya hizo hapo
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom