Tukio lipi hauwezi kusahau maishani mwako

MZURI SANA

JF-Expert Member
Oct 19, 2023
241
546
Tukio gani Hauwezi kulisahau kabisa maishani mwako na limekuachia fumbo kubwa sana.

Mie nilimalizaga chuo nikapata kazi Mahalia Fulani mkataba ukaisha nikawa natafuta kazi muda sio muda zikatokea kazi 3 kwa wakati mmoja na zenye mshahara mzuri maskini ya Mungu mie si nikapotezea nikisubiri kuna sehemu kuna donge nono niliahidiwa na pedeshee mmoja.

Nyoo mbona nilikosa vyote.

Niambie Tukio gani hauwezi kusahau maishani.?
 
Bandari.
 
Nimchukua barmaid kwenda kulala nae kumbe bikra. Siwezi kusahau
 
Back
Top Bottom