Ni pombe gani hutakuja kuisahau maishani mwako?

Bingwa ilikuwa ni noma ,watu walikata moto sana.
Mwaka 1998 nikiwa Morogoro, nilikunywa bingwa nne, then tukaenda disco Morogoro hotel nikapandishia na Konyagi kidogo. Tukiwa tunacheza muziki niko chakari nikamshika demu wa watu makalio, ulitokea ugomvi wa mwaka ukumbi ukavurugika. Mwisho wa siku nikaishia kituoni, asubuhi naumwa balaa. hahahahahahah, maisha ni kizungumkuti kweli
 
🤣🤣🤣🤣huwa wambea na wanafiki
Acha Basi, Mimi bhana pombe nimewahi kunywa ila sio kivile mimba ikiwa changa napenda sana konyagi ikikua nakunywa local beer natia na sukari basi hapo najisikia vizuri napenda mnoooo

Nikiwa Sina mimba si mnywaji kabisa labda itokee dharula tu, ila pombe ya hivi imewahi kunipa maajabu positively nilikunywa saint Anne Kama nusu chupa tu nilimwaga 💦💦 sijawahi kuona lita za kutosha godoro la inch 10 lilitota na kutapika chini,, nilipungua uzito ndani ya siku mbili, uzuri nilikuwa na muogeleaji mashuhuri
 
Nikiwa Sina mimba si mnywaji kabisa labda itokee dharula tu, ila pombe ya hivi imewahi kunipa maajabu positively nilikunywa saint Anne Kama nusu chupa tu nilimwaga sijawahi kuona lita za kutosha godoro la inch 10 lilitota na kutapika chini,, nilipungua uzito ndani ya siku mbili, uzuri nilikuwa na muogeleaji mashuhuri
Akapiga mbizi sio?
 
Acha Basi, Mimi bhana pombe nimewahi kunywa ila sio kivile mimba ikiwa changa napenda sana konyagi ikikua nakunywa local beer natia na sukari basi hapo najisikia vizuri napenda mnoooo

Nikiwa Sina mimba si mnywaji kabisa labda itokee dharula tu, ila pombe ya hivi imewahi kunipa maajabu positively nilikunywa saint Anne Kama nusu chupa tu nilimwaga 💦💦 sijawahi kuona lita za kutosha godoro la inch 10 lilitota na kutapika chini,, nilipungua uzito ndani ya siku mbili, uzuri nilikuwa na muogeleaji mashuhuri
Umenipa joto la hasara tu🤣🤣🤣😬..jaman st anna hua inafanya maajabu balaa...kojo kama loteeee🤣!..yaan unachoongea nakuelewa nanusu🙌🙌🙌🙌!🤣🤣🤣🤣 eti ulipungua siku 2 tu hahahahahhahaa..... nakufa mie
 
Tulikuwa chuo tumepiga wali wa buku Katika pitapita rafik yangu akasema tuchange tununue kvant kubwa na viroba vinne vya valuer tulikuwa geto kilichotokea jamaa yangu alizima mm nikajua kafa nikakimbia na mm nilirudisha chenji noma nikaenda kununua dada poa asubuhi kukuta ni mtu mzima hatar
 
Uzi wenu umenikumbusha maajabu ya saint Anne, nitarudia tena nitakupa mrejesho niliweka heshima mpk leo muogeleaji anahaha😂😂 ilikuwa hatari mi mwenyewe sitasahau🙌 🙌
 
Naona unaniringishiaaaa🤣🤣! Mie nimezoea kukaa na kiu sasa hv nafanya yangu...ila itabidi siku nishtue kama bado mie mzima...maana khaaaa🤐! Unageuza godoro maajabu yanaonekana bado khaaaaaaa...maniner
 
Tulikuwa chuo tumepiga wali wa buku Katika pitapita rafik yangu akasema tuchange tununue kvant kubwa na viroba vinne vya valuer tulikuwa geto kilichotokea jamaa yangu alizima mm nikajua kafa nikakimbia na mm nilirudisha chenji noma nikaenda kununua dada poa asubuhi kukuta ni mtu mzima hatar
Ahaahahhaaa mbibi...lol..
 
Naona unaniringishiaaaa🤣🤣! Mie nimezoea kukaa na kiu sasa hv nafanya yangu...ila itabidi siku nishtue kama bado mie mzima...maana khaaaa🤐! Unageuza godoro maajabu yanaonekana bado khaaaaaaa...maniner
Hahahaha fala wewe, 😂😂😂Kama Ni hivyo Basi kuanzia Sasa naheshimu pombe, uzi umenitafakarisha sana huu, nimeikumbuka hiyo siku, hebu kafanye jaribio utanipa mrejesho ila nadhani haitakiwi uzidishe sana Yani usilewe piga kiasi hlf pata mpiga mbizi afanye miujiza, ule nilipata muujiza for real
 
Kuna kipindi nilikuwa napenda kunywa amarula occasionally na hasa nikipata ofa
Nakumbuka best angu alikuwa na birthday hivyo nikajikoki nikanunua ile kubwa. Tumekula vizuri tukaanza kunywa...mara best akaniambia hii kitu haijachangamka tuchanganye na k vant...yeye ni mtu wa pombe tofauti na mimi...bwana bwana si nikakubali nikawa naweka kidogo kidogo.

Chupa ilivyokaribia kuisha nikashangaa ulimi unakuwa mzito mdomoniStory haziendi tena ikabidi tuite tax. Hatukufika mbali kichefuchefu hiki hapa, mikono mizito sikuweza hata kufungua kioo nikatapikia ndani kwenye miguu...yani nililegea hatari. Dereva akamind akataka tumlipe na ya kuosha gari

Kufika home naona nyota tu nikaingia chooni kwa kutambaa....nilifanikiwa kuvua suruali tu
Tangu siku hiyo mapenzi na amarula yakaisha...nimekuja kuionja mwaka jana baada ya kama miaka 4 hivi ila niliinywa kwa tabu sana so nimeachana nayo.
Jamaa muongo sana ww amarula kama maziwa ukichanganya na k vant,konyag au vodka yyte lazima ikatike maana unakua unatengeneza bomu
 
Hahahaha fala wewe, 😂😂😂Kama Ni hivyo Basi kuanzia Sasa naheshimu pombe, uzi umenitafakarisha sana huu, nimeikumbuka hiyo siku, hebu kafanye jaribio utanipa mrejesho ila nadhani haitakiwi uzidishe sana Yani usilewe piga kiasi hlf pata mpiga mbizi afanye miujiza, ule nilipata muujiza for real
🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Kiu changu ni chupa 1 tu la st anna!eeephew
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom