Duuuuh hutakiwi kujiangalia sasaUmetazama kwenye kioo
anamsema macho mlegezoDuuuuh hutakiwi kujiangalia sasa
Mkuu rudisha avatar picha yako ya awali tuliyokuzoea ya yule mchezaji wa Cameroon utadhani amevaa miba kichwaniWataalamu wa mambo wanasema ni nuksi kwa taswira/image ya mtu kuwa reflected kwenye kioo au sehemu yoyote ya Gari lililo beba mwili wa marehemu " funeral car"
Suluhisho Ni Nini?
Kufanya maombi mazito kama Ni mkristo...
Kufanya Dua Na visomo vizito kama Ni muislamu
Kufanya tambiko Zito la kimila Kwa wewe unae amini katika Mila.
Au kufanya vyote Kwa pamoja.
Kinga?
Kaa Mbali Na Gari lililo beba mwili wa marehemu...
Shida Ni pale inapotokea Kwa Bahati mbaya Yani ulikuwa unatembea barabarani au unaendesha Gari halafu buu baa Gari Hilo hapo pembeni umepiga jicho kwenye Gari Na taswira yako imekuwa relfected either kwenye kioo au kwenye Gari... That is a very bad omen. Linapotokea Jambo Hilo unashauriwa kufanya Moja WaPo Kati ya mambo niliyo yataja hapo juu au vyote kwa pamoja...
N.b: hiyo picha Ni kwenye msiba wa Hanspope.
View attachment 1937747
Anajua Mungu mkuu but that one is not a good omen at all. Haya mambo ya funerals Na wafu Kwa ujumla Yana taboos nyingi Sana Na wengi Ina wa cost Kwa kutozingatia , kupuuzia, kutokujali, mazoea au Kwa kutokujua.Itakuwa ulitaka utuonyeshe picha za gari la maiti Tu mkuu
Mfano huyo dogo hapo asipofanya hayo maombi/kisomo nn kitamkuta
Wear beza ila omba yasikukute. Tutakukuta Kwa Mwamposa unapiga makofi" Wamilele Wamilele ni mungu wa Baraka Ni yesu bwana x 2. Sitomuacha yesu anasumbukia Maisha yangu x2.Chief mbona hueleweki? Kwa hiyo tuyakimbie magari yaliyobeba miili ya marehemu? Tusikaribie kushusha majeneza kwenye magari misibani? This is too low from you!
Kama taswira kuonekana kwenye gari lililobeba maiti ni nuksi, Je watoto waliotokana na huyo maiti si ndiyo watakua nuksi kali zaidi?Wataalamu wa mambo wanasema ni nuksi kwa taswira/image ya mtu kuwa reflected kwenye kioo au sehemu yoyote ya Gari lililo beba mwili wa marehemu " funeral car"
Suluhisho Ni Nini?
Kufanya maombi mazito kama Ni mkristo...
Kufanya Dua Na visomo vizito kama Ni muislamu
Kufanya tambiko Zito la kimila Kwa wewe unae amini katika Mila.
Au kufanya vyote Kwa pamoja.
Kinga?
Kaa Mbali Na Gari lililo beba mwili wa marehemu...
Shida Ni pale inapotokea Kwa Bahati mbaya Yani ulikuwa unatembea barabarani au unaendesha Gari halafu buu baa Gari Hilo hapo pembeni umepiga jicho kwenye Gari Na taswira yako imekuwa relfected either kwenye kioo au kwenye Gari... That is a very bad omen. Linapotokea Jambo Hilo unashauriwa kufanya Moja WaPo Kati ya mambo niliyo yataja hapo juu au vyote kwa pamoja...
N.b: hiyo picha Ni kwenye msiba wa Hanspope.
View attachment 1937747
Kataa au Kubali, moja ya malengo yako kuleta hii post ni ili uandike hiko kipengele..Wataalamu wa mambo wanasema ni nuksi kwa taswira/image ya mtu kuwa reflected kwenye kioo au sehemu yoyote ya Gari lililo beba mwili wa marehemu " funeral car"
Suluhisho Ni Nini?
Kufanya maombi mazito kama Ni mkristo...
Kufanya Dua Na visomo vizito kama Ni muislamu
Kufanya tambiko Zito la kimila Kwa wewe unae amini katika Mila.
Au kufanya vyote Kwa pamoja.
Kinga?
Kaa Mbali Na Gari lililo beba mwili wa marehemu...
Shida Ni pale inapotokea Kwa Bahati mbaya Yani ulikuwa unatembea barabarani au unaendesha Gari halafu buu baa Gari Hilo hapo pembeni umepiga jicho kwenye Gari Na taswira yako imekuwa relfected either kwenye kioo au kwenye Gari... That is a very bad omen. Linapotokea Jambo Hilo unashauriwa kufanya Moja WaPo Kati ya mambo niliyo yataja hapo juu au vyote kwa pamoja...
N.b: hiyo picha Ni kwenye msiba wa Hanspope.
View attachment 1937747
Sasa hili gari linabeba wafu wakiwa wamevaa barakoa? halafu, wamekaa, kisha wanakuwa me na ke?Wataalamu wa mambo wanasema ni nuksi kwa taswira/image ya mtu kuwa reflected kwenye kioo au sehemu yoyote ya Gari lililo beba mwili wa marehemu " funeral car"
Suluhisho Ni Nini?
Kufanya maombi mazito kama Ni mkristo...
Kufanya Dua Na visomo vizito kama Ni muislamu
Kufanya tambiko Zito la kimila Kwa wewe unae amini katika Mila.
Au kufanya vyote Kwa pamoja.
Kinga?
Kaa Mbali Na Gari lililo beba mwili wa marehemu...
Shida Ni pale inapotokea Kwa Bahati mbaya Yani ulikuwa unatembea barabarani au unaendesha Gari halafu buu baa Gari Hilo hapo pembeni umepiga jicho kwenye Gari Na taswira yako imekuwa relfected either kwenye kioo au kwenye Gari... That is a very bad omen. Linapotokea Jambo Hilo unashauriwa kufanya Moja WaPo Kati ya mambo niliyo yataja hapo juu au vyote kwa pamoja...
N.b: hiyo picha Ni kwenye msiba wa Hanspope.
View attachment 1937747
Mi nasuggest magari yanayobeba maiti yasiwe na vioo. Mbao itafaamods futeni hii
Wataalamu wa mambo wanasema ni nuksi kwa taswira/image ya mtu kuwa reflected kwenye kioo au sehemu yoyote ya Gari lililo beba mwili wa marehemu " funeral car"