Ni nini tofauti kati ya Kafara na Shirki

Ni nini tofauti kati ya Kafara na Shirki

Weee ulifkir mie sijui?.....madrasa nlikua nahudhuria vizuri tu...

'sasa kama ulikuwa unahudhuria uzuri tu mbona sasa umechanganya vitu viwili kwa wakati mmoja wng

adada=abada
haalidina=khaalidinah
si unaona hapo au wee unaona iko sawa wangu'
 
'sasa kama ulikuwa unahudhuria uzuri tu mbona sasa umechanganya vitu viwili kwa wakati mmoja wng

adada=abada
haalidina=khaalidinah
si unaona hapo au wee unaona iko sawa wangu'

Ahsante kwa kunisahihisha....ni makosa tu ya ku type...
 
Neno kafara ni kutoa mnyama aliyechinjwa mfano ng'ombe au ndege(kuku etc) kwa wamiini wa njia hiyo kuwapa mizimu(mashetani)ili kufanikisha mambo yao kama vile kuondoa mikosi,mabalaa na ua kuwatajiri etc kifamilia au kijamii na tendo hilo hufanyika katika maeneo maalum kama vile chini ya mti mkubwa saana na wakale,mapangoni,pembezoni mwa mto etc.
Neno shirki ni hali ya m/watu kujihusisha na mambo ya kupiga ramli au kutabiri pia kuaguliwa na waganga wa jadi.
Huo ni mtazamo na uelewa wangu wa maneno hayo mawili KAFARA na SHIRKI.
Nashukuru kwa majibu yako mkuu.
Nalog off
 
Hata mtu hutolewa kafara sionyama tu.shirki ni hali ya kushiriki mambo ya uganga au uchawi.na kafara ni matoleo yahusishayo damu kishirikina ili ili kukamilusha jambo husika.laweza kuwa kupata mali kuchangia nyama kwa wale wanga.au kufanya mazindiko.
Majibu yako nimeyaelewa mkuu.
Nalog off
 
farkhina,
user-offline.png
<!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->farkhina<!-- google_ad_section_end -->


AL-Habib Nduki..JazakaAllah kheyrn; Nakupongeza kwa kufuatiliya... "Tuwehadher katika Quotings za kaLaam Allah"
Wote;
Kind Thanks for Correction, BarakaAllah-fikum.
Amin.
Nalog off
 
Kafara/Sacrifice - ni kutolea mizimu/mashetani kwa ajili ya kuiomba itumie nguvu yake ambayo nguvu hiyo unaiamini - ili wakusaidie. Lazima kitu unachokitoa kife au kipoteze thamani yake ya asili au ukipoteza wewe uliyetoa kafara, ili mizimu,majini,mashetani wakupe nguvu unazotegemea kuzipata kutoka kwao.

Kafara pia ni kitendo cha kuinunua/ kuhonga mizimu/majini/mashetani kwa kutumia vile vitu wanavyotaka wao ili wakufanyie unachotaka wewe.

Kuna aina nyingi za makafara. Kuna makafara ya damu na makafara yasiyo ya damu. Kuna makafara ya kutoa muda wako/nguvu zako/nk. lakini makafara ambayo yanatumika sana ni makafara ya damu - ya kuchinja au kumwaga damu kwa kuua.

Kuna makafara ya ubani/zawadi za dhahabu, nguo, hata maji - kwa kutegemea mahitaji ya majini na hitaji la mtoa kafara.

Lazima kafara unapotoa uwe na imani 1. Hizo mashetani yapo 2. yanataka hicho unachokitoa 3. yatakupa unachohitaji
4. Utakutana nao hapo ulipoamua kulitolea kafara lako.

SHIRKI ni jambo lingine. Ni tabia au kitendo cha mwenye imani moja kuasi imani hiyo kwa kuhusisha imani nyingine. Mara nyingi ni kuhusisha imani yako na uchawi/majini /mashetani.Shiriki sio kitendo. Shirki ili iwe shirki ni lazima ianze kwenye Imani. Inaanzia rohoni. Ukishakuwa na Imani ya nguvu nje ya Imani yako, hata kama hukwenda kwa mganga/mchawi - hiyo ni shirki tayari. This is the violation of TRUST in God.
Nimekuelewa mkuu majibu yatanisaidia sana.
Nalog off
 
Ukiacha utofauti wa maneno ni ipi tofauti iliyopo kati ya Kafara na Shirki?
article-0-1951913600000578-435_634x421.jpg

article-0-1951913A00000578-16_634x421.jpg

Nalog off

Hayo maneno kuna mahala yanaingiliana (yanakuwa na maana moja) na kuna mahala kila moja linakuwa na maana yake,...... Kwa kifupi KAFARA ZOTE NI SHIRKI, ILA SIO SHIRKI ZOTE NI KAFARA, ...................
 
Ukiacha utofauti wa maneno ni ipi tofauti iliyopo kati ya Kafara na Shirki?

Nalog off


Ndugu Washawasha, ngoja nikupe jibu langu kutoka mtazamo mwingine. Haya maneno KAFARA (au KAFFARAH) na SHIRK ni maneno ya Kiarabu ambayo utayakuta kwenye Qur'an na maana yake ni hii:
Islamic Perspective​
KAFFARAH:
Hili neno linamaanisha "compensation au lipizo". Kwa mfano kama hukuweza kufunga Ramadhan inakubidi ulipize kwa kufunga siku sitini (60) mfululizo. Kama huwezi kufanya hivyo kwa ajili ya maradhi au sababu nyingine, basi unapaswa kufanya yafuatayo:
  1. Walishe watu masikini 60 milo miwili.
  2. Mlishe masikini mmoja milo miwili kwa siku 60
  3. Wape masikini 60 kila mmoja kilo 1.5 ya nafaka, au fedha
  4. Mpe masikini mmoja kilo 1.5 ya nafaka au fedha kwa siku 60.

Wakati unawalisha hawa watu 60 unaweza kuchinja mnyama au wanyama katika kuandaa hiki chakula cha KAFFARAH. Hii inaruhsiwa katika Qu'ran.

SHIRK:
Hili neno lina maana kumshirikisha kiumbe au kitu kingine na uwezo wa Mungu. Unapaswa kuomba dua zako zote kwa Mungu pekee ambae ni Allah. Hakuna miungu wengine isipokuwa Allah. Sasa unapokwenda kwenye kaburi la babu/bibi (mizimu) zako na kuweka nadhiri kuwa ukifanikiwa na ombi lako utafanya kitu fulani, hii unaifanya hii mizimu yako iwe na uwezo kama wa Mungu - hii ni SHIRK au ushirikina. Hii ina maana huwezi hata kuswali na kumuomba mtume Mohammad (SAW) akusaidie badala ya Allah. Hii itakuwa SHIRK.

Na kama baada ya kuweka hii nadhiri na ukafanikiwa ukachinja mnyama/wanyama na kufanya karamu kama KAFARA la kuwashukuru hawa mizimu, shetani, pango, n.k., basi hili KAFARA ulilotoa ni SHIRK.

Conclusion: Sio kila KAFARA (KAFFARAH) ni SHIRK. Kuna maKAFFARAH ambayo sio SHIRK.

Non-Islamic Perspective​

Wasio waislamu huwa na loose interpretation of ushirikina. Kwa mfano, waKristu wanaweza kumuomba BIKRA MARIA, YESU, au watakatifu wengine wawaombee kwa MUNGU na isiwe ushirikina. Itakuwa tu ushirikina kama utawaomba mizimu, waganga (ramli), mashetani wakusidie. Dini nyingine sina uhakika nazo.

Nawakilisha.
Please check for correctness. Thanks
CC. farkhina<!-- google_ad_section_end -->, <!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->nduki<!-- google_ad_section_end -->, <!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->Kituko<!-- google_ad_section_end -->, Free ideas<!-- google_ad_section_end -->, <!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->asigwa<!-- google_ad_section_end -->, <!-- google_ad_section_start -->MziziMkavu, tetere<!-- google_ad_section_end -->, <!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->Dina<!-- google_ad_section_end -->, <!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->taamu<!-- google_ad_section_end -->, <!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->Jamaa_Mbishi<!-- google_ad_section_end -->, <!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->life is Short<!-- google_ad_section_end -->, bysange<!-- google_ad_section_end -->
 
Ndugu Washawasha, ngoja nikupe jibu langu kutoka mtazamo mwingine. Haya maneno KAFARA (au KAFFARAH) na SHIRK ni maneno ya Kiarabu ambayo utayakuta kwenye Qur'an na maana yake ni hii:
Islamic Perspective​
KAFFARAH:
Hili neno linamaanisha "compensation au lipizo". Kwa mfano kama hukuweza kufunga Ramadhan inakubidi ulipize kwa kufunga siku sitini (60) mfululizo. Kama huwezi kufanya hivyo kwa ajili ya maradhi au sababu nyingine, basi unapaswa kufanya yafuatayo:
  1. Walishe watu masikini 60 milo miwili.
  2. Mlishe masikini mmoja milo miwili kwa siku 60
  3. Wape masikini 60 kila mmoja kilo 1.5 ya nafaka, au fedha
  4. Mpe masikini mmoja kilo 1.5 ya nafaka au fedha kwa siku 60.

Wakati unawalisha hawa watu 60 unaweza kuchinja mnyama au wanyama katika kuandaa hiki chakula cha KAFFARAH. Hii inaruhsiwa katika Qu'ran.

SHIRK:
Hili neno lina maana kumshirikisha kiumbe au kitu kingine na uwezo wa Mungu. Unapaswa kuomba dua zako zote kwa Mungu pekee ambae ni Allah. Hakuna miungu wengine isipokuwa Allah. Sasa unapokwenda kwenye kaburi la babu/bibi (mizimu) zako na kuweka nadhiri kuwa ukifanikiwa na ombi lako utafanya kitu fulani, hii unaifanya hii mizimu yako iwe na uwezo kama wa Mungu - hii ni SHIRK au ushirikina. Hii ina maana huwezi hata kuswali na kumuomba mtume Mohammad (SAW) akusaidie badala ya Allah. Hii itakuwa SHIRK.

Na kama baada ya kuweka hii nadhiri na ukafanikiwa ukachinja mnyama/wanyama na kufanya karamu kama KAFARA la kuwashukuru hawa mizimu, shetani, pango, n.k., basi hili KAFARA ulilotoa ni SHIRK.

Conclusion: Sio kila KAFARA (KAFFARAH) ni SHIRK. Kuna maKAFFARAH ambayo sio SHIRK.

Non-Islamic Perspective​

Wasio waislamu huwa na loose interpretation of ushirikina. Kwa mfano, waKristu wanaweza kumuomba BIKRA MARIA, YESU, au watakatifu wengine wawaombee kwa MUNGU na isiwe ushirikina. Itakuwa tu ushirikina kama utawaomba mizimu, waganga (ramli), mashetani wakusidie. Dini nyingine sina uhakika nazo.

Nawakilisha.
Nimekuelewa mkuu na pia nasukuru kwa majibu yako.
Nalog off
 
Hayo maneno kuna mahala yanaingiliana (yanakuwa na maana moja) na kuna mahala kila moja linakuwa na maana yake,...... Kwa kifupi KAFARA ZOTE NI SHIRKI, ILA SIO SHIRKI ZOTE NI KAFARA, ...................
Santee kwa majibu yako haya,nimehifunza kitu hapa.
Nalog off
 
Hayo maneno kuna mahala yanaingiliana (yanakuwa na maana moja) na kuna mahala kila moja linakuwa na maana yake,...... Kwa kifupi KAFARA ZOTE NI SHIRKI, ILA SIO SHIRKI ZOTE NI KAFARA, ...................

'sio kweli mkuu hivi unajua mtu anapoapa kwa ALLAH jambo fulani sitafanya halaf inabidi ikatokea anahitajika ni lazma alifanye inabidi afungue kiapo chake sasa kule kufungua kiapo ndio inaitwa kafara la kiapo unajua unafunguaje ndugu.....................usipotoshe umma ni bora kuwa kimya kuliko kuongea uongo mkuu sio kafara zote ni shirki ungesema hivi............KILA SHIRKI INA KAFARA LAKE KAMA SADAKA (SACRIFICE) ILI MIZIMU IFUNGUE MAMBO YAKO LAKINI SIO KILA KAFARA NI SHIRKI NDUGU'
 
'Amin Amin
Wal Musliminah Wal Muslimaat
Wal Muumininah Wal Muuminaat
Wal Ahyaaai minhum Wal Am Waat
Thumma Amin'
Jazzak Allah kheyrn!! MashaAllah Sheikhe Wangu umeCover mbingu na bahari yote Isiike Dua'a yako.AMIN
Kwa fadhila zake. Na kwako tufaidike hiyo elmu.... barakaaAllafikum.
 
Ndugu Washawasha, ngoja nikupe jibu langu kutoka mtazamo mwingine. Haya maneno KAFARA (au KAFFARAH) na SHIRK ni maneno ya Kiarabu ambayo utayakuta kwenye Qur'an na maana yake ni hii:
Islamic Perspective​
KAFFARAH: Hili neno linamaanisha "compensation au lipizo". Kwa mfano kama hukuweza kufunga Ramadhan inakubidi ulipize kwa kufunga siku sitini (60) mfululizo. Kama huwezi kufanya hivyo kwa ajili ya maradhi au sababu nyingine, basi unapaswa kufanya yafuatayo:
  1. Walishe watu masikini 60 milo miwili.
  2. Mlishe masikini mmoja milo miwili kwa siku 60
  3. Wape masikini 60 kila mmoja kilo 1.5 ya nafaka, au fedha
  4. Mpe masikini mmoja kilo 1.5 ya nafaka au fedha kwa siku 60.
Wakati unawalisha hawa watu 60 unaweza kuchinja mnyama au wanyama katika kuandaa hiki chakula cha KAFFARAH. Hii inaruhsiwa katika Qu'ran.SHIRK:Hili neno lina maana kumshirikisha kiumbe au kitu kingine na uwezo wa Mungu. Unapaswa kuomba dua zako zote kwa Mungu pekee ambae ni Allah. Hakuna miungu wengine isipokuwa Allah. Sasa unapokwenda kwenye kaburi la babu/bibi (mizimu) zako na kuweka nadhiri kuwa ukifanikiwa na ombi lako utafanya kitu fulani, hii unaifanya hii mizimu yako iwe na uwezo kama wa Mungu - hii ni SHIRK au ushirikina. Hii ina maana huwezi hata kuswali na kumuomba mtume Mohammad (SAW) akusaidie badala ya Allah. Hii itakuwa SHIRK.Na kama baada ya kuweka hii nadhiri na ukafanikiwa ukachinja mnyama/wanyama na kufanya karamu kama KAFARA la kuwashukuru hawa mizimu, shetani, pango, n.k., basi hili KAFARA ulilotoa ni SHIRK.Conclusion: Sio kila KAFARA (KAFFARAH) ni SHIRK. Kuna maKAFFARAH ambayo sio SHIRK.
Non-Islamic Perspective​
Wasio waislamu huwa na loose interpretation of ushirikina. Kwa mfano, waKristu wanaweza kumuomba BIKRA MARIA, YESU, au watakatifu wengine wawaombee kwa MUNGU na isiwe ushirikina. Itakuwa tu ushirikina kama utawaomba mizimu, waganga (ramli), mashetani wakusidie. Dini nyingine sina uhakika nazo.Nawakilisha.Please check for correctness. ThanksCC. farkhina<!-- google_ad_section_end -->, <!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->nduki<!-- google_ad_section_end -->, <!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->Kituko<!-- google_ad_section_end -->, Free ideas<!-- google_ad_section_end -->, <!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->asigwa<!-- google_ad_section_end -->, <!-- google_ad_section_start -->MziziMkavu, tetere<!-- google_ad_section_end -->, <!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->Dina<!-- google_ad_section_end -->, <!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->taamu<!-- google_ad_section_end -->, <!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->Jamaa_Mbishi<!-- google_ad_section_end -->, <!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->life is Short<!-- google_ad_section_end -->, bysange<!-- google_ad_section_end -->
WALILLAHI-al-Hamd, kwa ufafanuzi huu na tafsiri maridhia...Umma wetu upo Bukheri kwa kuwepo Fadhilat MAShayekh kama Hadharatak.Jazzaka Aalh kheyrn umekamilisha na kutimiza vilivyo.... Tusitupane mkuu.
 
'hapo mbona nilipaona pia ila tatizo vidole vilikuwa vinani Washawasha nkasema ngoja nikuachie utamrekebisha ww asee,heh heh'
Basi nilijua tu vidole vilipokuwa vina kuwasha ukaamua kutoka nduki na kupaacha vile.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom