Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
Ukiacha utofauti wa maneno ni ipi tofauti iliyopo kati ya Kafara na Shirki?
Nalog off
Nalog off
Haya kiongozi tunakusubiri wewe tu.hapa kuna kitu kinajificha lakini soon kitakuwa wazi,ama Zito ama ccm,tutajua tu ngoja tuifanyie hii kitu kazi,kuna ukwnel hapa na nikifanikisha nimwaga kila kitu hapa,
sawa mkuu nasubiri na maoni ya wengine.Duh naona kama yanafanana tu yote
Swadakta,ila ni nini tofauti ya hivyo vitu viwili?Walmushrikina fiy nnar jahannam khalidina fiha abada...
Swadakta,ila ni nini tofauti ya hivyo vitu viwili?
Nalog off
Walmushkirikina fiy nnar jahannam halidina fiha adada...
farkhina,'sio halidina ni khaalidiynana pia sio adada ni abada au nikupe na tafsiri yake mamitto...?'
Ukiacha utofauti wa maneno ni ipi tofauti iliyopo kati ya Kafara na Shirki?
![]()
![]()
Nalog off
'sio halidina ni khaalidiynana pia sio adada ni abada au nikupe na tafsiri yake mamitto...?'
kafara n kutoa kitu kama sadaka kwa mizimu,ama matoleo ama kutambikia mizimu am kitu chochote kama hicho
na shirki ni yamini,ama kiapo
farkhina,<!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->farkhina<!-- google_ad_section_end -->![]()
AL-Habib Nduki..JazakaAllah kheyrn; Nakupongeza kwa kufuatiliya... "Tuwehadher katika Quotings za kaLaam Allah"
Wote;
Kind Thanks for Correction, BarakaAllah-fikum.