Ipi tofauti kati ya Sea na Ocean?

Ipi tofauti kati ya Sea na Ocean?

1486.jpg
 
Hilo swali limewai kuulizwa humu.
Wakisema
Ocean ni bahari kuu
Sea ni bahari ya mwambao

Chat gpt anasema hivi
Ocean = bahari kuu/janga kubwa la maji ya chumvi, ni kubwa sana na kwa kawaida hutenganisha mabara. Mfano: Indian Ocean, Atlantic Ocean, Pacific Ocean.
🌊 Sea = sehemu ya ocean iliyo ndogo, mara nyingi iko karibu au imezungukwa kwa kiasi na nchi/ardhi. Mfano: Mediterranean Sea, Red Sea, Arabian Sea.
Kwa kifupi:
Ocean ni kubwa zaidi; Sea ni sehemu ndogo ya ocean.
 
Ocean inaitwaje Kwa kiswahili?
Sea inaitwa vipi Kwa kiswahili?
 
mkuu lakini ukicheki hapo kuna red sea na kenzake hako ka sham af kunabaab kubwa indian ocean hiyo ndo itakuwa tofauti yake japo zote ni bahari.. nimetumia akili yangu tu lakni mkuu
 
Sawa mkuu, lakini sijapata jibu.
Ocean na Sea hakuna maneno ya kiswahili?

Maana kama Binadamu na Mtu tunaweza kusema
Binadamu ni Humans,
Mtu ni Person.
Kiswahili hakijitoshelezi maneno kama tabia mojawapo ya lugha, kwa hio kama halipo neno basi litakuja kupatikana.
 
Back
Top Bottom