Mademu wengine wana lawama...Wakisikia Boyfriend wake AMECHEAT atapiga kelele...atamsuta "Umekosa nini Mwanaume huridhiki,Utamaliza Nyama bucha Ileile,kwani mi sikupiiii,si nakuuliza wewe Hasidi Fisadi namba 1 wa Mapenzi usiyetosheka,Kwani Haikutoshi hii?"
Anatokwa Povu wakati In Reality HAKUNA ANACHOFANYAGA...Anachojua ni Kubetua ile LOKI ya Sidiria na Kujilaza Chanuu kusubiria Mkwaju..Baada ya hapo anachojua ni makelele tu kama gari ya takataka..Kazi yote ufanye wewe...Sasa kuna wanawake huko nje wakikudaka lazima upagawe maana Ukifika mlangoni unadakwa kabla hata hujavua viatu,Unafinywa Si kufinywa,Unameng'enywa na mchanganyiko wa Meno na Kucha unabaki unaweweseka kama Kondoo aliyesahau Mlango wa Banda..Khanga ikianguka Mtoto ana Shanga kama 76 za rangi tofauti anakubidua,Mguu mmoja dirishani mwingine kwenye Feni..Ukija kutua unasindikizwa na Busu la Sikio unaambiwa Poleeee...halafu unapewa Juisi ya Embe huku unakunwakunwa Ulale...
Sasa wewe unabetua Sidiria unatulia kama Ndama mwenye Mdondo...Akimaliza unamwambia "SOGEA HUKO TULALE UNANIBANA"
Asipochepuka labda ni Mhashamu Askofu Mwandamizi wa Kigango cha Mavurunza.
Sio mitazamo tu!!!!! ukija kwenye maisha halisi watu wanachepuka balaa......... me kama mwanamke nawezaje kuzuia mchepuko wa mume ???????
Wako wanaume wengi wenye wake wenye wake wazuri na wanatimiziwa kila kitu na bado kuchepuka kuko palepale....... na hakuna mwanaume asiye na mchepuko tofauti tu ni wengine wanafanya kwa siri sana na wengine wako wazi
Mapenzi tunaolewa na tusiowapenda matokeo yake inakua rahisi sana kuchepuka...
Kazi ipo hapo. Siku hiz watu wakikutana hanimuni wanachati kwanza na x wao bfore
tinna bhana acha mambo yako, hakuna mwanaume asiye na mchepuko? Una uhakika?Sio mitazamo tu!!!!! ukija kwenye maisha halisi watu wanachepuka balaa......... me kama mwanamke nawezaje kuzuia mchepuko wa mume ???????
Wako wanaume wengi wenye wake wenye wake wazuri na wanatimiziwa kila kitu na bado kuchepuka kuko palepale....... na hakuna mwanaume asiye na mchepuko tofauti tu ni wengine wanafanya kwa siri sana na wengine wako wazi
tinna bhana acha mambo yako, hakuna mwanaume asiye na mchepuko? Una uhakika?
Na nikikuambia sina mchepuko na wala sifikirii kuwa nae utasemaje?
Haya ndiyo yanayosababisha mtu kuchepuka...
1.UMASKINI.
2.UPUMBAVU.
3.USHAMBA/ULIMBUKENI.
4.LAANA.
Hivi Wewe si nanii au?
Kwanini uolewe na usiye mpenda wakati kuna uhuru wa kujichagulia mwenza siku hizi?
wacha kudanganya wenzio...skype whatsapp are a pior substitute for the human touch nd intimacy....ingekuwa hivyo watu sii wangegedana na hizo watsapp na facebook zao
Angekuwa ni mtu mwingine,sawa ila wewe mzabzab kwako relationship ni kugegedana tu......nilivyosema mawasiliano mazuri,nilimaanisha mawasiliano ya mara kwa mara,ambayo yanaleta ukaribu.......sasa kama unampigia simu mkeo mara moja kwa mwezi.... mwenzio anapata picha labda humjali,ushapata mwingine.....sikumaanisha watu wagegedane through skype,ingawa watu wana do mpaka wanacome....pia nilivyosema mawasiliano yamerahisishwa nilimaanisha technology imefanya mambo kuwa rahisi,..........hizo intimacy na human touch ndio huwezi kuzipata facebook.....ila kama mna mawasiliano mazuri you will hold on,mnapanga mkutane once in a while kabla hamjawa pamoja.......
Takbiiiiiiiiiiiiir
Walahuuuuu unamkubali lol
Uzuri akili zako zinakutosha mwenyewe. Mie nakuangalia tu, siku unaniambia unamuwowa Jestina ndio nitafanya conclusions