Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,563
- 22,839
Kwanini uolewe na usiye mpenda wakati kuna uhuru wa kujichagulia mwenza siku hizi?Mapenzi tunaolewa na tusiowapenda matokeo yake inakua rahisi sana kuchepuka...

Kwanini uolewe na usiye mpenda wakati kuna uhuru wa kujichagulia mwenza siku hizi?
Unaongea utadhani wanaochiti ni wanaume tu...
Kazi sana...
Do me I do you....[/QUOTE]
Msingi wa kwanza wa ndoa imara hujengwa na upendo wa dhati ndani ya nyoyo za wana ndoa na sio tamaa ndani ya vifua vya wanandoa.....
Vijana wengi tunachukulia ndoa kama jambo jepesi na la mchezo mchezo ndio maana huwa nashangaa nikisikia watu waliokutana jana kwenye daladala kesho unasikia wameshaoana.......
Msingi wa pili wa ndoa imara ni kuvumiliana kwa kuwa miongoni mwenu hakuna aliyekamilika na huwezi kumkamilisha basi huna budi kumvumilia.......
Kumbuka huyo mtu unayeenda kuishi naye ametoka familia tofauti sana na wewe kwa hiyo na yeye amepata malezi tofauti sana na wewe kwa hiyo katika hali kama hiyo silaha kubwa ni uvumilivu hasa kwa yale yanayovumilika.....
Vile vile vijana tupunguze matazamio na matarajio yaliyopitiliza kwa wapendwa wetu...tuondoke katika ulimwengu wa tamthilia tuingie katika ulimwengu halisi na tuyachukulie mambo katika uhalisia wake......
Vile vile wanandoa wajitahidi kumaliza migogoro midogo modogo kati yao ili nyumbani pawe mahala pa kuvutia kwa wanandoa....nyumbani pakigeuka kama uwanja wa masimango na manyanyaso hali hiyo humpelekea mwanandoa kutafuta amani , upendo na furaha mahali pengine ( MCHEPUKO)
Pia vijana ingefaa tujipime wenyewe je nipo tayari kuingia kwenye ndoa kwa kuwa ndoa sio jambo la mchezo....isiwe sababu ya pesa zake au umaarufu wake au hata kwa msaada anayokupatia bali kwa nafasi yake moyoni mwako....
Imani yangu inaniambia kuwa ni vigumu sana kumsaliti mtu ambaye umemchagua kutoka moyoni kwa kuwa hata nafsi yako itakusuta na utajiona mwenye hatia daima....
Wow!!!! Nice comment
Mademu wengine wana lawama...Wakisikia Boyfriend wake AMECHEAT atapiga kelele...atamsuta "Umekosa nini Mwanaume huridhiki,Utamaliza Nyama bucha Ileile,kwani mi sikupiiii,si nakuuliza wewe Hasidi Fisadi namba 1 wa Mapenzi usiyetosheka,Kwani Haikutoshi hii?"
Anatokwa Povu wakati In Reality HAKUNA ANACHOFANYAGA...Anachojua ni Kubetua ile LOKI ya Sidiria na Kujilaza Chanuu kusubiria Mkwaju..Baada ya hapo anachojua ni makelele tu kama gari ya takataka..Kazi yote ufanye wewe...Sasa kuna wanawake huko nje wakikudaka lazima upagawe maana Ukifika mlangoni unadakwa kabla hata hujavua viatu,Unafinywa Si kufinywa,Unameng'enywa na mchanganyiko wa Meno na Kucha unabaki unaweweseka kama Kondoo aliyesahau Mlango wa Banda..Khanga ikianguka Mtoto ana Shanga kama 76 za rangi tofauti anakubidua,Mguu mmoja dirishani mwingine kwenye Feni..Ukija kutua unasindikizwa na Busu la Sikio unaambiwa Poleeee...halafu unapewa Juisi ya Embe huku unakunwakunwa Ulale...
Sasa wewe unabetua Sidiria unatulia kama Ndama mwenye Mdondo...Akimaliza unamwambia "SOGEA HUKO TULALE UNANIBANA"
Asipochepuka labda ni Mhashamu Askofu Mwandamizi wa Kigango cha Mavurunza.

Distance nayo inachangia,kama mko mbali mbali,kuweni na mawasiliano mazuri,otherwise ni rahisi sana kupata vishawishi kama mpenzio yuko mbali.......siku hizi mawasiliano yamerahisiswa ,watsaap,skype,facebook etc....
nimependa mchango wakomsingi wa kwanza wa ndoa imara hujengwa na upendo wa dhati ndani ya nyoyo za wana ndoa na sio tamaa ndani ya vifua vya wanandoa.....
Vijana wengi tunachukulia ndoa kama jambo jepesi na la mchezo mchezo ndio maana huwa nashangaa nikisikia watu waliokutana jana kwenye daladala kesho unasikia wameshaoana.......
Msingi wa pili wa ndoa imara ni kuvumiliana kwa kuwa miongoni mwenu hakuna aliyekamilika na huwezi kumkamilisha basi huna budi kumvumilia.......
Kumbuka huyo mtu unayeenda kuishi naye ametoka familia tofauti sana na wewe kwa hiyo na yeye amepata malezi tofauti sana na wewe kwa hiyo katika hali kama hiyo silaha kubwa ni uvumilivu hasa kwa yale yanayovumilika.....
Vile vile vijana tupunguze matazamio na matarajio yaliyopitiliza kwa wapendwa wetu...tuondoke katika ulimwengu wa tamthilia tuingie katika ulimwengu halisi na tuyachukulie mambo katika uhalisia wake......
Vile vile wanandoa wajitahidi kumaliza migogoro midogo modogo kati yao ili nyumbani pawe mahala pa kuvutia kwa wanandoa....nyumbani pakigeuka kama uwanja wa masimango na manyanyaso hali hiyo humpelekea mwanandoa kutafuta amani , upendo na furaha mahali pengine ( mchepuko)
pia vijana ingefaa tujipime wenyewe je nipo tayari kuingia kwenye ndoa kwa kuwa ndoa sio jambo la mchezo....isiwe sababu ya pesa zake au umaarufu wake au hata kwa msaada anayokupatia bali kwa nafasi yake moyoni mwako....
Imani yangu inaniambia kuwa ni vigumu sana kumsaliti mtu ambaye umemchagua kutoka moyoni kwa kuwa hata nafsi yako itakusuta na utajiona mwenye hatia daima....
Yaani kama hii ndo mitazamo toka kwa wanawake basi michepuko haitakwisha..!
Sio mitazamo tu!!!!! ukija kwenye maisha halisi watu wanachepuka balaa......... me kama mwanamke nawezaje kuzuia mchepuko wa mume ???????
Wako wanaume wengi wenye wake wenye wake wazuri na wanatimiziwa kila kitu na bado kuchepuka kuko palepale....... na hakuna mwanaume asiye na mchepuko tofauti tu ni wengine wanafanya kwa siri sana na wengine wako wazi
Uko sawa kabisa tinna cute.. Nilisema hivyo kuhitimisha nadharia iliyopo.. Ila ninajua michepuko haiwezi kwisha.. Ndo maana nikasema kwenye comment nyingine kule kwamba wakati mwingine wanaume wanachepuka kutokana na mapokeo tu (its about man being a man).. Na hiyo ni salama kwa kuwa heshima kwa mke wake itakuwa pale pale na mchepuko wake ataufanyia mbali huko.. Huwezi kuwalinganisha na wanaume ambao kila wakiona kichaka wanasikia mkojo.. Hawa ndo wanaume hatari kwa michepuko maana hawajali wanachepuka na nani as long as huo mchepuko una jinsia ya ke.. Na huwa wanawatokea hata rafiki wa wake zao au majirani zao..