utamaliza mabucha.Nyama hazifanani zina ladha tofauti
utamaliza mabucha.Nyama hazifanani zina ladha tofauti
Yaani kama hii ndo mitazamo toka kwa wanawake basi michepuko haitakwisha..!
Kuchepuka sio dili baki njia kuu.
Itaishaje sasa shemeji, haiwezi kuisha michepuko ndo habare....
Akijenga kiota mi najenga mzinga kabisa shemeji...man being a man my ass ha ha ha it will only be applicable siku nkienda India kuchukua moyo wa spea!!!!Ha ha ha ha shem.. Jaribuni kutowapa sababu basi wanaume wasichepuke..! Unajua ni afadhali mwanaume achepuke kwa kuwa tu ni mwanaume (wanasema its about man being a man) kuliko achepuke kwa kuwa amekosa kitu toka kwa mke wake..! Michepuko ya aina hii wanajenga viota kabisa huko michepukoni..
kubaki njia kuu sio dili...
Michepuko ina manyenyere shauri yako au una hamu ya kutumia minjingu maisha yako yote?
kuna kitu kinanishangaza mtu ana ndoa haina hata miezi sita anachepuka kwa kasi ya kimbunga, sasa kama aliyemuweka ndani hampendi alimuowa wa nini?
au mkewe anakuwa hana ladha au ugomvi bora hata ndoa ya mwaka au miaka utasema wamechokana, sasa imekuwa mtu anakatisha haneymoon ili akachepuke.
Najiuliza nini kinasababisha
Kabla ya kuolewa wanawajibika kila idara.Ile wakiwekwa ndani wanajisahau(Habari ndio hii)Utaki wewe jeuri..
kubaki njia kuu sio dili...
kukaa bila mchepuko ni sawa na kusafiri bila spea tairi, ndugu tafuta kazi ya nje wewe....
Ha ha ha wiki ya ile comment au wiki ya nini lol....Yani we Eva hata wiki haijaisha lakini tayari ushaanza kuchepuka?teh!!
ndo mawazo yako yamekutuma hivo....View attachment 210104