Ni nini kinasababisha watu kuchepuka

Ni nini kinasababisha watu kuchepuka

Siku hizi nimeokoka,Paw aliniongoza sala ya toba,sitaki ugomvi na mtu,NN na King'asti sitaki ugomvi wenu.....
 
Atakuwa ok huyo mtoto manake mtamvutisha bhange since birth.

But i will take princess msije mkam-pollute

Princess would love your company.

She'd probably sing you all of her nursery rhymes that she can remember including Itsy Bitsy Spider (her favorite one), show you her latest dance moves that I can't keep up with, show you her report cards and all the accolades she gets from school and much more.

She's a handful but there won't be a dull moment.
 
Angekuwa ni mtu mwingine,sawa ila wewe mzabzab kwako relationship ni kugegedana tu......nilivyosema mawasiliano mazuri,nilimaanisha mawasiliano ya mara kwa mara,ambayo yanaleta ukaribu.......sasa kama unampigia simu mkeo mara moja kwa mwezi.... mwenzio anapata picha labda humjali,ushapata mwingine.....sikumaanisha watu wagegedane through skype,ingawa watu wana do mpaka wanacome....pia nilivyosema mawasiliano yamerahisishwa nilimaanisha technology imefanya mambo kuwa rahisi,..........hizo intimacy na human touch ndio huwezi kuzipata facebook.....ila kama mna mawasiliano mazuri you will hold on,mnapanga mkutane once in a while kabla hamjawa pamoja.......

mhm wacha mie nibki na ushamba wangu..mke wangu full kmgand. take advise from holywood mabingwa wa kubwgana if u want to short circit ur marriage live in different cities'
 
Mie nina sababu moja tu ya kuchepuka. Maudhi. Sipendi maudhi yasiyo na kichwa wala miguu. Kununiwa nuniwa bila sababu. Kunyimwa unyumba. Hivyo vitu ndivyo vinanifanya nipate tulizo mahali. Michepuko inajua kweli kulea. Tena mchepuko ukiwa unajimudu kiuchumi basi Wewe ni kupikiwa tu. Kazi yako ni kusimamia shoo.
 
Kuchepuka sio dili baki njia kuu.
Njia kuu yako, mchepuko wa mwenzio.
 
Kweeli lakini. Hata kama wanawake hatupendi hii nayo pointi

Mchele mmoja mapishi mbalimbali! tafakari.....

Haya ndiyo yanayosababisha mtu kuchepuka...
1.UMASKINI.
2.UPUMBAVU.
3.USHAMBA/ULIMBUKENI.
4.LAANA.

Huwezi kula muhogo dagaa siku zote lazima ubadilishe mlo

Njia kuu foleni.............

Nyama hazifanani zina ladha tofauti

Mkuu ndoa zenyewe mwayangu mwayangu "umelazimishwa tu, mbuzi kwenye gunia, ulimpa mimba demu, au wazazi wamekukomalia"

kukaa bila mchepuko ni sawa na kusafiri bila spea tairi, ndugu tafuta kazi ya nje wewe....

Hujataja mautundu kunako majambozzzzz

hiyo inaangukia hapo kwenye USHAMBA/ULIMBUKENI

1. Tamaa ya fedha au mwili
2.majaribio ya aina ya wanaume au wanawake
3.masuala ya kiimani, mfano pepo
4.kutoridhika kwa hali yoyote na mtu uliyenaye
5.mob psychology ( kutegemeana na uwezo Wa kufikiri Wa mtu)
Sababu ni nyingi sanaa kila mmoja wetu ana sababu zake kuchepuka kwa pande zote kwa wanaume na kwa wanawake.
Labda uanzishwe uzi unaosema " kila mtu aliyewahi kuchepuka aeleze sababu za kuchepuka" kila mmoja atakuja sababu zake
 
Sio mitazamo tu!!!!! ukija kwenye maisha halisi watu wanachepuka balaa......... me kama mwanamke nawezaje kuzuia mchepuko wa mume ???????
Wako wanaume wengi wenye wake wenye wake wazuri na wanatimiziwa kila kitu na bado kuchepuka kuko palepale....... na hakuna mwanaume asiye na mchepuko tofauti tu ni wengine wanafanya kwa siri sana na wengine wako wazi

Mimi sina mchepuko bwana
 
Yaani kama hii ndo mitazamo toka kwa wanawake basi michepuko haitakwisha..!

Michepuko haitoisha ndugu maana hata Biblia imenena.....Wanawake saba watamkamata mwanaume mmoja....watamwambia tutakula tutakunywa vya kwetu ila tukubali tuitwe kwa jina lako ( yaani Mrs somebody). Mwanamke hata kama ni tajiri but hajaolewa atakuwa mchepuko wa mtu. Atakula atakunywa kwa pesa yake but ilimradi awe na mwanaume hata kama ni mume wa mtu.
 
Tina unakosea unaposema wanaume hatuna shukurani kuna jamaa yangu mmoja alitambulishwa kwa msichana wakaongea na wakaoana baada ya miezi miwili tu mwanamke alichepuka bila ya sababu yoyote ambayo mume amefanya je hapo ni nani asiye na shukurani?
 
e kwa hiyo katika hali kama hiyo silaha ulie mambo katika uhalisia wake......
Vile vile wanandoa wajitahidi kumaliza migogoro ma uwanja wa masimango na manyanyaso hali hiyo humpelekea mwanandoa kutafuta amani , upendo na furahpengine ( MCHEPUKO) ukisalitiwa unakosa ujasiri wa kuvumilia
Pia vijana ingefaa tujipime wenyewe je nipo tayari kuingia kwenye ndoa kwa kuwa ndoa sio jambo la mchezo....isiwe sababu ya pesa zake au umaarufu wake au hata kwa msaada anayokupatia bali kwa nafasi yake moyoni mwako....
Imani yangu inaniambia kuwa ni vigumu sana kumsaliti mtu ambaye umemchagua kutoka moyoni kwa kuwa hata nafsi yako itakusuta na utajiona mwenye hatia daima....[/QUOTE]
 
Sababu ni nyingi sanaa kila mmoja wetu ana sababu zake kuchepuka kwa pande zote kwa wanaume na kwa wanawake.
Labda uanzishwe uzi unaosema " kila mtu aliyewahi kuchepuka aeleze sababu za kuchepuka" kila mmoja atakuja sababu zake

Michepuko muhimu, wife akijua una mchepuko adabu tele, hata mimi natafuta mchepuko usiomilikiwa na mtu, ni pm kama upo tayari
 
Msingi wa kwanza wa ndoa imara hujengwa na upendo wa dhati ndani ya nyoyo za wana ndoa na sio tamaa ndani ya vifua vya wanandoa.....
Vijana wengi tunachukulia ndoa kama jambo jepesi na la mchezo mchezo ndio maana huwa nashangaa nikisikia watu waliokutana jana kwenye daladala kesho unasikia wameshaoana.......
Msingi wa pili wa ndoa imara ni kuvumiliana kwa kuwa miongoni mwenu hakuna aliyekamilika na huwezi kumkamilisha basi huna budi kumvumilia.......
Kumbuka huyo mtu unayeenda kuishi naye ametoka familia tofauti sana na wewe kwa hiyo na yeye amepata malezi tofauti sana na wewe kwa hiyo katika hali kama hiyo silaha kubwa ni uvumilivu hasa kwa yale yanayovumilika.....
Vile vile vijana tupunguze matazamio na matarajio yaliyopitiliza kwa wapendwa wetu...tuondoke katika ulimwengu wa tamthilia tuingie katika ulimwengu halisi na tuyachukulie mambo katika uhalisia wake......
Vile vile wanandoa wajitahidi kumaliza migogoro midogo modogo kati yao ili nyumbani pawe mahala pa kuvutia kwa wanandoa....nyumbani pakigeuka kama uwanja wa masimango na manyanyaso hali hiyo humpelekea mwanandoa kutafuta amani , upendo na furaha mahali pengine ( MCHEPUKO)
Pia vijana ingefaa tujipime wenyewe je nipo tayari kuingia kwenye ndoa kwa kuwa ndoa sio jambo la mchezo....isiwe sababu ya pesa zake au umaarufu wake au hata kwa msaada anayokupatia bali kwa nafasi yake moyoni mwako....
Imani yangu inaniambia kuwa ni vigumu sana kumsaliti mtu ambaye umemchagua kutoka moyoni kwa kuwa hata nafsi yako itakusuta na utajiona mwenye hatia daima....

Maukweli. Umetisha!
 
Sababu ni nyingi sanaa kila mmoja wetu ana sababu zake kuchepuka kwa pande zote kwa wanaume na kwa wanawake.
Labda uanzishwe uzi unaosema " kila mtu aliyewahi kuchepuka aeleze sababu za kuchepuka" kila mmoja atakuja sababu zake

You are right mkuu!
 
Back
Top Bottom