kama mtu huoni sababu ya kukosa mambo unayoweza kupata duniani, kwanini uvumilie?
watu hawaoni sababu ya kuwa mwaminifu kwa mwenzi, kwa nini wajizuie?
Mimi kwa upande wangu namthamini sana mwenzi wangu, nathamini sana hisia zake, naogopa sana nikimuudhi, napenda sana akifurahi, naona fahari kuwa wake; so kwa sababu hizi kubwa, na kiapo changu mbele ya Mungu na wazazi wangu, sitaweza kuchepuka. Labda nikiwa kichwa kimevurugika.
Na yeye ni hivyo hivyo (kwa uhakika).
Ukitaka usichepuke, jifunze kujikatalia, wengine huanza mazoezi ya kufunga chakula nk. otherwise hutaweza.
watu wenyewe siku hizi wako loose 100%, ni wewe tu mwenyewe.