Ni nini kinasababisha watu kuchepuka

Ni nini kinasababisha watu kuchepuka

Michepuko haitoisha ndugu maana hata Biblia imenena.....Wanawake saba watamkamata mwanaume mmoja....watamwambia tutakula tutakunywa vya kwetu ila tukubali tuitwe kwa jina lako ( yaani Mrs somebody). Mwanamke hata kama ni tajiri but hajaolewa atakuwa mchepuko wa mtu. Atakula atakunywa kwa pesa yake but ilimradi awe na mwanaume hata kama ni mume wa mtu.
kifungu tafadhali
 
michepuko muhimu, wife akijua una mchepuko adabu tele, hata mimi natafuta mchepuko usiomilikiwa na mtu, ni pm kama upo tayari

jiheshimu mimi ni mwanaume au dume lililokamilika unahitaji pm kwani we punga
 
Na chanzo ni kupatikana kwa michepuko yenyewe, kusingekuwa na michepuko unadhani nani angechepuka?
Ova
 
Ndoa za siku hizi ni vimeo Tu, watu wengi hudhani ndoa ni harusi na kula ubwabwa kumbe ni zaidi ya hapo.
 
Natafuta mwanamke wa kuchepuka nae humu kuanzia ijumaa nipo free (likizo) kama upo pouwa inbox me tuzoeane kwa chatting kwanza
 
Juu ya hayo yote, kubwa ni kukosa upendo wa kweli. Wengi wanaoana kwa fashion, kuiga, tamaa, n.k., si kwa kupendana kwa dhati.

Kweli kabisa...mpende mume (mke) wako kama nafsi yako! Ikiwa hivyo no michepuko. Michepo ipo kwa kuwa kuna Michepuka.
 
Back
Top Bottom