Ni nini kinachosumbua Maalim Seif?

Ni nini kinachosumbua Maalim Seif?

Mnalalamika hamtaki muungano lakini bado mnatujazia foleni na msongamano mjini hizo hoka si mkazifanyie kwenu asilimia kubwa ya mnaojiita wa zenji mpo bara au nje ya nchi mngekuwa na uchungu mngerudi kwenu kuchangia maendeleo kwanza hasa elimu muweze kudai nchi yenu sio kujaza sever humu huku mmejazana kariakoo.
 
hivi jaman kwani kuna kitabu gani cha dini kimeandika lazima Tanganyika na Zanzibar tuungane?? tuwaacheni hawa wazanzibar kanchi kao tuone watakavyoauana na hasira zao na umwinyi.., maana wanajiona kama wao ndio wajuaji wa kila jambo..., mara waseme hatujui Kiswahili,mawa waseme hatuna maadili.., yaani kwa mzanzibari mwanaume shoga ni bora kuliko mwanaume mlevi..,kifupi we have different culture so kwann tulazimishe muungani na watu wasiofika hata million 2..,
 
Kwanini utabiri muungano ukifa wznz watauwana. Ivi kabla ya muungano znz kukikuwa na mauwaji gani na ndani ya muingano mauwaji gani yamepotea? Ukumbuke kuwa znz ipo tokea dunia hii iyumbwe na znz ilikuwa ni nchi ya mfano ktk hii dunia sio tu ktk bara la Afrika. Znz ilikuwa juu kiuchumi kimaadili kisiasa na kijamii na hata kibiashara ilikuwa mahiri sana na hapakuwa na mauwaji ya aina yeyote yale na ilikuwa ina mahusiano mazuri sana ya kidini kikabila na hata kimatifa. Ukiangalia historia znz ilichanganya raiya wa mataifa mbali mbali na wadini mbali mbali bila kutofautiana katika hayo.na waliishi kwa lugha 1 na kwa utaifa mmoja. Kwahiyo usijiaminishe kama muungano ukifa znz kutatokea mauwaji. Ingawa suala la kufa kwa muungano hakuna hata huyo seif hataki muungano ufe anachotaka ni kuuboresha muubgano tu na kuondoea kero za muungano
 
Mnalalamika hamtaki muungano lakini bado mnatujazia foleni na msongamano mjini hizo hoka si mkazifanyie kwenu asilimia kubwa ya mnaojiita wa zenji mpo bara au nje ya nchi mngekuwa na uchungu mngerudi kwenu kuchangia maendeleo kwanza hasa elimu muweze kudai nchi yenu sio kujaza sever humu huku mmejazana kariakoo.

Wazanzibari kuwepi kariakoo sijambo la Muungno tu. Nijambo la kihistoria kabla ya Mipaka rasmi ya UN ilio igawa Afrika ikiwemo na Afrika Mashariki. Ukumbuke kabla ya Mipaka hiyo kugawiwa D'salaam ilikuwa chini ya znz nasio D'salaam tu ni Pwani yote ya Afrika Mashariki ilikuwa chini ya utawala wa znz ndio maana unakuta wenyeji wa Pwani ya Afrika Mashariki wanauhusiano mkubwa wa kindugu kitaifa na wakitamaduni. Kwahiyo ukimkuta mzanzibari kariakoo usidhani ameletwa na Muungano tu au ukimkuta Mziguwa,Mdengereko, Mdigo,Mzaramu nk Malindi usidhani ni muungano tu ndio umewapeleka Malindi znz.Angalia mzee Abud Jumbe Mzee Ali Hasan Mwinyi Asili yao mze Salmin Amour asili yake kwa faida yako tu znz ilikuwa na maingiliano mpaka Malawi, Zaire ya kivu ndio maana mzee karume alihamia znz akitokea Malawi Nyasa Land .kwahiyo ondoa fikra zako kuwa Mznzibari ni mgeni kko.Na ukiangalia Historia hii ndio panapo patikana ugmu wa kuvunja Muungano zaidi ni kuuboresha na kuondowa kero za pande zote 2 za Muungano..Unataka kuniambia Muungano ukivunjika Mzee Mwinyi, Mzee Jumbe;Mzee Salmini utwapeleka wo znz au Tanganyika? Achilia Mbali Familia ya Marehem Mzer karume hii tunaweza kumuomba Mama banda Rais wa Malawi akaja kuchukuwa Jamaazake.Lakini na ww ukae mkao wa kula maana hapo kko kuna watu wengi mpaka wachina wapo na hata Wanyruanda wa Tutsi na Wahutu sasa isiwe ww ni hao Jsmaa zake Kagame hutobaki hapo.
 
nikujibu kifupi tu Mukulu wane kwamba!; 'Njaa inaponza makalio!.' na ukipanda bange huwezi vuna nanasi! Teh teh teh teh!

Wewe mgen,

Karibu Zanzibar tukunyweshe chai ya mchaichai na urojo. Muulize yule jamaa yenu wa Longido siku hizi anajiita Dully Mmasai. Ikiwa Simba katulizwa na kikombe cha chai pale Malindi jee wewe kinguchiro?
Ritz. kahtaan Tayeb, mfumo, faby, big show
 
Last edited by a moderator:
Maalim ni mwiba unaowatesa wahafidhina. Muulize DR Shein atakujuza vizuri anachokitaka Maalim.

BTW, Pasco wewe si ni mwandishi wa habari?

Is it not a good idea ukiomba appointment ya kumfanyia mahojiano Maalim Seif badala ya kubwabwaja?
Bocho,

Huyu Pasco kila main stream media inamktaa si amefukuzwa TBC kataka kubaka mtu kule. Sasa anasema eti yeye freelance.
Tena anavyo jipakazia humu JF kwenye nyuzi nyengine eti atafika US karibuni kufanya utafiti (investigative reporting) juu ya uhalali wa Muungano.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Synthesizer, umefika wakati tuite koleo kwa jina lake: kwangu mimi Maalim ni mtu mbinafsi, mnafiki, egoist and a remarkable genius. Sijapata maneno halisi ya kiswahili kwa baadhi ya hizo sifa zake. Nadhani inatosha kutoa majibu kwa mshangao uliouelezea kwenye mada yako.

Maalim ni kiongozi mwenye akili nyingi sana. Enzi za Nyerere asingefanya upuuzi wake
 
Maalim ni kiongozi mwenye akili nyingi sana. Enzi za Nyerere asingefanya upuuzi wake

Ww humjui seif leo jana wala juzi uhai wa Jkn seif alifanya zaidi ya haya unayo yaona ya upuuzi huu ni msimamo na falsafa ya seif tangia akiwa hajawa na madaraka makubwa ktk Smz soma maandiko yetu ya huko nyuma utaona tulivyo muelezea seif.ww humjui seif unaadika tu kwa kuwa unajua kuandika.
 
Wewe mgen, Karibu Zanzibar tukunyweshe chai ya mchaichai na urojo. Muulize yule jamaa yenu wa Longido siku hizi anajiita Dully Mmasai. Ikiwa Simba katulizwa na kikombe cha chai pale Malindi jee wewe kinguchiro? Ritz. kahtaan Tayeb, mfumo, faby, big show
siku ya kwanza umelewa wenzio wala! Ya.2 ya tatu ni mzoefu hau! Umesha kuwa rojo! hanith mara.1
 
Last edited by a moderator:
Usijidanganye hata kidogo hakuna sultani wala muarabu anae fikiria kurudi znz.hizi fikra zako ziondowe au jaribu kufanya upya huo utafiti wako ulio kupa jibu hilo uliloliandika. Ninauhakika huijui historia ya znz na hata ya Tz unasikia tu maneno ya kwenye pombe .ndio unanukuu halafu unatuletea humu.

huya jamaa namshangaa....mamako na babako wasingefikiria ngono unazani ungekuwapo hapo acha chuki zako za kukuririshwa
 
Huwezi kuifananisha katiba ya smz na katiba ya simba na yanga hiyo ni dharau kwa smz na wananchi wote wa Tz wp Rage anatembea na ulinzi wa vyombo vya usalama vya Tz kama anavyo tembea Dr sheni au ulishawahi kumuona Manji akitembea na Escort ya vyombo vya usalama wa Taifa jambo kama hulijui ni vyema ukauliza kuliko kuandika maneno ambayo baadae utajiona -----. Katiba ya smz ni katiba kama katiba za nchi nyingine ndio maana kunasiku yakusherehekea mapinduzi ya znz na hiyo siku Dr sheni ndio anae pigiwa mizinga 21 na ndio anaekagua gwaride maalum na Dr kikwete anakuwa ngeni mualikwa tuu. Lini Rage na Manji wakapugiwa mizinga na kukaguwa gwaride.
nimekufahamisha kwamba!; katiba Mama ni ya Tz! Katiba nyingine zote kama za simba yanga znz ni cha mtoto? Huo ulinzi ni Haki kwa wenye nchi wote mwanangu! Kutangulia uwanjani Jmk hakumfanyi wala kumuondolea Ukamanda wa Tz!; Just kumpa mtoto pipi ili alale usingizi wa pono, mzee ale mzigo kiulaini! sawa?
 
Kwanini utabiri muungano ukifa wznz watauwana. Ivi kabla ya muungano znz kukikuwa na mauwaji gani na ndani ya muingano mauwaji gani yamepotea? Ukumbuke kuwa znz ipo tokea dunia hii iyumbwe na znz ilikuwa ni nchi ya mfano ktk hii dunia sio tu ktk bara la Afrika. Znz ilikuwa juu kiuchumi kimaadili kisiasa na kijamii na hata kibiashara ilikuwa mahiri sana na hapakuwa na mauwaji ya aina yeyote yale na ilikuwa ina mahusiano mazuri sana ya kidini kikabila na hata kimatifa. Ukiangalia historia znz ilichanganya raiya wa mataifa mbali mbali na wadini mbali mbali bila kutofautiana katika hayo.na waliishi kwa lugha 1 na kwa utaifa mmoja. Kwahiyo usijiaminishe kama muungano ukifa znz kutatokea mauwaji. Ingawa suala la kufa kwa muungano hakuna hata huyo seif hataki muungano ufe anachotaka ni kuuboresha muubgano tu na kuondoea kero za muungano

Uiwe na ufupi wakufikiri unataka kulinganisha wazanziabar wa Enzi hizo na wa sasa watu wamebadilika sana.., somaaam za nyakati wewe., leo ukienda unguja utawakuta wale masheikh wenye uwezo kama wakina farsy.???
 
uhuru wa mtu au nchi ni kitu kingine kabisa. Utumwa ni mbaya hata kama unakula siagi na mayai
zanzibar masikini ni bora kuliko ya sasa hivi haina mamlaka
haiwezi hata kukopa
haina uwezo wa fedha inazitumia
haina uwezo wa ku cotrol mfumuko wa bei unao anzia bara
haiwezi ku cotrol thamani ya fedha yote huamuliwa bara
kushuka kwa thamani kunasababishwa na mambo mengi ikiwemo madeni ya nchi. Hivyo madeni ya bara yanaathiri zanzibar pia
zanzibar haiwezi hata kuomba msaada kipeker
haiwezi hata kushiriki olympic au fifa games
haiwezi kuwa na balozi zake
haiwezi hata kukusanya visa fees ya watalii
haiwezi kukusanya kodi ya simu hata zile zitumikazo kule
haiwezi hata kuchimba au kutafuta gas na mafuta...yaliopo kwao
haiwezi kusajili bank au bima za kiislam za kutoka nje
haiwezi kuingiza mizigo bara ya viwanda kidogo walivyo navyo
hawawezi kuzuia wageni wanaoingia wakipitia tanganyika na kuja znz
rais wake hawezi hata kualika rais wa nchi nyengine au yeye kualikwa mpaka aombe ruhusa bara..n.k n.k n.k
listi ya haiwezi ni kubwa sana na yote ni kwa sababu ya kuwamo ndani ya mungano huu

sasa anapokuja mtu na kuwatukana wa znz kwa kuukataa uyumwa huu huyu naye ni sababu nyengine kwanimi wanasema baaas sasa yatosha...mta chelewesha tu lakini haki uhuru na utu wa mzanzibari utarudi
y
tunaipenda nchi yetu tutaisemea na tutawarithisha watoto wetu historia yetu.
Ukweli utabaki wale wa znz wasio yaona madhila haya ni wale wachumia tumbo ambao wanauza utu wao kwa ndururu
lakini hakuna ujinga mkubwa kama kuwa mtumwa .utumwa uwe wa mweupe au mweusi hauna tofauti
tuachieni nchi yetu japo tutaa nza moja lakini ni bora
Wacha ujinga wewe! Kama nchi ni jamhuri moja hayo uliyoorodhesha kudai kwa zanzaibar maana yake siunataka zanzibar huru? Sema hutaki muungano basi inatosha! Nyie watu wa ajabu kwelikweli. Wengine wanataka muungano lakiti kiti umoja wa mataifa. Mliona wapi nchi moja ina mabalozi wawili umoja wa mataifa au katika nchi ya kigeni.
 
Huyu Pasco kila main stream media inamktaa si amefukuzwa TBC kataka kubaka mtu kule. Sasa anasema eti yeye freelance.
Tena anavyo jipakazia humu JF kwenye nyuzi nyengine eti atafika US karibuni kufanya utafiti (investigative reporting) juu ya uhalali wa Muungano.
Mkuu Averose!, Du!. Yaani umepata siri zangu za TBC kuwa nilifukuzwa kazi kwa kutaka kubaka mtu?!. Kumbe kosa la kubaka kwa mtumishi wa umma, adhabu yake ni kufukuzwa kazi tuu?!, nilidhani ni kosa la jinai la kustahili, kushitakiwa mahakamani, kumbe ni utovu wa nidhamu tuu?!. Aliyekuambia alikuambia nilitaka kumbaka nani?!, na nilitaka kumbakia wapi?, chooni?, studio?, newroom?, au kwenye chumba cha ofisi?!. JF ni where we dare talk open!.

Kumbe baada ya kutimuliwa kazi TBC, huyu Pasco aliomba kazi main stream media mbalimbali, akakataliwa?!.

Kumbe mtu akifukuzwa kazi mahali, anakuwa hawezi tena kufika US, hivyo yeyote anaesema kuwa atakwenda US, ni kujipakazia tuu!?!.

Huyo Pasco aliposema mwaka huu atatinga US, alisema anakwenda kwa ajili ya investigative reporting tuu, au amesema, ana safari binafsi ya US, na akiwa huko, pia atafuatilia copy ya hati ya muungano pale UN?!.

Ama kweli jf ina mambo!.

Pasco.
 
nimekufahamisha kwamba!; katiba Mama ni ya Tz! Katiba nyingine zote kama za simba yanga znz ni cha mtoto? Huo ulinzi ni Haki kwa wenye nchi wote mwanangu! Kutangulia uwanjani Jmk hakumfanyi wala kumuondolea Ukamanda wa Tz!; Just kumpa mtoto pipi ili alale usingizi wa pono, mzee ale mzigo kiulaini! sawa?

Ww na Lisu hamuna tifauti waalimu wenu wa sheria ni makajanja
 
Uiwe na ufupi wakufikiri unataka kulinganisha wazanziabar wa Enzi hizo na wa sasa watu wamebadilika sana.., somaaam za nyakati wewe., leo ukienda unguja utawakuta wale masheikh wenye uwezo kama wakina farsy.???

Hiyo sio sababu ya kuifanya znz kuingia vitani pindi muungano ukivunjika hui ni mtazamo finyu sana watu wamezidu kustaarabika dunia ya leo sio ya jana wala juzi
 
Mnalalamika hamtaki muungano lakini bado mnatujazia foleni na msongamano mjini hizo hoka si mkazifanyie kwenu asilimia kubwa ya mnaojiita wa zenji mpo bara au nje ya nchi mngekuwa na uchungu mngerudi kwenu kuchangia maendeleo kwanza hasa elimu muweze kudai nchi yenu sio kujaza sever humu huku mmejazana kariakoo.

Na wale wazanzibar walioko Uingereza, canada na marekani pia warudi kwao? mana hatutaki tena muungano na nchi za America na ulaya

Wanyamwezi wangapi kutoka kahama na kigoma wameenda zanzibar kutafuta kazi za kulima viazi vitamu? mbona munajichanganya nyinyi? au wale wamachinga walipo pale darajan zanzibar wanaouza nyungo na dawa za panya wametokea burundi na kenya?
 
Back
Top Bottom