Ni nini kinachosumbua Maalim Seif?

Ni nini kinachosumbua Maalim Seif?

Seif anaumwa kichaa cha kupishana na urais wa Zanzíbar, anafikiri urais ni rahisi kama kufuga ndevu

Subirini basi Obama na Vatican wawaletee Rais mgense wa Tanganyika sisi tunao Madume wa kuwashughulikia!
 
Unaiona sudan ya kusini ? tatzo la wazanzibar they are so emotional.., na tulipofikia hapa ni vema tukatengana tu coz mnajiona u are so special..,
mtoto wa mama,
Rudi kwa mama yako ukanyonye juha mkubwa wewe!
Sudan ya Kusini ndio inahusu nini na Zanzibar?

Wale ni Wakristo waliomeguliwa kutoka Sudan wakachanganywa na wanubi wenzao wa Uganda na Kenya kufanya hilo taifa la Kusini ya Sudan. Wanachopigania sasa ni uroho wa madaraka, Utawala na Ukabila. Na hata nyinyi sasa hivi hapo tayari mnauwana ndani ya huo miungano 'mtukufu' Arusha, Geita, Iringa na Mtwara.

Ni nyinyi mnaouwa Zanzibaris sio wazanzibari kwa kisingizo cha Muungano. Si mumeapa kuulinda Muungano kwa gharama yoyote sasa wanaouwawa ndio gharama yenyewe. Yote mna dhana kama alivyotamka Mungu wenu Pengo kuwa Zanzibar ikitoka katika Mungano au kukiwa na serikali tatu itajiunga OIC basi na akamwambie Ma askofu mkuu wa Uganda na Mozambique wazitoe nchi zao katika OIC.

Nyinyi hamwezi kuubadilisha umma katika.maadili yake. Mwambieni Pengo aondoe Pombe, Umalaya, Madawa ya kulevya, ufisadi ndani ya Tanzania, aongoze wafuasi wake katika maadili anayotaka Mungu sio apigane kuibatiza Zanzibar!
 
Last edited by a moderator:

Unajua Mtoto wa Mama alisema "tatizo la wazanzibar they are so emotional..." na jinsi ulivyomjibu hapa unampa uthibitisho kamili kwamba alichosema Mtoto wa Mama ni kweli. Ni vigumu sana kujadili muungano na mtu mwenye namna yako ya mawazo na kuongea. Huongei point, unapayuka tu maneno yasiyo na maana wala logiki. Sasa nafikiria itakuwaje ikiwa wewe na Mzanzibar mwingine kama wewe mkiwa na jambo msilokubaliana - yaani hapo ni majambia tu yatakayoongea!

Hivi unadhani Zanzibar hakuna malaya, madawa ya kulevya, ufisadi nk? Tena hata wanaume wanaopenda wanaume ni wengi tu!

Ukweli ni kwamba, kama ambavyo nitasema ndugu zangu huku bara Wakurya wengi ni ngumi mkononi, nitasema pia Wazanzibar wana tatizo sana kufanya mambo kwa kufuata hisia badala ya logiki. Labda ndio desturi zenu kutokana na mazingira yenu, lakini you are far from being peaceable. Mmekaa ki-ugomvi ugomvi tu na hicho ndicho kitasababisha mchinjane nyie kwa nyie pale muungano ukitoweka. Muungano umesaidia sana uvumiliano kati ya race tofauti huko Zanzibar. Mzanzibar yeyote mwenye akili na kufikiri kuzuri atakili hilo.
 
mtoto wa mama,
Rudi kwa mama yako ukanyonye juha mkubwa wewe!
Sudan ya Kusini ndio inahusu nini na Zanzibar?

Wale ni Wakristo waliomeguliwa kutoka Sudan wakachanganywa na wanubi wenzao wa Uganda na Kenya kufanya hilo taifa la Kusini ya Sudan. Wanachopigania sasa ni uroho wa madaraka, Utawala na Ukabila. Na hata nyinyi sasa hivi hapo tayari mnauwana ndani ya huo miungano 'mtukufu' Arusha, Geita, Iringa na Mtwara.

Ni nyinyi mnaouwa Zanzibaris sio wazanzibari kwa kisingizo cha Muungano. Si mumeapa kuulinda Muungano kwa gharama yoyote sasa wanaouwawa ndio gharama yenyewe. Yote mna dhana kama alivyotamka Mungu wenu Pengo kuwa Zanzibar ikitoka katika Mungano au kukiwa na serikali tatu itajiunga OIC basi na akamwambie Ma askofu mkuu wa Uganda na Mozambique wazitoe nchi zao katika OIC.

Nyinyi hamwezi kuubadilisha umma katika.maadili yake. Mwambieni Pengo aondoe Pombe, Umalaya, Madawa ya kulevya, ufisadi ndani ya Tanzania, aongoze wafuasi wake katika maadili anayotaka Mungu sio apigane kuibatiza Zanzibar!

tatzo uelewa wako mdogo sana., unadhan kila mtu bara ni mkristo., mimi ni muislam so mambo ya pengo hayanihusu kabisa.. nahisi nawe ni mmoja ya wale wazanzibar wanaoliwa ma------ ndo maana una hasra za kike kike..,
 
Subirini basi Obama na Vatican wawaletee Rais mgense wa Tanganyika sisi tunao Madume wa kuwashughulikia!

Mbona Zanzibar ni dormant heaven of gays and lesbians hao madume wako wapi we binti?
 
Labda anakichaa cha kuifikira pepo Lakini Urais anao sasa hivi hasumbuani na wahuni wa daladala na wauza mihogo pale buguruni sokoni wakati akienda kwenye ofisi yao ya cuf tofauti na zamani alipo kuwa ana tumia Nissan Patro mbovu ya Cuf . Sasa hivi anakwenda na mfasara wa gari zisizo punguwa 5 na pikipiki 1 na vyombo vya usalama vya Jamhuri ya Muungano Wa Tz vikihakikisha usalama wake.je hujaamini kama seif ni Mmoja wa Marais waliopo ktk Jamhuri ya Muungano Wa Tz?

Seif sio rais bali ni sanamu ya kisiasa yenye kuvuta hisia lakini haina maana wala kazi yoyote. fikir vizuri utajua hii siri niliokupa leo.
 
anataka nchi kwani hamujui yule haongeki kwa pesa ndio mana kila siku mnamzungumzia seif mbona hamumtaji mtikila mrema na mbatia nao kitambo wapo ktk siasa
 
Haini mmoja wewe mangatara, si ukatafute mbwa na wewe uowe? Mbona FBI waliondoka mapema iko wapi report yao, sana jeshi la polisi wamejiaibisha kuleta wageni kufanya uchunguzi wa kesi ya jinai, Padri Mushi hakuuliwa kwa dini wala kwa mkono wa Zanzibaris.

Weekly 3 direct flights za Airbus 340 kutoka Ulaya ndio zilowashughulisha Tanganyikan hawa wanafanya kila.njia Zanzibar isijitegemee na kukuza uchumi wake.

Averoes;
Kweli nashangaa. Nini kimekupagawisha hivyo?? Kosa liko wapi mpaka uniite hayo majina yote? Mkeo uliyemuoa kumbe naye ni mbwa ndo maana unaniagizia huko ulikopata huyo wako nami niende huko? Pole sana kwa kuzuzuliwa na hayo ma mbwa! Sina shida na ma mbwa. Nilichokuambia ni kuwa, Wasikilizeni hao minority, ni watu ka weye.
Mjinga ndo atamtetea Muumba wake. Huyo Muumba asiyeweza kujitetea mwenyewe, HAFAI. Huwezi kuua kwa vyovyote vile. Kama Mungu alimuumba huyo Kafir, na amuue mwenyewe. Mbona hawa watu wako ni waoga hivyo? Au ni kwa vile hawajui waendako? Kama kweli wanaamini ni kazi ya Mungu, Kwa nini tena wajifiche? Mungu wao hawezi hata kuwafungua wakifungwa? Poleni sana kwa kuamini mdhaifu ka huyo.
 
Kila ninaposikia kauli za Maalim Seif juu ya Muungano, ninapata picha kwamba zinazotelwa na mtu mwenye hasira sana dhidi ya serikali ya Tanzania, hususa Tanzania Bara. Sizioni kauli za Seif kama zinazotolewa na mzalendo wa Zanzibar, bali kama zinazotolewa na mtu mwenye hasira ya kisasi dhidi ya watu fulani. Katika kauli zake nyingi zimejaa "exaggeration" za hali ya juu, za aina ya mtu ambaye anataka kuwakomoa watu au kikundi fulani.

Sasa najiuliza, ni nini kinachomsumbua Maalim Seifu hadi kuwa na hasira ya namna hii?

Ni wazi kwamba si uzalendo wa kuwa M-Zanzibar. Kumbuka kwamba Seifu alitoa mchango mkubwa kwenye kuwajibishwa kwa Abdu Jumbe. Sefu alimchukulia Jumbe kuwa msaliti wa Muungano. Seifu ni mojawapo ya Wazanzibar waliofaidi na kuneemeka sana na Muungano. Bila muungano Seifu asingekuwa hapo alipo. Sasa ni nini kilimbadili Seifu? Je ni hasira baada ya kugundua ndoto yake ya kuwa Raisi wa Zanzibar isingetimia kupitia CCM? Au ni baada ya mashitaka na tuhuma alivyofanyiwa huko nyuma na sasa anataka kisasi?

Kuna mambo Seifu anataja kama faida za Zanzibar kujitoa kwenye Muungano ambayo ukifikiria utaona kwamba anawadanganya WaZanzibar kwa kuwa hayatawezekana, hata kama kweli watajitenga na muungano, kwa kuwa ni ndoto za alinacha, hayako "realistic". Sasa je, Maalimu Seifu anaona kwamba anaingia uzeeni na sasa kuna dalili kwamba kamwe hatakuwa raisi wa Zanzibar na hivyo anaona ni bora tu alivuruge?

Ni nini kinachompa hasira hii Maalim Seifu, na lengo lake ni nini hasa?

Kwa ufupi tu ni kwamba ww usipatwena joto wala ugonjwa usio na dawa mana unaonekana wazi unawashwa napilipili usiyoila., Ni kwamba Maalim Seif wazanzibariwenyewe ndio wamemkubali na nikiongozi aliyepata kupendwa katika historia yaZanzibar haijawahi kutokea. sasa kukaa na kusema Sefu anataka nini ni sawa nakutwanga maji kwenye Kinu. Maalim Seif amefanya mambo mengi makubwa na mazurihadi hapa tulipofikia.1. Ni yeye aliyewaunganisha wazanzibari na kuwakitu kimoja na sauti moja.2. Ni Maalim Seif aliyetowa ukakasi wakuutikisa muungano kharamu wa JMT hadi hapa sasa tulipofikia kila mtuanatamka waziwazi madhila ya muunga ambapo kabla ilikuwa ni uhaini kuuzungumziamuungano.3. Ni juhudi zake yeye kuundwa kwa Serikali yaUmoja wa Kitaifa Zanzibar kama Makamo wa Kwanza ambapo kabla CCM walisema kundehuwezi kuchanganya na kokoto na kusema mpemba haingii Ikulu. Maalim anapigiwavingora kule Zanzibar popote aendapo.4. Ni maalim peke yake Tanzania nzima aliyefanyajuhudi mpaka kuwa na mfumo wa vyama vingi vya siasa Tanzania na kupelekeaangalau neno demokrasia kutajwa katika nchi ya Tanzania nk.5. Kwa taarifa yako tu ni kwamba Zanzibartunamuenzi na kumuheshimu na kumpenda sana. (yeye ndio atakuwa baba yetu waTaifa atakapoachia ngazi kutokana na umri mda wote akiamua),6. Kuhusu kwamba hajawahi kupata kuwa Rais nisawa lakini si sababu ya kutokumjuwa kiongozi mzuri, dunia nzima inaelewa marazote alizoshiriki uchaguzi alishinda lakini makafiri wa Tanganyika wakafanya hilazao ila tunaendelea mapambano.7. Kuhusu umri wa Maalim Seif usikupe tabutayari tumejipanga kwa viongozi kama Maalim Seif mara tu atakapotamka yeyemwenyewe kuachia ngazi kutokana na umri. Mapambano makubwa bado yapo yeye ametuonyesha njia tu.8. Tunamuomba M/Mungu amlinde Maalim wetu ampeafya njema , Tunampenda sana maalim kila saa kila dakika kila sekunde. Tunajuwawapo wanaoumia ila Mungu ndio ametuletea Maalim kwa ukombozi wa Visiwa vyaZanzibar.
 
Kwa taarifa tuu, CUF ilishinda 1995, ikashinda tena 2000!, pia ikashinda 2005!, na kushinda tena 2010 lakini kote kwa nini hawampi ushindi?!.

Mapinduzi Daima!.
Muunganno Milele!.
Pasco

Hili ni swali niliwahi kuuliza sikumbuki kujibiwa, kama ni kweli Maalim Seif huwa anashinda chaguzi za Zanziba lakini hapewi, nini kinachofanya asipewe?.

Hili ni swali tuu!.

Umeongea vizuri lakin umesema neno moja tu kuwa watanganyika makafiri hvyo ni kweli makafiri?
 
Hili ni swali niliwahi kuuliza sikumbuki kujibiwa, kama ni kweli Maalim Seif huwa anashinda chaguzi za Zanziba lakini hapewi, nini kinachofanya asipewe?.

Hili ni swali tuu!.

Pasco

Wenyewe walishasema hawata achia nchi kwa makaratasi (kura)
 
dunia nzima inaelewa marazote alizoshiriki uchaguzi alishinda lakini makafiri wa Tanganyika wakafanya hilazao ila tunaendelea mapambano.
mr.London, niliuliza kama ni kweli kila siku huwa anashinda lakini hapewi,
  1. Kwa nini huwa hapewi?.
  2. Jee hizo sababu zinazofanya hapewi ni justifiable?.
  3. Kama ameshinda tena na safari hii, nini kitafanya apewe?!.
Pasco
 
Una Kiwango kidogo cha akili badala ya kuwauliza CCM mini kinawasumbua mpaka kufuta uchaguzi unaleta maswali ya kitoto humu?
 
Dhambi ya usaliti kamwe haita kuacha salama. kama kweli alimsaliti huyo mzee ata tapatapa asipate huo urais mpk kufa. Knz ni tamaa tu apumzike aone new genaration kasi yake.

Haki ya mtu haidhurumiwi hata siku moja,itacheleweshwa tu kama ilivyokuwa kwa Maalim Seif na sasa muda umefika wa kupata haki hiyo.Waroho wa madaraka ni wale wanaong'ang'ania kuendelea kukaa madarakani kwa njia yoyote ile hata kama upeo wa kutawala umefika mwisho.Freedom is coming soon!
 
Back
Top Bottom