ni kweli ya ukweli Mkuu!; na hasa angekuwa rais wa jmt au ile post ya Bilali!
Vp awe Rais wa JMT wakati kuwa Rais wa znz tu ilishindikana au hukumbuki wakati bado yupo ccm alipo gombea Urais wa znz na marehem mzee Idirisa Abdul Wakil nini kilitokea ktk uchaguzi huo na mzee wakil akawa mgombea na akawa Rais wa znz kwa muhula mmoja tu? Seif amekuwa mpinzani wa ccm na muungano tokea akiwa bado hajawa na madaraka makubwa ktk smz na wakati huo mfumo ni wa chama kimoja mpaka akiwa wazir ns mpaka akiwa wazir kiongozi wa smz bado seif ni mpizani wa muungano wa serikali 2. Na ndio kilicho mfukuzisha ccm. Ndio maana seif anapendwa sana visiwani na nataka ujue seif sio tu ni katibu Mkuu wa Cuf na makamo wa 1 wa Rais wa smz, seif ni cheif / mwene ktk Ardhi za znz. Kwahiyo usiwe na imani kama ange ukwaa urais wa znz au wa Jmt angenyamaza sio kweli leo hii falsafa ya seif juu ya muungano imekubalika na mazee wa ccm znz na imewaunganisha wazee makonred wa znz na wanachana wa ccm na cuf kuwa kitu kimoja fuatilia siasa za znz utaamini haya nilio kuandikia. Leo seif, karume, salmin , mzee Moyo na wengine wengi lao moja hawautaki muungano wa serikali 2.