Ni nini kinachosumbua Maalim Seif?

Ni nini kinachosumbua Maalim Seif?

Mgen, Hapa ndio hata Mimi nilimshangaa sana Nyerere kwa kufunga kwake safari kwenye Znz kuomba waungane. Angalia Tanganyika ina eneo la 885,800 SqKm na Znz ina eneo la 2,000SqKm. Na ukiangalia Population ya Tanganyika ni watu 45,912,768 na Znz ina watu 1562,678. Je inawezekanaje nchi hizi zikaungana? tena muungano wa pasu kwa pasu? Je Nyerere hajawaingiza shimoni nyie? Chukueni maamuzi magumu. wakti ni huu.
Mkulu! Kwema? Tuko pamoja mukulu! Manake muungano wowote ule ni utashi wa wananchi wanaoungana! Na mfano hai wa kuungana nimeuweka hapo juu! Huu wa kwetu wa kuchota udongo wa unguja na tanganyika kuuchanganya ndani ya kibuyu kisha kuumwaga baharini si muungano huo! bali ni ushirikina mtupu! Tatizo liko hapo na hapa!; shoka haikati mti ila nduguye mti hadi aingie ndani ya shoka hapo msitu utaisha! Hawa viongozi wachache kule zenj ndio mti ulioingia kwenye shoka sasa znz ni kijiji na si taifa tena hata muweke bendera, bunge, mipaka...; imekula kwenu! Nguvu ya mtu hailiwi, kula uliwe bana!
 
Mkuu hata usipoteze muda kuwaza ambacho hakiwezekani Maalim asaini katiba kama nani? Au ni lini umempachika urais wa Zanzibar? Halafu swala la waziri mkuu wa 2015 hata usiwaze Maalim anaweza kuwayumbisha Wazanzibar wenzake huku bara hana wa kumtisha nyau. Kumbuka enzi za Mwalimu alivyotulizwa na usisahau kuwa kwenye siasa za Muungano na Tanzania bara influence ya Maalimu na CUF yake ni ndogo, hapo kwenye UPM labda kama CHADEMA wakiwa na nguvu ndio watakuwa na karata ya kushinikiza.

Nasikitika sana maana unaongea usichokijua! fuatilia vzr kilichojili kwenye mkataba wa maridhiano,kilichompa kigugumizi Kikwete mpaka akaridhia mchakato wa maridhiano kati ya Seif&Karume na hatimaye wakamchachafya Kikwete!
Kilichotokea kwenye uchaguzi 2010 zanzibar siri anaijua Shein ambaye hata kura hakujipigia.
Wazanzibar niwamoja ndio maana Seif alikubari matokeo ya2010 ili awatege pazuri watanganyika na hatimae kuuvunja muungano.
Kasome vzr katiba ya Zanzibar ndio uje kupinga.
 
Haini mmoja wewe mangatara, si ukatafute mbwa na wewe uowe? Mbona FBI waliondoka mapema iko wapi report yao, sana jeshi la polisi wamejiaibisha kuleta wageni kufanya uchunguzi wa kesi ya jinai, Padri Mushi hakuuliwa kwa dini wala kwa mkono wa Zanzibaris.

Weekly 3 direct flights za Airbus 340 kutoka Ulaya ndio zilowashughulisha Tanganyikan hawa wanafanya kila.njia Zanzibar isijitegemee na kukuza uchumi wake.

Huwa naingiwa na hofu ninapokutana na maamuma humu JF. Fikiri kidogo tu, ujiulize, nilifanya uhaini gani miye kuelezea kuuawa kwa watu flani flani niliosikia wakitangazwa kwenye vyombo vya habari. Uhaini wangu miye uko wapi hapo. Kuwa nimesingizia kuwa hao watu wameuawa kumbe sio au?
Kama Tanganyika wanawazuia Wazenj msiendelee ndiyo muue Mapadri na wageni?? Kweli kuamini usicho kijua ni kazi kweli kweli. Weye maamuma wakijua unachokiamini kweli?
Umwue mtu, nafsi yake uiondoe kwa sababu ati wengine huko waliamua kukuunganishia nchi yako? Huyo Padri Munshi ndiye aliunganisha Zanzibar yako na Tanganyika? Weye kweli umewahi kuvuka pale Darajani au mwisho wako mji mkongwe tu. Uliwahi toka Pemba ukavukia hata Tanga au waogopa maji.
Sikiliza, kuua mtu ili muungano uvunjwe ni UTAAHIRA huo. Wakati ni huu, bunge hili la katiba ndilo liamue sio kuua wageni. Huku kwetu, tunasumbuliwa kweli na Wapemba. Kila kona, tangu Tanga mpaka Kigoma, Mtwara mpaka Bukoba, utadhani wameota kama uyoga. Siku tutakapo wavurumusha humu, huko kwenu hakutakalika.
Tunawahitaji wageni watuletee fedha za kigeni na maendeleo yao pia ili tuyaige yale mazuri na mapotofu yao tuyakatae. Maendeleo huigwa.
Pia kumbuka sio weye unayeniongoza wala hujasikia kuwa miye ni kipofu ati nikatafute mbwa wa kuoa, tumefika huko tena? Nikitaka unadhani nitakuomba weye ushauri? Tangu lini weye ukawa mshauri wangu? Enenda na mada usilete zako hapa jf.
 
Leta ushahidi wa hizo kauli unazoongelea kwanza.
 
Ndugu yangu usipotoshe walimwengu kwa kuwaeleza vitu vikubwa vya uwongo kama hayo mauwaji ya Padri Mushi na hawao wafaransa kama yana mkono wa Dini ya kiislam wapi umetoa ushahidi wa kauli yako au unataka tu dunia ifaham kuwa waislam wa zanzibar wanawachukia wakiristo? Mbona hakuna ushahidi wowote unao thibitisha hilo dai lako? Mbona huku bara mauwaji makubwa na yakutisha yanafanyika kila kukicha na hayahusishwa na uislam kwanini usiamini kama na huo uhalifu unao tokea huko znz ni uhalifu tu hauna uhusiano na uislam . Je lile bomu lililo rushwa pale Kanisani Arusha likauwa likajeruhi mamia ya ya waTz vipi lingetokea kurilipuliwa kanisa la znz ungeamini kama sio waislam kwa maslahi ya uislam? Vipi yule muuwaji wa Mara angekuwa Muislam ungeamini kama muuwaji na anauwa kwa ukatili wake tu sio kwa maslahi ya uislam? Uisishirikishe uhalifu na wahalifu na usilam hasa ktk mitandao unajichafua ww na kuichafua nchi yako na uislam kwa ujumla au ndio nia yako?

sahim
Nimeyasema hayo kutokana na mleta thread alivyo sisitiza kuwa Udini uko Tanganyika wala kwao Zenj haupo. Anajinadi kuwa 99% wao ni Waislam, ndo maana nikajitahidi kumwonesha kuwa, hata hiyo 1 % nayo iheshimiwe tu. Huo ndo ustaarabu wala si vinginevyo. Ukiniambia kuwa naichafua nchi yangu kwa kusema kuwa kuna mauaji yametokea Zanzibar, weye ndio mpotoshaji kwani hayo yalitokea na yakarepotiwa na vyombo vya habari. Kama kuna limoja tu la uongo niambie niombe radha wana JF.
Sina chuki na uislamu wala Mwislam yeyote. Kwanza binti yangu kaolewa na Mwislam nimfanyeje? Walikutana, wakapendana, miye nimnyime kuolewa? Hapa jirani tu, wapo mabinti wazuri tu, nao naona wanashinda humu kwangu na vijana wangu je niwafukuze? Huo ni utaahira. Imani imo ndani ya mtu, huwezi kuiingizia sio ugali huu.
 
Haini mmoja wewe mangatara, si ukatafute mbwa na wewe uowe? Mbona FBI waliondoka mapema iko wapi report yao, sana jeshi la polisi wamejiaibisha kuleta wageni kufanya uchunguzi wa kesi ya jinai, Padri Mushi hakuuliwa kwa dini wala kwa mkono wa Zanzibaris.

Weekly 3 direct flights za Airbus 340 kutoka Ulaya ndio zilowashughulisha Tanganyikan hawa wanafanya kila.njia Zanzibar isijitegemee na kukuza uchumi wake.

Uchumi haukuzwi kwa njia hiyo. Uue ili uchumi ukue, are yu serious??? Muungano uvunjike kwa weye kuwaua watu wa bara?? Tunahitaji darasa.
 
Mangatara,

Mwalimu JK Nyerere (Baba wa taifa lako) aliwahi kusema katika moja ya hotba zake akanena Wazanaki wanasema “ UBUBISUBISU OBUWERE EKIRO KIRIMBURA” akiwa na maana ya MFICHAFICHA MARADHI KILIO KITAMFICHUA.

Labda nikuulize lile suala walilogombana kule Kanda ya Ziwa la NANI MWENYE HAKHI YA KUCHINJA, JE LIMEMALIZWA VIPI NA NANI ANA HAKI HIYO? Au ndo mumefunika kombe ...?

Kuuwa vikongwe na kunjofoa viungo vya albino, na kuchuna ngozi mtazimaliza kwa fast truck ipi hiyo? Kwani sasa ni miaka mingapi mumeshindwa ?

Kumbuka alipolifungua Bunge 2010 Kikwete alisema wazi suala la UDINI katika uchaguzi, Na juzi tu hapa Mbatia katika mkutano mkuu wa chama chake NCCR Mageuzi alilisema hilo, je hujui tu kama lipo au ndo unasubiri kifo kikuumbue.

Kifupi haa mambo yanafichwa na Muungano nje ya muungano ni changamoto kubwa sana kwa Tanganyika.

Pole sana

Barubaru,
Kama ni maudhi unayajua kweli kweli, Hivi huo udini unaousema kuwa JK aliusema, nikuulize tu kama weye ni Mwislam saafi, mwenye hofu ya Mnyazi Mungu SW, Huo udini kauanzisha nani? Si mwislam mwenzako? Jamani, Tanganyika siye hatuna ujinga huo wala hautapata upenyo. Si uliishia huko hukooo ulikotokea?
Kuhusu kuchinja, uchochezi ulitokea tu kwa wenzako hao hao wa ile dini. Baada ya kwenda kwenye mazishi. Unafika kwenye mazishi, unatamani pilao na minofu mikubwa mikubwa, ndo unaanza, kachinja nani. Kufiwa nimefiwa miye weye umekuja kulia au kula? Kama ukiona dhamira inakusuta si uache kula? kwani lazima? Mnaua Mchungaji kwa hasira ya kuchinja nyama? Tunahitaji kuzipima akili zetu. Ni nyama tu au kulikuwa na kingine?
Nasema tena, kama mambo haya yanafichwa na Muungano, nadhani basi hao Wazenj ni zaidi ya chumvi. Watu hawafiki laki saba, yaani population ya Zenj yoote haifikii ile ya Mji wa Morogoro, unasema ndio imeshikilia Tanganyia tukawa na amani! Nasema wanaousaka huo Muungano wanayajua wanayo yafaidi.
Kila mtaa Zanziba ni Jimbo la uchaguzi, upate hapo mwakilishi wa BWZ na mbunge wa Muungano. Upate hapo Mkuu wa mkoa, DC, Diwani, Waziri wa Muungano na wa Zanziba; na nanii, na nanii. Nasema kilio mtakachokuwa nacho, ni siku hilo limuungano litavunjika sijui mtapata wapi malipo ya hao viongozi utitiri.
 
Wale mtu na mkewe wameuwawa kwa masuala ya kudhulumiwa, aliewaibia aliwauwa kwa kuficha ushahidi. Ingekua suala la udini wangeuliwa wengi mana km wazungu znz hawako pekeyao.

Padre mushi mpk leo hata ushahidi hawana, sema kwa kuwa alieuwawa ni padre basi inachkuliwa kijujuu tu kuwa muuaji ni muislam na kauwawa kwa sbb ya dini.

Sikatai mkuu, ila mleta thread kajisifu kuwa Zenj, 99% ni waislam, ndo maana nasema, Mwislam ndiye kawaua hao. Nguvu aliyo nayo ni Kafir huyo, ua tu utapata thawabu kuleeee
 
Labda nikusaidie kidogo nje ya MUUNGANO, kiuchumi Tanganyika itakuwa na mtihani mkubwa sana kwani mpaka sasa kuna changamoto hizi ambazo Muungano unaziziba.

1. Kuna suala la UDINI, mfano sakata la nani mwenye mamlaka ya kuchinja, Mou na kanisa na Serikali, Serikali ya TGK kuikumbatia Bakwata na kuifaya kuwa ndio sikio lake kwa waislam na mwisho malalamiko ya waislam

2. Suala la imani za kishirikina ikiwemo kuuwa vikongwe na kunyofoa viunga albino na kuchuna ngozi.

3. Ufisadi na Rushwa na watu kukosa uzalendo wa nchi zao.

4. nchi kuongozwa na mfumo KRISTU na viongozi wengi kuwa wakristo, na hilo linaweza kuplekea nchi kugawanyika kwa misingi ya KIDINI kama SUDAN .

Sijabainisha hapa UKANDA na maendeleo kupelekwa kwa baadhwi ya kanda na kuzisahau nyingine. Mfano mdogo tu issue ya gas na watu wa kusini.

Je umeziona hizo changamoto? je mmejipanga vipi kama Tanganyika huru?
[/QU

Hahahahaaaa! Fake mwanzo fake mwisho. Acha hasira ili ufikiri, itakusaidia kutoa strong arguments:disapointed:
 
Nasikitika sana maana unaongea usichokijua! fuatilia vzr kilichojili kwenye mkataba wa maridhiano,kilichompa kigugumizi Kikwete mpaka akaridhia mchakato wa maridhiano kati ya Seif&Karume na hatimaye wakamchachafya Kikwete! Kilichotokea kwenye uchaguzi 2010 zanzibar siri anaijua Shein ambaye hata kura hakujipigia. Wazanzibar niwamoja ndio maana Seif alikubari matokeo ya2010 ili awatege pazuri watanganyika na hatimae kuuvunja muungano. Kasome vzr katiba ya Zanzibar ndio uje kupinga.
katiba ya znz sio hoja! Sababu hata simba na yanga wanazo katiba zao na bendera! Jiulize leo, hivi kama hoja ni katiba kwa nini kiongozi mkuu wa znz analetwa znz toka dodoma?Katiba ya znz ni danganya toto ilale tu! Mzee ajilie vitu bila bugdha! Kama huamini jaribu kumwambia Dk Bilali tuuue muungano, kama hatakukoromea na kukutupa ndani! Kuhusu maalim mimi namuona kama kapewa kazi ndani ya system nayo ni kuwa safety valve kama puto likitaka kupasuka basi yeye ni valve ya kupunguza upepo!
 
Acha ujuha,toa mfano kwa sehemu sio timu ya mpira,na utokee mkoa huko kwenu tanganyika kisha ijitangazie kuwa ni nchi yenye katiba yake,bendera na na rais, hapo ndio utakuwa umetoa mfano sahihi.
 
Acha ujuha,toa mfano kwa sehemu sio timu ya mpira,na utokee mkoa huko kwenu tanganyika kisha ijitangazie kuwa ni nchi yenye katiba yake,bendera na na rais, hapo ndio utakuwa umetoa mfano sahihi.
ungejibu kwanza!; kama znz imejitangaza kuwa ni nchi ina kiti UN? Ndipo nikalinganisha kakatiba kenu sawa na timu ya mpira yenye katiba, bendera, na rais wa timu. Hao nao kama nyinyi hawana kiti UN! Ni heri ya juha anajulikana, kuliko fasqi mpaka utafakari kauli yake!
 
Magurudumu una,akili kidogo hakuna sbb yakulazimisha znz,tuww ktk muungano nikweli hatuutaki muungano wa kile cheti cha ndoa,kuomba dodoma twataka nchi yetu ZANZIBAR KWANZA SHENGESHA(ccm) BAADAE
 
sahim
Nimeyasema hayo kutokana na mleta thread alivyo sisitiza kuwa Udini uko Tanganyika wala kwao Zenj haupo. Anajinadi kuwa 99% wao ni Waislam, ndo maana nikajitahidi kumwonesha kuwa, hata hiyo 1 % nayo iheshimiwe tu. Huo ndo ustaarabu wala si vinginevyo. Ukiniambia kuwa naichafua nchi yangu kwa kusema kuwa kuna mauaji yametokea Zanzibar, weye ndio mpotoshaji kwani hayo yalitokea na yakarepotiwa na vyombo vya habari. Kama kuna limoja tu la uongo niambie niombe radha wana JF.
Sina chuki na uislamu wala Mwislam yeyote. Kwanza binti yangu kaolewa na Mwislam nimfanyeje? Walikutana, wakapendana, miye nimnyime kuolewa? Hapa jirani tu, wapo mabinti wazuri tu, nao naona wanashinda humu kwangu na vijana wangu je niwafukuze? Huo ni utaahira. Imani imo ndani ya mtu, huwezi kuiingizia sio ugali huu.

Nimekuelewa sana lakini nilicho kikataa mm ni mauwaji ya Padri Mushi kuyahusisha na uislam na hayo ya juzi ya Wafaransa hakuna ushahidi hata wa 2% unao husisha mauwaji hayo na uislam. Huwa nashangaa sana mara utokeapo uhalifu upande wa znz basi haraka watu hukurupuka na kuhusisha uhalifu na uislam tofauti na huku kwetu bara uhalifu ni uhalifu tu huwa hakuna tuhuma za kuuuchafua uislam.
 
Maalim Seif, Simba wa siasa za Tanzania. Ni Mzanzibari Mzalendo mwenye imani na Raia wake na Tanzania kwa jumla. Maalim Seif hajasema jipya lolote. Haya yote yalipendekezwa na kamati zilizopita.
Kila KAMATI iliyoshughulikia masuala ya Muungano ilipendekeza serikali Tatu.
Wazanzibari wamesonga mbele na kudai mamlaka kamili kwa sabau , ndani ya huu muungano, mzanzibari hafaidikii na chochote ila ni hasara kwake.
 
ungejibu kwanza!; kama znz imejitangaza kuwa ni nchi ina kiti UN? Ndipo nikalinganisha kakatiba kenu sawa na timu ya mpira yenye katiba, bendera, na rais wa timu. Hao nao kama nyinyi hawana kiti UN! Ni heri ya juha anajulikana, kuliko fasqi mpaka utafakari kauli yake!

Unashangaza sana,sasa paleUN kuna kiti cha tanzania au cha tanganyikb?unafahamu neno tanzania maana yake?
 
Unashangaza sana,sasa paleUN kuna kiti cha tanzania au cha tanganyikb?unafahamu neno tanzania maana yake?
unaona dogo!? Huo ni ushahidi kwamba ktb ya znz ni sawa na ya simba ima yanga! Katiba mama ni ile ya Tz!
 
unaona dogo!? Huo ni ushahidi kwamba ktb ya znz ni sawa na ya simba ima yanga! Katiba mama ni ile ya Tz!

Huwezi kuifananisha katiba ya smz na katiba ya simba na yanga hiyo ni dharau kwa smz na wananchi wote wa Tz wp Rage anatembea na ulinzi wa vyombo vya usalama vya Tz kama anavyo tembea Dr sheni au ulishawahi kumuona Manji akitembea na Escort ya vyombo vya usalama wa Taifa jambo kama hulijui ni vyema ukauliza kuliko kuandika maneno ambayo baadae utajiona -----. Katiba ya smz ni katiba kama katiba za nchi nyingine ndio maana kunasiku yakusherehekea mapinduzi ya znz na hiyo siku Dr sheni ndio anae pigiwa mizinga 21 na ndio anaekagua gwaride maalum na Dr kikwete anakuwa ngeni mualikwa tuu. Lini Rage na Manji wakapugiwa mizinga na kukaguwa gwaride.
 
Back
Top Bottom