Ni nini kinachosumbua Maalim Seif?

Ni nini kinachosumbua Maalim Seif?

Hawa si wamejazana huku Tanganyika, ooh tunataka Zanzibar yetu, rudini huko kwenu ndiyo mpige kelele. Ni vyema muungano ufe leo kila mtu akae kwake.

Na aliyekwambia Kyenju asili yake Tz ni nani!
Nyie si ndio banyamulenge mlio zamia nchini na kujifanya mna asili kuliko wazawa!

Halafu mtu mwenye fahamu za ignoramus na , imbecile utamjua tu!

Kwani kulijadili suala la kuvinja huo muungano feki mpaka uwe unaishi mahali fulani!??

Elimu za kata ni matatizo siku zote.
 
Last edited by a moderator:
Zanzibar in a siri nyingi!, tafuta kisa cha Sultan kumpachika ujauzoto mjakazi wa mkewe, ili kuficha siri, huyo mjakazi alikwenda kuozeshwa mahali mbali chap chap!, baadaye, mwana sulatan alizaliwa huko mjakazi alikoolewa!. Find out huyo mwana sulatan ni nani?!, tafuta uhusiano kati ya Sultanet ya Brunei na Sultanet ya Zanzibar!, find out who funds CUF and why?!.

Kwa taarifa tuu, CUF ilishinda 1995, ikashinda tena 2000!, pia ikashinda 2005!, na kushinda tena 2010 lakini kote kwa nini hawampi ushindi?!.

Visa vya Zanzibar havikuishia hapo, kuna ndugu tena wengine wawili, watoto wa baba mmoja, mama mmoja, tumbo moja!. CCM ikaamua kumzawadia urais kaka mkubwa, kisa ni kumuenzi baba yao aliyoifanyia makubwa Zanzibar, hivyo ule urais ulikuwa ni wa zawadi ya heshima ya marehemu babsa yao!. Baada ya kaka mtu kumaliza kipindi chake cha urais cha miaka 10!, mdogo mtu akachukua fomu kumrithi kaka mtu!. Chama kikamshauri, kwa vile aliyemaliza ni kaka yake wa tumbo moja, baba mmoja, mama mmoja!, hivyo kumpitisha mdogo mtu, itaonekana kama usultani!, mdogo mtu akagoma na kuibuka na madai mazito!, kuwa eti kama urais ni zawadi kwa mtoto wa yule Mzee waliomuheshimu, then "mtoto halisi aliyestahili ni yeye!".

Zanzibar haieshi vituko!, nataka niwashauri wajumbe wa bunge la katiba kuhakikisha Mwenyekiti wa kudumu anakuwa Mzanzibari, ili hoja ya serikali tatu ikishindwa, ije hoja ya serikali moja ndio itaimarisha haswa muungano na kuwakata kabisa hawa vilimimili na vitimbakwiri vya kutaka kuuvunja huu Muungano wetu adhimu, uliotokana na yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar!.

Mapinduzi Daima!.
Muunganno Milele!.
Pasco

Pasco Tatizo lako unaweza proffesional yako pembeni unaanza kuleta uongo na uzandiki, Uhaini...sheria inasema Rais akishatangawa na tume ya uchaguzi hurusiwi kuhoji, inakuwaje leo unasema CUF ilishinda? Habari za sultan ulishaambiwa uzijui na wale vijana wa MADRASA kaa pembeni nyamaza tu....ila nimependa leo umeamua kujirekebisha neno Mapinduzi Matukufu haujaliweka, inaonekana Somo la ZIJANA wa Madrasa lilikuingia siku ile..
AHSANTA
 
Mimi ni Mtanganyika lakini inapotokea suala la Wazanzibar kudai Nchi yao kiukweli hunikosha roho yangu!
Na kwa taarifa yenu tu ni kwamba hata kabla halijatokea hili vuguvugu la katiba mpya wenzetu tayari walikuwa wameshajipanga kuikomboa zanzibar yao kutoka kwenye makucha ya mkoloni.
Katika mchakato huu wa katiba wadau wakuu wa mwisho ni KIKWETE+ SHEIN+SEIF, Maalim hatasign pasipo kuiona zanzibar kamili.
Na hata ikitokea mchakato usifanikiwe mpaka uchaguzi 2015, Seif ndio atashinda urais wa Zanzibar na watakapokutana na rais wa URT kwenye kuteua jina la waziri mkuu Seif atapitisha jina la JUSSA kwa shinikizo la kuvunja muungano kama rais wa urt atapinga uteuzi wa Seif.
Sasa pata picha ya timbwili litakavyokuwa kwenye baraza la mawaziri chini ya waziri mkuu Jussa, lazima CCM wafyate mkia unless muwauwe mapema JUSSA,SEIF na kundi lao.
 
Maalim ni mwiba unaowatesa wahafidhina. Muulize DR Shein atakujuza vizuri anachokitaka Maalim.

BTW, Pasco wewe si ni mwandishi wa habari?

Is it not a good idea ukiomba appointment ya kumfanyia mahojiano Maalim Seif badala ya kubwabwaja?
 
Usijidanganye hata kidogo hakuna sultani wala muarabu anae fikiria kurudi znz.hizi fikra zako ziondowe au jaribu kufanya upya huo utafiti wako ulio kupa jibu hilo uliloliandika. Ninauhakika huijui historia ya znz na hata ya Tz unasikia tu maneno ya kwenye pombe .ndio unanukuu halafu unatuletea humu.

Sahim Hapa tunachangia mada ya iliyotolewa kinachomsumbua Maalim Seif. hakuna utafiti na wala sijasema utafiti uliofanywa. Mtoa mada kama angetaka zaidi ajiridhishe angemwuliza Maalim mwenyewe. Sisi ni hisia za mawazo tunatoa
 
Tanganyika inakuwasha nini hadi ushindwe kuitamka wazi wazi na kutumia jina la Tanzania bara? Huwa napata hasira na kichefuchefu pale ninapokuta mtu analazimisha kuibatiza Tanganyika kuwa Tanzania bara. Mbona Zanzibar wao hawaionei nchi yao aibu wakaiita Tanzania visiwani? Tupunguze ujinga na tuthamini historia yetu na utaifa wetu. Pointi yako No: 2 hapo juu ni utumbo mtupu

Sio suala la kutopenda jina, ni logiki ya kitu kinaitwa "brand status" ya Tanzania. Ukibadili jina ambalo watu wengi wamelizoea kuna hasara nyingi sana, kwani inachukua muda mrefu watu kulijua jina. Mtu anaweza kuishia kudhani Tanganyika ni sehemu fulani ndani ya Rwanda au Central African Republic (CAR) ambako hakuna kabisa usalama. Unaweza hata kupoteza fursa za biashara kwa kuwa watu hawatakuwa wakiijua Tanganyika, wanafikiri labda ilijitenga kutoka Tanzania kama Sudan na Sudan Kusini.

Pia unapoteza mtiririko wa icons waliopita, kwa mfano, katika hotuba ukiwa unahutubia Baraza la Umoja wa Mataifa, je utasema Nyerere, the former president of Tanzania au Tanganyika? Kumbuka Tanzania haitakuwapo.

Na jina la madini Tanzanite, utabadili liwe Tanganite? Jaribu pia kufikiria kwamba hata ukienda Google, ukasearch Tanzanite, itasema madini inayopatikana Tanzania tu, wakati wewe tayari unajiita Tanganyika. Nani atabadili rekodi zote za Tanzania ili ziwe Tanganyika?

Au mfano, historia katika maandishi inasema Tanzania was instrumental in the liberation of Southern Africa - je utakubali kupoteza milestones za jina Tanzania kama hizi?
 
Kinachoshangaza mara zote linapokuja suala la kudai usawa kwa Zanzibar katika muungano, licha ya kinachoitwa USOMI wa watanganyika wanakuwa VILAZA bila shaka kwa ujumla wake kuna vitu vimewaathiri. Dhulma, ufisadi, kukosa ustaarabu na dharau. Kwa nini ndugu yangu UNAWAZA MALI TU? za Wazanzibari na kwa nini mmekuwa na fikra kwamba muungano ukivunjika itakuwa ni ugomvi baina ya TANGANYIKA NA ZANZIBAR. Acheni vitisho na maapizo hapa ishu ni muungano wa USAWA na ikiwa hamuutaski hakuna ulazima. wala msidhani wazanzibari WATAACHA KUDAI haki zao kwa woga wenu. Nikwambie tu safari imeanza zamani sasa tuko katikati kuelekea mwisho isip[okuwa kuna watu wachache CCM wenye maslahi wanatuchelewesha nadhani hili unalijuwa?. Kuhusu kumshambulia maalim seif haisaidii wako maalim Seif wengi na wameshatayarishwa wengi zaidi hata aondoke leo kijiti anabeba mwengine? jiulize masuali haya. Ilikuwaje Zanzibar ikafanya mabadiliko ya katiba 2010 ilihali ni kiongozi wa CCM Zanzibar ( rais) aliyesimamia? jee yule naye alikuwa maalim Sief? . Mwaka huu mmeaza kuadhirika mara jina TANZANIA liwe ndio TANGANYIKA yaani mnaumbuka tu zile MISSION zenu zimevurugika kuimeza na kuimeza Zanzibar kwa malengo yenu yaliyojificha na kila siku zikipita yanadhihirika. Wazanzibari si wajinga wataendelea kuwafundisha siasa na ustaarabu kumnanga MAALIM SEIF HAISAIDII njoo na UZI mwengine UTAJIBIWA.

Tanganyika tukagombane na Zanzibar baada ya muungano kuvunjika, kwa sababu ipi hasa? Tatizo lenu Watu wa Zanzibar ni lile lile lililosemwa siku zote. Mnakuwa kama mtoto mdogo ambaye anakunyea halafu analia yeye.

Sikiliza kwa makini. Kama ni ugomvi baada ya muungano huo utatokea huko kwenu Zanzibar, sio kwetu. Na sababu kubwa za ugomvi utakaotokea ni kwamba bado mna kasumba sana za kujiona wale wenye damu ya kiarabu ni bora kuliko wale weusi. Bado mnawaona weusi ni watwana wa kuwatumikia waarabu. Karume alitaka kufuta hilo kwa kulazimisha ndoa za muungano hakufanikiwa.

Bado huko Zanzibar sherehe za Mapinduzi kila February ni sherehe kwa wengine na kumbukumbu za mauaji ya babu zao kwa wengine.

Hadi sasa muungano ndio umewasaidia msichinjane kwa misingi niliyotaja hapo juu.

Na kumbuka kwamba, uchumi wa Zanzibar bila soko la bara ni challenge kubwa. Hadi sasa serikali ya Mapinduzi ni kama inataka kuhalarisha ukwepaji kodi, kwamba bidhaa ziingie Zanzibar bila kodi, halafu zije ziuzwe bara. Tukiwaambia tutatoza kodi hizo bidhaa mnalalamika. Mnajifariji kuwa mtakuwa bandari huru watu waje kununua kwenu; watu toka wapi, Kenya, Msumbiji? Hao watu bila shaka ni toka Tanzania bara. Na hawatakuja kwa kuwa mkiwa Bandari huru wakati muungano umevunjika tutawalima kodi wakitaka kuzileta hizo bidhaa huku bara.

Nawaambia ukweli. Ombeni iwe kweli mna mafuta labda itawasaidia, la sivyo vunjeni muungano mtaona matokeo yake. Umeme toka bara hadi leo mnashindwa kulipia. Mishahara ya wafanyakazi wa serikali lazima mpate hela toka bara. Okay, mafuta yatawapa hela na umeme, lakini mafuta hayo yatafanya mpinduane kila siku. Kila mwaka mtakuwa na mapinduzi mapya. Kama unadhani Nigeria ina hali mbaya kisiasa basi subirini muwe na mafuta mkiwa nchi huru muone karaha ya mafuta. Maana jazba za kitoto mlizo nazo ndizo zitakazokuwa angamizo lenu. Mataifa makubwa ya nje yatawavuruga na kuwagonganisha kwa ajili ya mafuta yenu kule Iraq mtaona kama kuna raha za peponi kulinganisha na Zanzibar. Waulizeni Libya, Iran, Iraq, nk. Kina Al Qaeda watakuja kuwatawala na kusimamia kila kitu.

Na kama mtavunja muungano mkiwa hamna mafuta basi jiandaeni kuolewa na nchi ya kiarabu. Na kama mlidhani Tanzania bara tuliwanyanya na kuwameza katika muungano mtaona waarabu wenzenu wanavyowafanya kitu mbaya.

Na kamwe hatutakubali mje kutuangukia. Sana sana tunaweza kuwasaidia kuwaandalia kambi za wakimbizi ili mje muishi kwenye mahema huku, na sio kwa kuwa tunawapenda, kwa kuwa tuna jukumu hilo kwa kanuni za UNHCR.
 
seif ameona alichokuwa anataka kimeshindikana ndo maana anakuwa mkali,yeye alikuwa anataka uraisi kamili ameona ameshindwa anataka kuvuruga amani eti kila mtu akose.chizi kweli huyu
 
Na aliyekwambia Kyenju asili yake Tz ni nani!
Nyie si ndio banyamulenge mlio zamia nchini na kujifanya mna asili kuliko wazawa!

Halafu mtu mwenye fahamu za ignoramus na , imbecile utamjua tu!

Kwani kulijadili suala la kuvinja huo muungano feki mpaka uwe unaishi mahali fulani!??

Elimu za kata ni matatizo siku zote.

Nilijua utatema povu tu kama ulivyofanya, kwanza hunijui mimi ni nani. Wazawa unaowasema ni aking nani? Unafikiri kila mtu kasoma shule za kata? Kuhusu ubaguzi, Wazanzibar ndiyo mabingwa wa ubaguzi, lichukue hilo kama hulijui.
 
Last edited by a moderator:
Naongelea Tanzania bara (iliyokuwa tanganyika ya kikoloni) na mipaka yake, na bendera yake yenye rangi nne,
Kwa hiyo Mafia, Songosongo, Nyuni,Kilwa, Kibaazi virudi kwao Zanzibar enh?

Wewe endelea kuzaliwa katika nchi ya Kusadika «Tanzania Bara» wazee wako waendlee waishi kwao Tanganyika.
 
Seif anawapinga mabeberu wa ccm toka tanganyika juu ya kununua uzanzibar kwa baadhi yao kwaufukara wao na kudai z'bar sio nchi
 
Sahim Hapa tunachangia mada ya iliyotolewa kinachomsumbua Maalim Seif. hakuna utafiti na wala sijasema utafiti uliofanywa. Mtoa mada kama angetaka zaidi ajiridhishe angemwuliza Maalim mwenyewe. Sisi ni hisia za mawazo tunatoa

Nakubalisna na na ww kama ni mawazo na hisia zako. Lakini kwanini uwe na hisia au mawazo kuwa wazanzibari hawautaki huu mfumo wa muungano wa serikali 2 . Na wanataka muungno ambao unatawaruhusu kumrudisha sultan na waarabu?
 
Labda nikusaidie kidogo nje ya MUUNGANO, kiuchumi Tanganyika itakuwa na mtihani mkubwa sana kwani mpaka sasa kuna changamoto hizi ambazo Muungano unaziziba.

1. Kuna suala la UDINI, mfano sakata la nani mwenye mamlaka ya kuchinja, Mou na kanisa na Serikali, Serikali ya TGK kuikumbatia Bakwata na kuifaya kuwa ndio sikio lake kwa waislam na mwisho malalamiko ya waislam

2. Suala la imani za kishirikina ikiwemo kuuwa vikongwe na kunyofoa viunga albino na kuchuna ngozi.

3. Ufisadi na Rushwa na watu kukosa uzalendo wa nchi zao.

4. nchi kuongozwa na mfumo KRISTU na viongozi wengi kuwa wakristo, na hilo linaweza kuplekea nchi kugawanyika kwa misingi ya KIDINI kama SUDAN .

Sijabainisha hapa UKANDA na maendeleo kupelekwa kwa baadhwi ya kanda na kuzisahau nyingine. Mfano mdogo tu issue ya gas na watu wa kusini.

Je umeziona hizo changamoto? je mmejipanga vipi kama Tanganyika huru?
Barubaru,
Naomba usinitoe kwenye kiini cha maandiko yangu. Nataka nikufahamishe kabisa kwamba, kama ni udini, Tanganyika hatunao wala hatutakaa tuwe nao. Udini hukuzwa sana na Wazanzibari. Kwetu, tunaoana na kuoleana bila kujali Kabila, Kanda, Dini. Hatuangalii ngozi bali tunaangalia maisha ya wawili hao.
Zenj, mnaangalia sana Dini na Ukabila/unasaba. Tanganyika hatuna hayo.
Kuhusu imani za kishirikina, hata huko Zenj zipo tu. Tutamaliza hili tena kwa fast trac. Usiogope.
Ati kuna rushwa na ufisadi, wapi? Tanganyika au Tanzania? Kila mahali ufisadi na rushwa ndiyo neno la siku. Hata Unguja huo upo.
Mfumo Kristu sijui uliuona wapi, kama mtu kuitwa John ni kosa kuongoza ati kwa kuwa kuna mwingine hapo anaitwa Juma basi hatuna haja ya kupiga kura kwani huyo John alichaguliwa na wote, Waislam na Wakristo mpaka wapagani. Hivyo weye kuuita huo mfumo Kristo ni kosa kubwa kwani unawafanya wengine hawana ufaham ila weye ndo mwenye huo ufaham tu. Pole sana.
 
99% ya wazanzibr ni waislam,huo udini unatokea wapi,uliwahi kusikia zanzbr wanauwana kisa kuchinja?
 
Tanganyika tukagombane na Zanzibar baada ya muungano kuvunjika, kwa sababu ipi hasa? Tatizo lenu Watu wa Zanzibar ni lile lile lililosemwa siku zote. Mnakuwa kama mtoto mdogo ambaye anakunyea halafu analia yeye.

Sikiliza kwa makini. Kama ni ugomvi baada ya muungano huo utatokea huko kwenu Zanzibar, sio kwetu. Na sababu kubwa za ugomvi utakaotokea ni kwamba bado mna kasumba sana za kujiona wale wenye damu ya kiarabu ni bora kuliko wale weusi. Bado mnawaona weusi ni watwana wa kuwatumikia waarabu. Karume alitaka kufuta hilo kwa kulazimisha ndoa za muungano hakufanikiwa.

Bado huko Zanzibar sherehe za Mapinduzi kila February ni sherehe kwa wengine na kumbukumbu za mauaji ya babu zao kwa wengine.

Hadi sasa muungano ndio umewasaidia msichinjane kwa misingi niliyotaja hapo juu.

Na kumbuka kwamba, uchumi wa Zanzibar bila soko la bara ni challenge kubwa. Hadi sasa serikali ya Mapinduzi ni kama inataka kuhalarisha ukwepaji kodi, kwamba bidhaa ziingie Zanzibar bila kodi, halafu zije ziuzwe bara. Tukiwaambia tutatoza kodi hizo bidhaa mnalalamika. Mnajifariji kuwa mtakuwa bandari huru watu waje kununua kwenu; watu toka wapi, Kenya, Msumbiji? Hao watu bila shaka ni toka Tanzania bara. Na hawatakuja kwa kuwa mkiwa Bandari huru wakati muungano umevunjika tutawalima kodi wakitaka kuzileta hizo bidhaa huku bara.

Nawaambia ukweli. Ombeni iwe kweli mna mafuta labda itawasaidia, la sivyo vunjeni muungano mtaona matokeo yake. Umeme toka bara hadi leo mnashindwa kulipia. Mishahara ya wafanyakazi wa serikali lazima mpate hela toka bara. Okay, mafuta yatawapa hela na umeme, lakini mafuta hayo yatafanya mpinduane kila siku. Kila mwaka mtakuwa na mapinduzi mapya. Kama unadhani Nigeria ina hali mbaya kisiasa basi subirini muwe na mafuta mkiwa nchi huru muone karaha ya mafuta. Maana jazba za kitoto mlizo nazo ndizo zitakazokuwa angamizo lenu. Mataifa makubwa ya nje yatawavuruga na kuwagonganisha kwa ajili ya mafuta yenu kule Iraq mtaona kama kuna raha za peponi kulinganisha na Zanzibar. Waulizeni Libya, Iran, Iraq, nk. Kina Al Qaeda watakuja kuwatawala na kusimamia kila kitu.

Na kama mtavunja muungano mkiwa hamna mafuta basi jiandaeni kuolewa na nchi ya kiarabu. Na kama mlidhani Tanzania bara tuliwanyanya na kuwameza katika muungano mtaona waarabu wenzenu wanavyowafanya kitu mbaya.

Na kamwe hatutakubali mje kutuangukia. Sana sana tunaweza kuwasaidia kuwaandalia kambi za wakimbizi ili mje muishi kwenye mahema huku, na sio kwa kuwa tunawapenda, kwa kuwa tuna jukumu hilo kwa kanuni za UNHCR.

Punguza kula ugoro,zanzibr tunataka mamlaka kamili. full stop.
 
99% ya wazanzibr ni waislam,huo udini unatokea wapi,uliwahi kusikia zanzbr wanauwana kisa kuchinja?

Sijawahi kulisikia hilo ila niliwahi kusikia Padri kapigwa risasi kama ngiri kisa ni dini yake tu. Nikasikia mtu na mkewe wameuawa na kutupwa kisimani na zege juu kisa dini.
Kipi bora, kuchinja au kumkataa mtu kwa anachokiamini yeye wala si miye? Ati 99% hata angekuwa 1 tu naye msikilizeni ndo maana ya minority
 
Ndugu yangu usipotoshe walimwengu kwa kuwaeleza vitu vikubwa vya uwongo kama hayo mauwaji ya Padri Mushi na hawao wafaransa kama yana mkono wa Dini ya kiislam wapi umetoa ushahidi wa kauli yako au unataka tu dunia ifaham kuwa waislam wa zanzibar wanawachukia wakiristo? Mbona hakuna ushahidi wowote unao thibitisha hilo dai lako? Mbona huku bara mauwaji makubwa na yakutisha yanafanyika kila kukicha na hayahusishwa na uislam kwanini usiamini kama na huo uhalifu unao tokea huko znz ni uhalifu tu hauna uhusiano na uislam . Je lile bomu lililo rushwa pale Kanisani Arusha likauwa likajeruhi mamia ya ya waTz vipi lingetokea kurilipuliwa kanisa la znz ungeamini kama sio waislam kwa maslahi ya uislam? Vipi yule muuwaji wa Mara angekuwa Muislam ungeamini kama muuwaji na anauwa kwa ukatili wake tu sio kwa maslahi ya uislam? Uisishirikishe uhalifu na wahalifu na usilam hasa ktk mitandao unajichafua ww na kuichafua nchi yako na uislam kwa ujumla au ndio nia yako?
 
Sijawahi kulisikia hilo ila niliwahi kusikia Padri kapigwa risasi kama ngiri kisa ni dini yake tu. Nikasikia mtu na mkewe wameuawa na kutupwa kisimani na zege juu kisa dini.
Kipi bora, kuchinja au kumkataa mtu kwa anachokiamini yeye wala si miye? Ati 99% hata angekuwa 1 tu naye msikilizeni ndo maana ya minority

Haini mmoja wewe mangatara, si ukatafute mbwa na wewe uowe? Mbona FBI waliondoka mapema iko wapi report yao, sana jeshi la polisi wamejiaibisha kuleta wageni kufanya uchunguzi wa kesi ya jinai, Padri Mushi hakuuliwa kwa dini wala kwa mkono wa Zanzibaris.

Weekly 3 direct flights za Airbus 340 kutoka Ulaya ndio zilowashughulisha Tanganyikan hawa wanafanya kila.njia Zanzibar isijitegemee na kukuza uchumi wake.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom