aisee pole sana mpendwa wangu..
ukiumwa wewe, ni sawa na mimi kuumwa pia!
tafadhali pona mapema, ugua pole mamii!
kwanini hukuniambia lakini? ningekuja kukuuguza kokote kule uliko!
hahahaa!!! we dawa yako ni professa nanii kule..
ngoja na yeye tumuanzishie uzi kwanini haonekani! lol!
Yule sociologist... hahahaaa
Maswali ya kwenye mtihani yaache kwanza.
mnadate ama?umemfichaaa:eyebrows:Kiteguwe kama vipi upewe mji.
Bado naumwa bana, huduma yako ya uuguzi bado inahitajika. 🙂
kote kote!! niko strong more than nyati, situmii dawa wala nini!Wapi kibo au mawenzi?