Ni nini kimemkimbiza JF

Ni nini kimemkimbiza JF

Aku mie mzee ukanipasue buree. Sitaki.
basi ntapunguza spidi mamii!

si unajua ile spana yenye sehem za kufix eenh!? basi na mimi ntajiweka hivyo hivyo!

yani utakuwa unajisevia unavyotaka! low speed, medium mpaka 120km/hour!
 
Mamndenyi ananipenda nilivyo! sidhani kama kuna dini differences!?

au na wewe unafukuzia ?? lols!

Heri ingekuwa dini tu, atakwambia uwe kada wa magamba... mimi ndo niliposhindiwa..
 
Last edited by a moderator:
Heri ingekuwa dini tu, atakwambia uwe kada wa magamba... mimi ndo niliposhindiwa..
lols! tatizo hukujua kubadili gear! ilitakiwa yani akisema a, wewe unachomeka ba! mngefikiana solution tu kulaleki..!

ngoja niendeleze mtanange kwanza..!
 
mamii Lizzy!! mbona sikuoni? husikiki tena?

ngoja nije ...
 
Last edited by a moderator:
nimeshakuelewa mamii--!!

hebu nitumie ile namba yetu ya M-PESA angalau tutumiane pounds za juice!

jamani nishaanza kuumwa na mimi huku!
Lizzy!!!!!!!! i feel good when i whisper your name!!

🙂 khaa. .mgonjwa kapata nguvu ya kutabasamu ghafla heheheheh.

Wauguzi wote wangekuwa kama wewe mbona wagonjwa wangepona bila kupenda. Tuma kwa mchungaji akate ya sadaka ya leo, itakayobaki ntachukua kesho.
 
Last edited by a moderator:
utuuzima jamani,usikute mzee wa watu The Boss macho yashajifia na hawezi tena kuperuze mitandao.
usichezee na watu waliojiunga jf wakati huo inaitwa jambo furum.most of them are above 40-50s.lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom