Ni nini kimemkimbiza JF

Ni nini kimemkimbiza JF

hahahaaa!!! mi nilikuja, sema tu hukuniona bana na urefu wangu wooote nilionao!!

sasa, fanya maujanja basi mtoto mzuri! maisha yenyewe haya bana, kuja turuke kwanja!

Kasome masharti kwanza
 
The Boss namkubali sana. Huyu ndugu inawezekana yupo above 41. Vyema arudi MMU tulisongeshe pamoja na hawa milugo type.
 
Last edited by a moderator:
puffff!!!

nimepumua Lizzy! just like the smooth wind has blown into my ears with sweet smell to my nose!

how are you friend?

Eephewww. .
Nilikuwa nasubiria hilo swali kwa hamu. Naumwa rafiki..nimekunywa dawa ila ugali nimeshindwa kula na maji nimekinai. Come to my rescue. . . .
 
Last edited by a moderator:
Eephewww. .
Nilikuwa nasubiria hilo swali kwa hamu. Naumwa rafiki..nimekunywa dawa ila ugali nimeshindwa kula na maji nimekinai. Come to my rescue. . . .
aisee pole sana mpendwa wangu..

ukiumwa wewe, ni sawa na mimi kuumwa pia!

tafadhali pona mapema, ugua pole mamii!

kwanini hukuniambia lakini? ningekuja kukuuguza kokote kule uliko!
 
Lizzy, JF sio ile ya miaka ileeee! Watoto wamekuwa wengi uzuri wa JF umedidimia sanaaaa! Masharti ya kujiunga na JF yarekebishwe na kuzingatiwa zaidi. Kuna post zingine zinajaza server hazina mantiki yoyote. JF imekuwa kijiwe poa.

Yeahh kipindi cha nyuma muda ulikuwa hautoshi kusoma thread za ukweli, sasa hivi tunakosa thread za ukweli.
 
Msemage kikwetu mi wakati nasoma kiingilish hakikikuwepo

Kutaka kufahamu tu dada!!!!

Zamani wazee wote walikuwa wakisema "mimi enzi zangu nasoma nilikuwa wa kwanza siku zote" baadaye watoto wakicheza wanasimuliana ndio wakaamua kuuliza hivi hii nchi wote walikuwa wa kwanza sasa mbona wengine kazi zao haziashirii hivyo! !!!???

Ndio huo msemo ukafa sasa na humu kama nausikia huu msemo vile!!!!!
Zamani hivi zamani vile ila wote wako hai mathalani na hawajakatazwa kupost wala kuchangia sasa why lawama kwa member wapya????!!!
 
Back
Top Bottom