Ni nini kimemkimbiza JF

Ni nini kimemkimbiza JF

Kawaachia watoto sebule waangalie video maana wako wengi sana siku hizi. Wakienda kulala atarudi.
Lizzy, JF sio ile ya miaka ileeee! Watoto wamekuwa wengi uzuri wa JF umedidimia sanaaaa! Masharti ya kujiunga na JF yarekebishwe na kuzingatiwa zaidi. Kuna post zingine zinajaza server hazina mantiki yoyote. JF imekuwa kijiwe poa.
 
Ha ha ha nikaweka uzi acha madogo wachangamkie. Itabidi niongeze vigezo mbona haukuja lakini?

hahahaaa!!! mi nilikuja, sema tu hukuniona bana na urefu wangu wooote nilionao!!

sasa, fanya maujanja basi mtoto mzuri! maisha yenyewe haya bana, kuja turuke kwanja!
 
Lizzy, JF sio ile ya miaka ileeee! Watoto wamekuwa wengi uzuri wa JF umedidimia sanaaaa! Masharti ya kujiunga na JF yarekebishwe na kuzingatiwa zaidi. Kuna post zingine zinajaza server hazina mantiki yoyote. JF imekuwa kijiwe poa.
Hutaki watu wajiunge!!!!????
Hufurahii post????!!
Unataka masharti yawaje kwa mfano!!!???
Unataka mods wawe makini kurusu post kwenda hewani????
Kijiwe poa kinakuwaje???!!!
 
Hutaki watu wajiunge!!!!????
Hufurahii post????!!
Unataka masharti yawaje kwa mfano!!!???
Unataka mods wawe makini kurusu post kwenda hewani????
Kijiwe poa kinakuwaje???!!!

Punguza Munkari
 
Back
Top Bottom