Ni nini kimemkimbiza JF

Ni nini kimemkimbiza JF

Natoa wazo. Kila member kuwe kuna member mwenzake anajua details zake, siku zikiwa nyingi haonekani anakuja anaemfahamu anatoa taarifa kama kuna tatizo au vipi.
 
utuuzima jamani,usikute mzee wa watu The Boss macho yashajifia na hawezi tena kuperuze mitandao.
usichezee na watu waliojiunga jf wakati huo inaitwa jambo furum.most of them are above 40-50s.lol


Unamjua. Ukute ni yankee tu.
 
Last edited by a moderator:
Natoa wazo. Kila member kuwe kuna member mwenzake anajua details zake, siku zikiwa nyingi haonekani anakuja anaemfahamu anatoa taarifa kama kuna tatizo au vipi.
Wazo jema sana ingawa haitawezekana kwa wote kwa ukweli kabisa as in ukweli wengine kuaga ni ngumu!!!!!!

Wapi Kibibijongo kwa mfano nani ana taarifa zake????!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Natoa wazo. Kila member kuwe kuna member mwenzake anajua details zake, siku zikiwa nyingi haonekani anakuja anaemfahamu anatoa taarifa kama kuna tatizo au vipi.

Tuwe na warithi humu. Kimekuwa cha cha ushirika useme kuna malipo.
 
yawezekana kasahau ID yake jamani!

au hata wazo kama kuna JF halipo kabisa!

watu wanazeeka vibaya mjue! ohoo!
 
Natoa wazo. Kila member kuwe kuna member mwenzake anajua details zake, siku zikiwa nyingi haonekani anakuja anaemfahamu anatoa taarifa kama kuna tatizo au vipi.

umeona eeeh itabidi unipe details zako utafiti ili niwe natoa taarifa siku mafuriko yakikusomba
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom