Ni nini hatma ya Mahakama ya Mafisadi?

Ni nini hatma ya Mahakama ya Mafisadi?

Alikuwa innovative. Alitaka wezi warudishe hela.

Marekani ukiiba kuku utafungwa na kuku utamtapika kupitia restitution and forfeiture. Ukiwa drug dealer Marekani unafungwa halafu wanakuja nyumbani au barabarani wanakomba magari yako ya kifahari. Ukipata mshahara baada ya kutoka jela maisha yako yote cheki wanailamba kama yote mpaka deni liishe. Ukifungua account wanafanya bank seizure! Unaishi masikini mpaka deni liishe.

Tanzania hatuna mifumo ya kufuatilia mali za mtu. Akajaribu kuuza nyumba za Lugumi yakashindikana.

Kada ya sheria alilalamika imeoza. Hana mwanasheria hata mmoja anaeweza kuendesha white color crime akashinda. Wanasheria wetu tumewazoesha eti katikati ya kesi anafuta anakukamata tena, akishindwa kesi anaifungua kivingine. Trial and error, ovyo ovyo.

Marekani state prosecutor anapata only one freaking chance, kwa saab ya "double jeorpady" rights. Kwa hiyo anakuwa makini na mashitaka yake. Kwanza Marekani humshtaki mtu mpaka baraza la wazee liseme tuhuma zina mashiko, grand jury indictment. Mawakili wao wa serikali wanakuwa viwembe! Federal prosecutors wanashinda 99.6% of the times (Pew Research Center). Hapa kwetu wameoza wote.

Afanyeje ????

Na alikuwa yeye mtu mmoja peke yake nchi nzima anaekesha usiku thinking and straining for answers to massive existential crises facing the nation.

Akaona awabane mahabusu warudishe hela. Afanyeje, awaachie ??
Alifanya mambo ya HISIA tu. Wacha kufananisha Marekani ambayo imejenga mfumo wa Sheria na haki kwa miaka zaidi ya 200 na alichokifanya huyu Kichaa wa Chato. Huwezi kumpelekea mtu rumande ndiyo uanze uchunguzi, lazima ushindwe. Yeye alitawaliwa na chuki dhidi ya matajiri, kwake kila tajiri alimchukulia ni mwizi.
 
Hakuna Rais aliyemtangulia aliyekuwa na balls za kumtia ndani Kamishna General wa TRA na mkwe wa Waziri Mkuu na mtoto wa Balozi na kuwabebesha ndoo mahakamani. Viva Magufuli, Viva Tanganyika.

kitilya-pix.jpg
Mwenye balls za kupeleka Kamishna wa TRA rumande kwa shutuma zilizojengwa na WIVU yuko wapi sasa? ANALIWA na minyoo CHATO. Na Kamishna wa TRA yuko huru anakula bata za uzeeni na kulea wajukuu.

Ni UHAYAWANI kufanya kitu ambacho mfumo wa Sheria hauruhusu na Magufuli alikuwa HAYAWANI.

Halafu wewe mpumbavu unamfananisha na Nyerere. Haya nenda kapige box huko uliko
 
Utakufa siku pia mkuu, unaweza ukawa we ndo Mzoga unaotembea,
Kiri na utafute Amani kwa Mungu wako.
Sijawai kuona kosa lolote la JPM zaidi ya ukali wake tu which is right kwa watu kama nyinyi pumbavu akili zimelala tu kila siku kuwaza kuiba tu.
Ndio Nyie mko kila siku kutandaza chuki zenu humu.
Anyway unakuja mpira mwingine muogelee
Ninajuwa nitakufa, haina ubishi. Lakini kinachonifurahisha ni kuona Magufuli amekufa yeye kabla ya sisi aliotaka tufe kwa kutupiga risasi, kututeka, kutunyang'anya fedha na kutufukuza kazini. Magufuli aliiba uchaguzi wote wa 2020 na akapanga wabunge wake wa kupitisha mabadiliko ya Katiba ili awe Rais wa maisha pale mwaka 2025. Mungu kamuonyesha UKUU wake

Hicho ndicho kinatufurahisha
 
Hii mahakama iliasisiwa na Mwendazake Pombe Magufuli John alipokuwa Rais kwa kulazimisha wa awamu ya tano.
Haipo kikatiba
Haipo kisheria
Haipo kwenye ilani ya chama. Iliasisiwa kwa maono kimo cha mbilikimo! Kwa kutumia nguvu kubwa na maarifa kidogo.

Sikumbuki kuona kesi zilizohukumiwa na hii Mahakama (nakubali kukosolewa). Nyingi ushahidi umekuwa ni changamoto hivyo kufanya zisuesue. Nyingi ni za kisiasa na kukomoana. Nyingine zilikuwa za visasi na kubambikiwa.

Matendo ya Mungu si ya binadamu. Pombe Magufuli hatunaye tena na zimeshatimia siku 100 na ushee toka atwaliwe kutoka maisha haya. Mama Samia Rais wa sasa ameonesha nia njema ya kutofautiana na mtangulizi wake. Walioitwa mafisadi na kupewa kesi kubwa kubwa za uhujumu uchumi wanafutiwa mashtaka na kuachiwa huru.

Waliokuwa wamehukumiwa kisiasa na kulipishwa faini za dhuluma wanarudishiwa pesa zao! Huu ni mwanzo wenye nia njema..Kazi bado ni pevu na kuna mengi ya kuweka sawa. Na mojawapo ya hayo ni hii mahakama ya mafisadi! Tunasubiri kuona hatima yake na hasa ikivunjiliwa mbali na kuokoa kodi zetu

Mama unapitapita huku. Naamini utasoma na hili.
Fisadi ktk ubora wako,
 
Ninajuwa nitakufa, haina ubishi. Lakini kinachonifurahisha ni kuona Magufuli amekufa yeye kabla ya sisi aliotaka tufe kwa kutupiga risasi, kututeka, kutunyang'anya fedha na kutufukuza kazini. Magufuli aliiba uchaguzi wote wa 2020 na akapanga wabunge wake wa kupitisha mabadiliko ya Katiba ili awe Rais wa maisha pale mwaka 2025. Mungu kamuonyesha UKUU wake

Hicho ndicho kinatufurahisha
Una ushahidi gani kwa yote uliyomtuhumu marehemu?
Hearsay!
Kaa utulie ndg yangu Mimi katika Imani yangu wala sifikirii lolote baya alipanga Magufuli.
Wala kutenda, wala kushiriki,
Huyo alikua ni baba mwema tu aliyetaka wanae wakae kwenye mstari.
Nyie mnamwangushia jumba bovu tu.
Kafa sasa mfurahi nyie
Bado hamna furaha.
 
Ninajuwa nitakufa, haina ubishi. Lakini kinachonifurahisha ni kuona Magufuli amekufa yeye kabla ya sisi aliotaka tufe kwa kutupiga risasi, kututeka, kutunyang'anya fedha na kutufukuza kazini. Magufuli aliiba uchaguzi wote wa 2020 na akapanga wabunge wake wa kupitisha mabadiliko ya Katiba ili awe Rais wa maisha pale mwaka 2025. Mungu kamuonyesha UKUU wake[emoji818][emoji1545][emoji817]

Imebidi ninukuu yote kama ilivyo[emoji1752]
 
Inahitaji uwe loaded upstairs ndiyo uelewe. Lakini kama wewe ndiyo mmoja wa waliokuwa wanaitwa WANYONGE huwezi kujua uhusika wa Magufuli kwenye hayo matukio. Omba Mungu akupe akili kwanza
 
Asante Mkuu
 
Inahitaji uwe loaded upstairs ndiyo uelewe. Lakini kama wewe ndiyo mmoja wa waliokuwa wanaitwa WANYONGE huwezi kujua uhusika wa Magufuli kwenye hayo matukio. Omba Mungu akupe akili kwanza
Mkuu we akili unayo hapo ulipo?
Uko loaded upstair wapi wakati unaonekana mtupu tu humo kichwani.
Unajua nyie wajingawajinga sijui hata nani aliwaonyesha keypad muandike utumbo tu duniani.
Unaweza kukuta wewe ni graduate wa UDSM.
 
MBA Mzumbe University, Postgraduate Diploma in Health Systems Management -Israel
 
Hizi hoja sidhani kama anaweza kuzijibu kwa weledi
Weledi gani,?Hata hamnielewi, kwanini kila siku mada zenu ni kumlaumu Magufuli?
Mtu kashajifia zake nyie mpo tu lawama,lawama mkiulizwa ushahidi hamna..
Kweli kabisa mnakaa kumpa tuhuma mtu za ajabu namna hiyo Mungu anawaona Nyinyi.
Huyu mkubwa mpk siku anakaribia kuondoka kaenda kanisani kuaga.
Kama hayo mnamtuhumu angekuwa kafanya asingesogelea madhabahu.
 
MBA Mzumbe University, Postgraduate Diploma in Health Systems Management -Israel
Mzumbe University chuo cha kufundisha watu kufuga Panya na kulima kabichi,?
Unaenda Israel kujifunza kulima wakati kuna mashamba kibao hapo kwenu Kilombero.
Mara ya mwisho nimefika Mzumbe na kulala nilienda kufwata kingedere na sijui km ulikua umezaliwa.
 
Weledi gani,?Hata hamnielewi, kwanini kila siku mada zenu ni kumlaumu Magufuli?
Mtu kashajifia zake nyie mpo tu lawama,lawama mkiulizwa ushahidi hamna..
Kweli kabisa mnakaa kumpa tuhuma mtu za ajabu namna hiyo Mungu anawaona Nyinyi.
Huyu mkubwa mpk siku anakaribia kuondoka kaenda kanisani kuaga.
Kama hayo mnamtuhumu angekuwa kafanya asingesogelea madhabahu.
Sio lazima ujibu kila kitu vingine viko juu ya uwezo wako.. Hii mada umeona ni ya lini? Na kwanini hutaki aandikwe? Nilisema hutaweza kujibu hoja zake na ndicho kilichotokea
Mtu akiandikwa kwa mabaya usitafute kubishana naye, anzisha mada mbadala ya mazuri yake
 
Mzumbe University chuo cha kufundisha watu kufuga Panya na kulima kabichi,?
Unaenda Israel kujifunza kulima wakati kuna mashamba kibao hapo kwenu Kilombero.
Mara ya mwisho nimefika Mzumbe na kulala nilienda kufwata kingedere na sijui km ulikua umezaliwa.
Hapa ndio upeo wako ulipoishia [emoji23]
 
Back
Top Bottom