Ni nini hatma ya Mahakama ya Mafisadi?

Ni nini hatma ya Mahakama ya Mafisadi?

Mkuu pole sana. Inaonekana maumivu ni makali ila haindoi ukweli kwamba tulikuwa na raisi mwizi na muuaji.
Huna haja ya kunipa pole.
Maumivu yangu ni kumshushia lawama zote mnazojua mtu aliyefariki.
Sidhani hata moja ni ukweli.
Muacheni apumzike huko alipo
 
Huna haja ya kunipa pole.
Maumivu yangu ni kumshushia lawama zote mnazojua mtu aliyefariki.
Sidhani hata moja ni ukweli.
Muacheni apumzike huko alipo
Ni sheria ama kanuni ipi mkuu inanyozuia watu kusemwa wakishakufa? Moja ya tabia ya kutukuka kabisa ya uhai wetu duniani ni kuwa na cha kusemwa baada ya kufa. Wanaokataza marehemu kusemwa wanakosea sana. Ni vizuri akasemwa ili tujifunze kupitia matendo yake. Yaliyo mema tuyachukue na yaliyo mabaya tukwepa kuyarudia.
 
Wewe umetetea ujinga wa Magufuli tu. Kwa hiyo mafisadi au wahujumu uchumi kabla ya Magufuli walikuwa wanashtakiwa Mahakama gani?

Hiyo division ilikuwa ni UNWANTED kwa kuwa tayari mfumo ulikuwa unapokea mashtaka hayo na watu wanahumumiwa kama Yona na Mramba.
Unatakiwa ufahamu Magu hakuleta hilo wazo bali ni watangulizi wake, yeye alichofanya ni sawa na kile cha kuhamia Dodoma tu.

Acha hisia mseto tuliza akili ujifunze Mkuu, kukaza kichwa hakukusaidii kitu. Kuwepo kwa hizi divisheni ni muhimu sana sababu pia zinafanya tunakuwa na Majaji waliobobea kwenye maeneo husika.

Sio kila Jaji anaweza kuwa mbobezi kwenye eneo fulani la sheria. Na ubobezi ni swala muhimu maana hata maamuzi yanakuwa na mashiko zaidi.

Ukiwaza kwa mapana utaona faida ya hizi divisheni za Mahakama Kuu, unless uwe unataka ubishani jambo ambalo sitalifanya hapa Mkuu.
 
Utakufa pia mkuu,
Mark my word
Nitakufa kweli ila siwezi kuacha wanadamu wananilaumu kwa kuwatesa. Au hujajiuliza kwa nini hakuna nyuzi za kumlaani Mkapa ambaye wamepishana miezi tu kufariki?

A H Mwinyi anasema maisha ni kitabu, kwa hiyo tenda mema ili watu wakukumbuke kwa wema wako
 
Weka ushahidi tuone ni nani alileta hilo wazo siyo mnatetea tu madudu ya magufuli kwa vile mlikuwa MNAMUABUDU
 
Nitakufa kweli ila siwezi kuacha wanadamu wananilaumu kwa kuwatesa. Au hujajiuliza kwa nini hakuna nyuzi za kumlaani Mkapa ambaye wamepishana miezi tu kufariki?

A H Mwinyi anasema maisha ni kitabu, kwa hiyo tenda mema ili watu wakukumbuke kwa wema wako
Linalofanya mnahangaika na Jiwe aliwapa za uso.
Hao umetaja wana mambo yao ambayo tukianza kukumbushana hapa itakua kazi.
At least jiwe alijitahidi kufanya anavyoweza kutunyoosha ingawa nchi nayo ngumu sana akafa.
 
Kama Jiwe alitupa za uso mbona katema yeye bungo sasa? Nenda kachimbe kaburi lako karibu naye huko Chato
 
Tunawazungumzia mahayati Goliath,Mosses na Yuda Iscariot mpaka leo na hata kesho ndio maana tunasoma historia tujifunze makosa na mafanikio ya wa kale
Tatizo ni wabovu sana kwenye historia zenu na hamjui hata kulinganisha watu.
 
Sasa watuhumiwa wote wako mtaani unataka nini tena?
Plea bargain iliwekwa mshaloloma kwamba kwanini iliwekwa sijui hela hazionekani.
Hivi ingekua mwendazake angetaka hao mafisadi waoze jela kungekua na plea bargain?
Mbabwabwaja sana sababu mnajua kafa hawezi kuwajibu ila Mungu yupo atawapa majibu matamu tu.
Focus kwenye mambo yako ya uganga wa kienyeji ikusaidie kutafta hela ya kula sio kumshambulia marehemu tu
Kwani kabla ya yeye MAGUFULI kufariki ni watuhumiwa wangapi walihukumiwa na Mahakama hii ya MAFISADI?
 
Hizo zilikuwa mbinu za kujipatia pesa maana hakuna hata MTU mmoja kahukumiwa kwa wizi wa kuiba hela za umma.
 
Yule Baba Jamani Alijua Kucheza Na Akili Za Watu Hasa Alipoweza Kumtumbua Senior Officer Wa Jeshi La Police, Ernest Mangu Halafu Akamteulia Simon Nyankoro Siro Kuwa Iigiipii Wa Geshi La Police Akasema Kaeni Ofisi Moja Mtulie

Mzilankende Juu Juu Juu
 
Hizo zilikuwa mbinu za kujipatia pesa maana hakuna hata MTU mmoja kahukumiwa kwa wizi wa kuiba hela za umma.
Magufuli wa evil hata Shetani mwenyewe alimuogopa. Unarundika watu rumande kwa sababu tu wanakuzidi fedha? Serious?

Kama wale matajiri walikuwa na hatia kwa nini basi kwa miaka yote 3 ya uwapo wa Mahakama ya mafisadi, hatukuona hata mtuhumiwa yeyote akikutwa na hatia?

Akaishia kuanzisha plea bargain ya mchongo. Watuhumiwa wote walikuwa wanatoa 80% ya fedha kwa Biswalo na Magufuli halafu 20% ndiyo ilikuwa inaingia vitabu vya Serikali.

Muulizeni Wankyo Simon alikuwa ndiye kinara wa kitengo hiki
 
Hii mahakama ya mafisadi Ingekuwa active kama mafisadi wangekuwa ni wapinzani.Aliianzisha bila kuwaza wateja wake wakuu wangekuwa ndugu zake ccm.
Nia yake Magufuli ilikuwa baada ya kuweka wabunge wake Bungeni alitaka ashinikize sheria zirekebishwe ili hata wale wanaolindwa na sheria kwamba wasishitakiwe waweze kushitakiwa ,

Hiyo ndio ilikuwa nia yake lakini bahati haikuwa upande wake ,

Believe me alikuwa anaenda kufanya hivyo ,👁
 
Back
Top Bottom