Ni nini hatma ya Mahakama ya Mafisadi?

Ni nini hatma ya Mahakama ya Mafisadi?

Hii mahakama iliasisiwa na Mwendazake Pombe Magufuli John alipokuwa rais kwa kulazimisha wa awamu ya tano..!
Haipo kikatiba
Haipo kisheria
Haipo kwenye ilani ya chama...! Iliasisiwa kwa maono kimo cha mbilikimo! Kwa kutumia nguvu kubwa na maarifa kidogo...!

Sikumbuki kuona kesi zilizohukumiwa na hii mahakama..(nakubali kukosolewa).. Nyingi ushahidi umekuwa ni changamoto hivyo kufanya zisuesue.. ! Nyingi ni za kisiasa na kukomoana..!!! Nyingine zilikuwa za visasi na kubambikiwa...!!!

Matendo ya Mungu si ya binadamu... Pombe Magufuli hatunaye tena ... Na zimeshatimia siku 100 na ushee toka atwaliwe kutoka maisha haya...!!!...Mama samia rais wa sasa ameonesha nia njema ya kutofautiana na mtangulizi wake... Walioitwa mafisadi na kupewa kesi kubwa kubwa za uhujumu uchumi wanafutiwa mashtaka na kuachiwa huru...!
Waliokuwa wamehukumiwa kisiasa na kulipishwa faini za dhuluma wanarudishiwa pesa zao! Huu ni mwanzo wenye nia njema..Kazi bado ni pevu na kuna mengi ya kuweka sawa... Na mojawapo ya hayo ni hii mahakama ya mafisadi! Tunasubiri kuona hatima yake na hasa ikivunjiliwa mbali na kuokoa kodi zetu!
Mama unapitapita huku.. Naamini utasoma na hili!!!!!
Hatima ya mafisadi ni Katiba Mpya
Mafisadi ni sisiem na sisiem ni mafisadi sasa nani wa kumpeleka mwenzie mahakamani
Ile ya kusema upinzani ni mafisadi ni kuyumbisha akili za wananchi lakini wenye kufaidi keki ya Taifa ni sisiem wenye kufaudu wake za watu aka Including wale kumi na kenda mjengoni ni sisiem wenye kuendesha V8 ni sisiem akina rosti azizii ni sisiem

Katiba Mpya ndio suluhu ya upumbafu huu
 
ufisadi sio kuiba pesa za umma tu. hata kutumia vibaya Kodi na rasilimali za umma ni ufisadi, kwa akili ndogo tu unaweza kujenga ikulu nyingine ya bilioni 500 na ushehe huku wanafunzi wanakosa vyoo na madarasa?Nao ni ufisadi
 
Hakuna mafisadi Tanzania. Magufuli alikuwa anavika na kuwabambikia tu watu ufisadi. Waliobambikiwa ufisadi katika awamu ya tano sasa wako huru, tuko nao pamoja tunalijenga taifa. Kazi iendelee tulipoishia.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Hii mahakama iliasisiwa na Mwendazake Pombe Magufuli John alipokuwa Rais kwa kulazimisha wa awamu ya tano.
Haipo kikatiba
Haipo kisheria
Haipo kwenye ilani ya chama. Iliasisiwa kwa maono kimo cha mbilikimo! Kwa kutumia nguvu kubwa na maarifa kidogo.

Sikumbuki kuona kesi zilizohukumiwa na hii Mahakama (nakubali kukosolewa). Nyingi ushahidi umekuwa ni changamoto hivyo kufanya zisuesue. Nyingi ni za kisiasa na kukomoana. Nyingine zilikuwa za visasi na kubambikiwa.

Matendo ya Mungu si ya binadamu. Pombe Magufuli hatunaye tena na zimeshatimia siku 100 na ushee toka atwaliwe kutoka maisha haya. Mama Samia Rais wa sasa ameonesha nia njema ya kutofautiana na mtangulizi wake. Walioitwa mafisadi na kupewa kesi kubwa kubwa za uhujumu uchumi wanafutiwa mashtaka na kuachiwa huru.

Waliokuwa wamehukumiwa kisiasa na kulipishwa faini za dhuluma wanarudishiwa pesa zao! Huu ni mwanzo wenye nia njema..Kazi bado ni pevu na kuna mengi ya kuweka sawa. Na mojawapo ya hayo ni hii mahakama ya mafisadi! Tunasubiri kuona hatima yake na hasa ikivunjiliwa mbali na kuokoa kodi zetu

Mama unapitapita huku. Naamini utasoma na hili.
Hiyo mahakama ilikuwa mihemko ya yule dhalim mwendazake
 
I wish angekuwepo ili nimuulize kuhusu matokeo ya ile tume iliyo ongozwa na "Mjamaa na Comrade" Dr. Bashiru Ally akishirikiana na Wajumbe wake akina Albert Chalamila, kuchunguza mali za chama!

Sijawahi kusikia kuna Kigogo yoyote ndani ya chama akifikishwa kwenye hiyo mahakama kwa ufisadi, ubadhirifu, matumizi mabaya ya madaraka, nk.
Dhalim alikuwa mwongo sana
 
Tusiwe wepesi sana kwa kusahau tulikotoka! Hivi kweli Richmond, EPA, ESCROW n.k haikuwa ufisadi?
Kuna mtu alishawahi kukamatwa na utawala wa Mwenzake kuhusiana na hayo marichmond? Au unaongea tu.
 
Katika vitu vinavyomdhalilisha Harisson Mwakyembe aliyekuwa Waziri wa Sheria na Katiba kwenye Baraza la kwanza la mawaziri la Magufuli ni kutomshauri vizuri Bosi wake kuhusu kutohitajika kwa Mahakama hii.

Hii Mahakama haikupaswa kuwapo kwa vile mfumo uliopo wa Mahakama unakidhi haja ya kila kosa la jinai
 
Ilikuwa mahakama ya michongo
 
Hii mahakama iliasisiwa na Mwendazake Pombe Magufuli John alipokuwa Rais kwa kulazimisha wa awamu ya tano.
Haipo kikatiba
Haipo kisheria
Haipo kwenye ilani ya chama. Iliasisiwa kwa maono kimo cha mbilikimo! Kwa kutumia nguvu kubwa na maarifa kidogo.

Sikumbuki kuona kesi zilizohukumiwa na hii Mahakama (nakubali kukosolewa). Nyingi ushahidi umekuwa ni changamoto hivyo kufanya zisuesue. Nyingi ni za kisiasa na kukomoana. Nyingine zilikuwa za visasi na kubambikiwa.

Matendo ya Mungu si ya binadamu. Pombe Magufuli hatunaye tena na zimeshatimia siku 100 na ushee toka atwaliwe kutoka maisha haya. Mama Samia Rais wa sasa ameonesha nia njema ya kutofautiana na mtangulizi wake. Walioitwa mafisadi na kupewa kesi kubwa kubwa za uhujumu uchumi wanafutiwa mashtaka na kuachiwa huru.

Waliokuwa wamehukumiwa kisiasa na kulipishwa faini za dhuluma wanarudishiwa pesa zao! Huu ni mwanzo wenye nia njema..Kazi bado ni pevu na kuna mengi ya kuweka sawa. Na mojawapo ya hayo ni hii mahakama ya mafisadi! Tunasubiri kuona hatima yake na hasa ikivunjiliwa mbali na kuokoa kodi zetu

Mama unapitapita huku. Naamini utasoma na hili.
Mfumo wetu wa mahakama uliokuwepo ulikuwa unajitosheleza kabisa kushughulikia swala la mafisadi na kilichotakiwa kufanyika ni utashi wa kitaaluma kuufanya ufanye kazi zake vizuri zaidi na kwa weledi zaidi!
Hata hivyo Lucifer JPM ndiye alitakiwa kusulubiwa katika mahakama hiyo ya mafisadi kwa sababu yeye mwenyewe alikuwa kinara wa mafisadi, kuhujumu uchumi mkubwa, jambazi, muuaji wa mazoea tu!
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea Sheitwani hilo kabla halijatumaliza!
 
Sasa watuhumiwa wote wako mtaani unataka nini tena?
Plea bargain iliwekwa mshaloloma kwamba kwanini iliwekwa sijui hela hazionekani.
Hivi ingekua mwendazake angetaka hao mafisadi waoze jela kungekua na plea bargain?
Mbabwabwaja sana sababu mnajua kafa hawezi kuwajibu ila Mungu yupo atawapa majibu matamu tu.
Focus kwenye mambo yako ya uganga wa kienyeji ikusaidie kutafta hela ya kula sio kumshambulia marehemu tu
 
Mahakama ya mchongo
 
I never knew you are this much stupid!
 
648ce4023974700fa4b496aedf177f27.jpg
 
Katika vitu vinavyomdhalilisha Harisson Mwakyembe aliyekuwa Waziri wa Sheria na Katiba kwenye Baraza la kwanza la mawaziri la Magufuli ni kutomshauri vizuri Bosi wake kuhusu kutohitajika kwa Mahakama hii.

Hii Mahakama haikupaswa kuwapo kwa vile mfumo uliopo wa Mahakama unakidhi haja ya kila kosa la jinai

Kichaa anashaurika?![emoji855]
 
Back
Top Bottom