Ndugu
babukijana hivi kichwa chako kimebeba nywele tu? Sidhani kama una akili hata ya kufuzu Shule ya msingi.
Unaowaita mafisadi wako nje wanatembea huru, kwa taarifa yako watu hao walifunguliwa mashtka na Magufuli kati ya mwaka 2016 na 2017. Mpaka Magufuli anakufa 2021 ilikuwa imetimia miaka 4 hadi 5. Pamoja na kuwa na Mahakama specific kwa mafisadi na yeye kuwaweka rumande, lakini hakuna hata mtuhumiwa mmoja aliyekutwa na hatia ya ufisadi. Kama kuna ushahidi wa ufisadi mwaka mmoja tu unatosha kuthibitisha na kum convict mtuhumiwa.
Magufuli àlitawaliwa na HULKA mbaya dhidi ya watu wenye utajiri na hiyo ilimfanya ahisi kila mwenye hela ni FISADI, kumbe FISADI papa ni yeye mwenyewe