Ni nini hatma ya Mahakama ya Mafisadi?

Ni nini hatma ya Mahakama ya Mafisadi?

Upeo gani kwa mada za kipuuzi zinajibiwa kipuuzi
Hapo sasa ni nani anaonekana mpuuzi zaidi? [emoji23] hivi kama unaoga mtoni akaja chizi akachukua nguo zako akakimbia nazo, ukimkimbiza nani ataonekana chizi zaidi?
Una ufahamu finyu sana seriously.. Mada za kipuuzi zinapuuzwa hazijibiwi ukizijibu nawe unakuwa sehemu ya huo upuuzi
 
Kaka Mshana Jr kwa heshima kabisa naomba nikukosoe mambo kadhaa kwa faida ya wote pia.

Kwanza kabisa Mahakama ya Mafisadi ile ni divisheni ya ahakama Kuu, hoja ya kusema.kuwa haipo kikatiba sio kweli kwani Mahakama Kuu imeanzishwa na katiba ya Jamhuri.

Ile Mahakama ya mafisadi jina lake ni Mahakama Kuu divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi. Hivyo ile ni Mahakama Kuu na Mahakama Kuu ni moja tu ila ina divisheni na hukaa sehemu tofauti tofauti nchini.

Pili hii divisheni inayosikiliza kesi za ufisadi imeanzishwa na sheria ya bunge chini ya sheria ya makosa ya uhujumu uchumi na magenge ya uhalifu, hivyo hoja ya kuwa haitambuliki na sheria za nchi sio kweli, hii inatambulika kwani imeanzishwa na sheria ya bunge.

Kuna watu wanafikiri Magufuli ndiye aliyeleta makosa ya uhujumu uchumi kitu ambacho sio kweli kabisa, sababu sheria hiyo ipo tangu miaka ya 1980+ na ile ya utakatishaji fedha ipo tangu miaka ya 2000+

Alichokifanya Magu ni kusema majengo ya Shule ya Sheria yatumiwe kama makao ya hii Mahakama, jambo ambalo pia limewakosesha wanafunzi wa uwakili wasaha wa kujifunza kwa vitendo uendeshaji wa kesi katika mazingira rasmi ya kimahakama. Badala yake wanajifunzia madarasani kwa kupanga meza

Jambo ambalo lipo wazi ni kuwa kuna namna hizi sheria zinazohusika na uhujumu uchumi na ufisadi zinaweza kutumika vibaya na pia weledi ukiwa hafifu hatari ndio huwa kubwa zaidi, ni kweli tunahitaji mabadiliko makubwa ya sheria zaidi ya haya yaliyofanywa kwasasa.

Tuna kesi nyingi za Uhujumu uchumi zinazotokana na makosa ya ujangili ambayo yakisomwa vizuri mtu unakuja kugundua.hayo sio makosa ya uhujumu uchumi kwa dhana pana ya uhujumu.

Mfano, Mganga kakutwa serengeti na mkia wa nyati anapewa uhujumu uchumi, kivipi huu ni uhujumu uchumi? au mkazi wa serengeti katafuta kitoweo cha sungura pori kakamatwa kapewa uhujumu uchumi, ni uhujumu uchumi kivipi?. Hawa watu wameishi maisha yao hivyo karne na karne leo hauwezi waita wahujumu. Ni sawa na kusema wamasai wa Ngoro ngoro ni majangili na wahujumu uchumi kwa sababu wapo ndani ya hifadhi (Hii mada pana), hizi sheria kweli zinatakiwa kubadilika sana na Bunge lifahamu hasa dhamira ni nini zinapotungwa hizi sheria.

Mimi ni hayo tu.
 
Hii mahakama iliasisiwa na Mwendazake Pombe Magufuli John alipokuwa Rais kwa kulazimisha wa awamu ya tano.
Haipo kikatiba
Haipo kisheria
Haipo kwenye ilani ya chama. Iliasisiwa kwa maono kimo cha mbilikimo! Kwa kutumia nguvu kubwa na maarifa kidogo.

Sikumbuki kuona kesi zilizohukumiwa na hii Mahakama (nakubali kukosolewa). Nyingi ushahidi umekuwa ni changamoto hivyo kufanya zisuesue. Nyingi ni za kisiasa na kukomoana. Nyingine zilikuwa za visasi na kubambikiwa.

Matendo ya Mungu si ya binadamu. Pombe Magufuli hatunaye tena na zimeshatimia siku 100 na ushee toka atwaliwe kutoka maisha haya. Mama Samia Rais wa sasa ameonesha nia njema ya kutofautiana na mtangulizi wake. Walioitwa mafisadi na kupewa kesi kubwa kubwa za uhujumu uchumi wanafutiwa mashtaka na kuachiwa huru.

Waliokuwa wamehukumiwa kisiasa na kulipishwa faini za dhuluma wanarudishiwa pesa zao! Huu ni mwanzo wenye nia njema..Kazi bado ni pevu na kuna mengi ya kuweka sawa. Na mojawapo ya hayo ni hii mahakama ya mafisadi! Tunasubiri kuona hatima yake na hasa ikivunjiliwa mbali na kuokoa kodi zetu

Mama unapitapita huku. Naamini utasoma na hili.
Nyie mnaandika kama vile kifo kitamtembea Magu tu au mmefanya jambo la maana kwenye hii dunia.
Hata hivyo tatizo ni upeo mdogo.
 
Hapo sasa ni nani anaonekana mpuuzi zaidi? [emoji23] hivi kama unaoga mtoni akaja chizi akachukua nguo zako akakimbia nazo, ukimkimbiza nani ataonekana chizi zaidi?
Una ufahamu finyu sana seriously.. Mada za kipuuzi zinapuuzwa hazijibiwi ukizijibu nawe unakuwa sehemu ya huo upuuzi
Nawewe ushajibu upuuzi tena,
Tuongee mengine kwasasa haina maana kujadili hoja haina mashiko
 
Weledi gani,?Hata hamnielewi, kwanini kila siku mada zenu ni kumlaumu Magufuli?
Mtu kashajifia zake nyie mpo tu lawama,lawama mkiulizwa ushahidi hamna..
Kweli kabisa mnakaa kumpa tuhuma mtu za ajabu namna hiyo Mungu anawaona Nyinyi.
Huyu mkubwa mpk siku anakaribia kuondoka kaenda kanisani kuaga.
Kama hayo mnamtuhumu angekuwa kafanya asingesogelea madhabahu.
Jiulize na wewe kwanini kila siku ni kumtetea Magufuli, mtu kishajifia
 
Kaka Mshana Jr kwa heshima kabisa naomba nikukosoe mambo kadhaa kwa faida ya wote pia.

Kwanza kabisa Mahakama ya Mafisadi ile ni divisheni ya ahakama Kuu, hoja ya kusema.kuwa haipo kikatiba sio kweli kwani Mahakama Kuu imeanzishwa na katiba ya Jamhuri.

Ile Mahakama ya mafisadi jina lake ni Mahakama Kuu divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi. Hivyo ile ni Mahakama Kuu na Mahakama Kuu ni moja tu ila ina divisheni na hukaa sehemu tofauti tofauti nchini.

Pili hii divisheni inayosikiliza kesi za ufisadi imeanzishwa na sheria ya bunge chini ya sheria ya makosa ya uhujumu uchumi na magenge ya uhalifu, hivyo hoja ya kuwa haitambuliki na sheria za nchi sio kweli, hii inatambulika kwani imeanzishwa na sheria ya bunge.

Kuna watu wanafikiri Magufuli ndiye aliyeleta makosa ya uhujumu uchumi kitu ambacho sio kweli kabisa, sababu sheria hiyo ipo tangu miaka ya 1980+ na ile ya utakatishaji fedha ipo tangu miaka ya 2000+

Alichokifanya Magu ni kusema majengo ya Shule ya Sheria yatumiwe kama makao ya hii Mahakama, jambo ambalo pia limewakosesha wanafunzi wa uwakili wasaha wa kujifunza kwa vitendo uendeshaji wa kesi katika mazingira rasmi ya kimahakama. Badala yake wanajifunzia madarasani kwa kupanga meza

Jambo ambalo lipo wazi ni kuwa kuna namna hizi sheria zinazohusika na uhujumu uchumi na ufisadi zinaweza kutumika vibaya na pia weledi ukiwa hafifu hatari ndio huwa kubwa zaidi, ni kweli tunahitaji mabadiliko makubwa ya sheria zaidi ya haya yaliyofanywa kwasasa.

Tuna kesi nyingi za Uhujumu uchumi zinazotokana na makosa ya ujangili ambayo yakisomwa vizuri mtu unakuja kugundua.hayo sio makosa ya uhujumu uchumi kwa dhana pana ya uhujumu.

Mfano, Mganga kakutwa serengeti na mkia wa nyati anapewa uhujumu uchumi, kivipi huu ni uhujumu uchumi? au mkazi wa serengeti katafuta kitoweo cha sungura pori kakamatwa kapewa uhujumu uchumi, ni uhujumu uchumi kivipi?. Hawa watu wameishi maisha yao hivyo karne na karne leo hauwezi waita wahujumu. Ni sawa na kusema wamasai wa Ngoro ngoro ni majangili na wahujumu uchumi kwa sababu wapo ndani ya hifadhi (Hii mada pana), hizi sheria kweli zinatakiwa kubadilika sana na Bunge lifahamu hasa dhamira ni nini zinapotungwa hizi sheria.

Mimi ni hayo tu.
Wewe umetetea ujinga wa Magufuli tu. Kwa hiyo mafisadi au wahujumu uchumi kabla ya Magufuli walikuwa wanashtakiwa Mahakama gani?

Hiyo division ilikuwa ni UNWANTED kwa kuwa tayari mfumo ulikuwa unapokea mashtaka hayo na watu wanahumumiwa kama Yona na Mramba.
 
Tushafunga hilo somo,
Endeleeni na tuhuma zenu.
Huyo mtu hana uwezo kuwajibu.
Wewe SI upo unamjibia!! Endelea kujibu tu. Ila kumbuka kuwa ile era ya kupangiana cha kuongea ilizikwa pamoja na magufuli alipokufa mwaka 2021. Wewe endelea kumtetea, sisi tunaendelea kukiwasha.

Basically mnapotokea watetezi kama nyinyi ndiyo tunaelewa kuwa message imekuwa well sent and delivered
 
Wewe SI upo unamjibia!! Endelea kujibu tu. Ila kumbuka kuwa ile era ya kuoangiana cha kuongea ilizikwa pamoja na magufuli alipokufa mwaka 2021. Wewe endelea kumtetea, sisi tunaendelea kukiwasha.

Basically mnapotokea watetezi kama nyinyi ndiyo tunaelewa kuwa message imekuwa well sent and delivered
Utakufa pia mkuu,
Mark my word
 
Kaka Mshana Jr kwa heshima kabisa naomba nikukosoe mambo kadhaa kwa faida ya wote pia.

Kwanza kabisa Mahakama ya Mafisadi ile ni divisheni ya ahakama Kuu, hoja ya kusema.kuwa haipo kikatiba sio kweli kwani Mahakama Kuu imeanzishwa na katiba ya Jamhuri.

Ile Mahakama ya mafisadi jina lake ni Mahakama Kuu divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi. Hivyo ile ni Mahakama Kuu na Mahakama Kuu ni moja tu ila ina divisheni na hukaa sehemu tofauti tofauti nchini.

Pili hii divisheni inayosikiliza kesi za ufisadi imeanzishwa na sheria ya bunge chini ya sheria ya makosa ya uhujumu uchumi na magenge ya uhalifu, hivyo hoja ya kuwa haitambuliki na sheria za nchi sio kweli, hii inatambulika kwani imeanzishwa na sheria ya bunge.

Kuna watu wanafikiri Magufuli ndiye aliyeleta makosa ya uhujumu uchumi kitu ambacho sio kweli kabisa, sababu sheria hiyo ipo tangu miaka ya 1980+ na ile ya utakatishaji fedha ipo tangu miaka ya 2000+

Alichokifanya Magu ni kusema majengo ya Shule ya Sheria yatumiwe kama makao ya hii Mahakama, jambo ambalo pia limewakosesha wanafunzi wa uwakili wasaha wa kujifunza kwa vitendo uendeshaji wa kesi katika mazingira rasmi ya kimahakama. Badala yake wanajifunzia madarasani kwa kupanga meza

Jambo ambalo lipo wazi ni kuwa kuna namna hizi sheria zinazohusika na uhujumu uchumi na ufisadi zinaweza kutumika vibaya na pia weledi ukiwa hafifu hatari ndio huwa kubwa zaidi, ni kweli tunahitaji mabadiliko makubwa ya sheria zaidi ya haya yaliyofanywa kwasasa.

Tuna kesi nyingi za Uhujumu uchumi zinazotokana na makosa ya ujangili ambayo yakisomwa vizuri mtu unakuja kugundua.hayo sio makosa ya uhujumu uchumi kwa dhana pana ya uhujumu.

Mfano, Mganga kakutwa serengeti na mkia wa nyati anapewa uhujumu uchumi, kivipi huu ni uhujumu uchumi? au mkazi wa serengeti katafuta kitoweo cha sungura pori kakamatwa kapewa uhujumu uchumi, ni uhujumu uchumi kivipi?. Hawa watu wameishi maisha yao hivyo karne na karne leo hauwezi waita wahujumu. Ni sawa na kusema wamasai wa Ngoro ngoro ni majangili na wahujumu uchumi kwa sababu wapo ndani ya hifadhi (Hii mada pana), hizi sheria kweli zinatakiwa kubadilika sana na Bunge lifahamu hasa dhamira ni nini zinapotungwa hizi sheria.

Mimi ni hayo tu.
Asante sana Mgeni wa Jiji kwa ukosoaji uliojaa weledi.. Nimeiita jina hilo kwakuwa marehemu mwendazake ndio alituhubiria sana tangu kampeni mpaka ofisini
 
Baada ya kunichamba sana njaa inakuuma sasa [emoji23]
Yah tukale ugali saa hii njaa,ndugu yako bado anabishana kule kumwambia kasomea operesheni za panya😅😅😅.
Hajui km hapa no seriousnes tunachambana na kufurahisha jukwaa tu
 
Yah tukale ugali saa hii njaa,ndugu yako bado anabishana kule kumwambia kasomea operesheni za panya[emoji28][emoji28][emoji28].
Hajui km hapa no seriousnes tunachambana na kufurahisha jukwaa tu
Ana point nyingi muhimu zichukue zitakufaa, haya twende jikoni sasa
 
Nyie mnaandika kama vile kifo kitamtembea Magu tu au mmefanya jambo la maana kwenye hii dunia.
Hata hivyo tatizo ni upeo mdogo.
Tunawazungumzia mahayati Goliath,Mosses na Yuda Iscariot mpaka leo na hata kesho ndio maana tunasoma historia tujifunze makosa na mafanikio ya wa kale
 
Nyie ndo walewale mnapinga tu kilakitu na mnarusha lawama kwa mfu mlivyo wanafki kwasababu tu hayuko hai pumbavu zenu angekuwepo mngekua mmebana matako tu mpk sasa.
We una ushahidi wa hizo pesa alizochukua kwa matajiri?
Nyie watu sijui mmejaza nini huko vichwani.
I stand with JPM mpk mwisho
Mkuu pole sana. Inaonekana maumivu ni makali ila haindoi ukweli kwamba tulikuwa na raisi mwizi na muuaji.
 
Back
Top Bottom