Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,541
- 860,597
Ile mahakama ilianzishwa kwa sababu ya kumkomoa mtu mmoja tu, ENL.. Sasa baada ya kuhamia kwao, haina wa kumshiki kuleHii mahakama iliasisiwa na Mwendazake Pombe Magufuli John alipokuwa rais kwa kulazimisha wa awamu ya tano..!
Haipo kikatiba
Haipo kisheria
Haipo kwenye ilani ya chama...! Iliasisiwa kwa maono kimo cha mbilikimo! Kwa kutumia nguvu kubwa na maarifa kidogo...!
Sikumbuki kuona kesi zilizohukumiwa na hii mahakama..(nakubali kukosolewa).. Nyingi ushahidi umekuwa ni changamoto hivyo kufanya zisuesue.. ! Nyingi ni za kisiasa na kukomoana..!!! Nyingine zilikuwa za visasi na kubambikiwa...!!!
Matendo ya Mungu si ya binadamu... Pombe Magufuli hatunaye tena ... Na zimeshatimia siku 100 na ushee toka atwaliwe kutoka maisha haya...!!!...Mama samia rais wa sasa ameonesha nia njema ya kutofautiana na mtangulizi wake... Walioitwa mafisadi na kupewa kesi kubwa kubwa za uhujumu uchumi wanafutiwa mashtaka na kuachiwa huru...!
Waliokuwa wamehukumiwa kisiasa na kulipishwa faini za dhuluma wanarudishiwa pesa zao! Huu ni mwanzo wenye nia njema..Kazi bado ni pevu na kuna mengi ya kuweka sawa... Na mojawapo ya hayo ni hii mahakama ya mafisadi! Tunasubiri kuona hatima yake na hasa ikivunjiliwa mbali na kuokoa kodi zetu!
Mama unapitapita huku.. Naamini utasoma na hili!!!!!
Hakuna!Kwani tz kuna mafisadi?
Sasa hawa washabiki wa chadema wanaongelea mafisadi wapi?Hakuna!
Mpuuzi kweli yule jamaa.Ukuu wa mkoa wa Comical Albert Chalamila ulitokana na hiyo kamati.Akaanza kuwatukana wazee wake kuwa ni walevi.😝😝😝😝😝I wish angekuwepo ili nimuulize kuhusu matokeo ya ile tume iliyo ongozwa na "Mjamaa na Comrade" Dr. Bashiru Ally akishirikiana na Wajumbe wake akina Albert Chalamila, kuchunguza mali za chama!
Sijawahi kusikia kuna Kigogo yoyote ndani ya chama akifikishwa kwenye hiyo mahakama kwa ufisadi, ubadhirifu, matumizi mabaya ya madaraka, nk.
Ilikuwa ni Kangaroo Court ya kwanza Tanzania na imeonea Wapinzani na Wanachama na Washabiki wa Upinzani.Haipo kikatiba
Haipo kisheria
Angekuwa na dhamira ya kupambana na ufisadi kitambo sana sabaya na bashite wangewarithi seth na ruge ndaniNdio maana kampani ya sabaya inaumia sana sasa hivi ikiona mafisadi wa kweli ndio wanakamatwa na kuchukuliwa hatua stahiki kwa mujibu wa sheria
Yes, ule "mpunga" waliokuwa wanaukusanya ulitegemea wapige kelele wabongo mshtuke!Kimyakimya?
Neno zito Sana Hili,ukimuona muuza karanga hapo karibu mwambie akupimie za buku,Kayafa alikuwa best president for fools not for wise
Sasa hapo umejibu nini mkuu, ufisadi wa EPA na ESCROW huwezi linganisha na ununuzi wa ndege au ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato vitu ambavyo ni mali ya umma.usisahau uwanja wa ndege Chato una harufu kali ya ufisadi + ununuzi wa ndege bila kufuata kanuni!
Nani kafungwa kuhusiana na Ufisadi huo?Tusiwe wepesi sana kwa kusahau tulikotoka! Hivi kweli Richmond, EPA, ESCROW n.k haikuwa ufisadi?
Samia alikua anapelekeshwa tu,alipojaribu kushauri alitukanwa kama mtoto na kuamua kurudi kwao Znz huku akilia.Katika kampeni ya Urais Magufuli akiwa na Samia walituahidi watanzania kuwa wataanzisha mahakama ya mafisadi.
Ahadi ya Wagombea Urais ni swala la kiilani vile vile.
Maono kimo ya mbilikimo😅😅Hii mahakama iliasisiwa na Mwendazake Pombe Magufuli John alipokuwa rais kwa kulazimisha wa awamu ya tano..!
Haipo kikatiba
Haipo kisheria
Haipo kwenye ilani ya chama...! Iliasisiwa kwa maono kimo cha mbilikimo! Kwa kutumia nguvu kubwa na maarifa kidogo...!
Sikumbuki kuona kesi zilizohukumiwa na hii mahakama..(nakubali kukosolewa).. Nyingi ushahidi umekuwa ni changamoto hivyo kufanya zisuesue.. ! Nyingi ni za kisiasa na kukomoana..!!! Nyingine zilikuwa za visasi na kubambikiwa...!!!
Matendo ya Mungu si ya binadamu... Pombe Magufuli hatunaye tena ... Na zimeshatimia siku 100 na ushee toka atwaliwe kutoka maisha haya...!!!...Mama samia rais wa sasa ameonesha nia njema ya kutofautiana na mtangulizi wake... Walioitwa mafisadi na kupewa kesi kubwa kubwa za uhujumu uchumi wanafutiwa mashtaka na kuachiwa huru...!
Waliokuwa wamehukumiwa kisiasa na kulipishwa faini za dhuluma wanarudishiwa pesa zao! Huu ni mwanzo wenye nia njema..Kazi bado ni pevu na kuna mengi ya kuweka sawa... Na mojawapo ya hayo ni hii mahakama ya mafisadi! Tunasubiri kuona hatima yake na hasa ikivunjiliwa mbali na kuokoa kodi zetu!
Mama unapitapita huku.. Naamini utasoma na hili!!!!!
sumu ni sumu tu ili mradi inaua!Sasa hapo umejibu nini mkuu, ufisadi wa EPA na ESCROW huwezi linganisha na ununuzi wa ndege au ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato vitu ambavyo ni mali ya umma.
Umeshindwa kujibu swali la msingi je ni kweli hapakuwa na mafisadi hapa nchini mfano , na hao waliokamatwa awamu ya tano Kama akina Seth wote walionewa?