Na walifanya KAZI ya uwaziri ionekane raisi kupata.. nakumbuka ata Gwajiboy katika hotuba ya ufunguzi wa Bunge, alimwambia Rais ateue yeyote Yule katika wabunge... IMAGINE!?Walishiba wakavimbiwa wakasahau kesho yake, hataivyo mlo walionao leo sihaba.
Kwani huyo bwana ataondoka madarakani lini.
Akileta hizo mambo za rafiki zake akina PK na Mu7, litakuwa ni pigo kubwa sana kuja kuwahi kuikumba Nchi yetu.Kwani huyo mzee wako mliongea naye akakwambia 2025 ataondoka.
Wamepewa fursa ya kudhihirisha umahiri wao wa kuwa viongozi mahiri wasiotegemea 'mfumo' kuwanyanyua na kuwaweka kwenye uongozi.Kama ndoto eti kwa mara nyingine miamba iliyokuwa ikichipuka kwa kasi kuelekea kwenye kilele cha kufanikiwa kisiasa ipo nje tena kwenye mfumo.Si Wajumbe wa baraza la mawaziri tena.Wametoswa.
Sote tunatambua sababu hasa kilicho wafanya wawe nje ya mfumo.
Kama hali hiyo itaendelea hivyo kwa wao kuendelea kuwa mbali na mfumo ilhali ndoto zao na matamanio yao hayakuwa hayo je ni nini hatma ya wanaume hao waliopata ajali ya kisiasa ya kujitakia?!
Ni kweli Magufuli aliwasamehe kwa dhati?!
Na kama aliwasamehe kwa dhati kwa nini japo mmojawao hakumteua kuwa sehemu ya baraza lake la mawaziri?
NI IPI HATIMA YA HAO?!
Hiyo ni katiba,yeye anasemaje kwani.Katiba inasema mihula ni miwili kwa kila rais hivyo 2025, huyu pia atampisha anayekuja.
Hakuna uchaguzi mwaka huo take it from meWasubirie 2025 baada ya huyo Mzee wako kumaliza muda wake wa utawala.
I guess too....Hakuna uchaguzi mwaka huo take it from me
Siasa za Tanzania hazina kanuni
Ila kwa uzoefu wangu mdogo naamini Rais ajae anaweza kuwapa fursa kwa kuwa Serikal ya Rais Magufuli kwny ngazi ya Cabinet imeshindwa kuzalisha Mawaziri Wanasiasa kwa kuwa Mfumo wa Rais wa Sasa hataki Mawaziri wanasiasa ndio sababu Mawaziri wengi hasa wa awamu yake ya pili sio Wanasiasa ki talent
Rais ajae anaweza kuwaibua hawa kama JPM alivyomuibua Hussein Bashe ambae hakutakiwa kabisa kwny Utawala wa JK
Jk aliwarudisha Kundini kina Samuel Sitta ambao walipotezwa wakati wa Mkapa
Watakuja kuibuka tu at the right time. Ndivyo siasa zilivyo
Huoni watu kama Kabudi na Bashiru Ally Kakurwa wameibuliwa tu ghafla kutokea “jalalani”?
Mungu atafanya vile atakavyoHakuna uchaguzi mwaka huo take it from me
Walizaliwa kuwa kwenye siasa? Wote wamekuwa kwenye siasa kwa migongo ya baba zao, sasa sioni shida, sema kwa vile hawana kazi yoyote ya taaluma yao.
Huwa namuelewa sana ndugu January.
Hopeful the light will shin on him, again!