Ni nini hatma ya January na Nape katika siasa za Tanzania?

Walishiba wakavimbiwa wakasahau kesho yake, hataivyo mlo walionao leo sihaba.
Na walifanya KAZI ya uwaziri ionekane raisi kupata.. nakumbuka ata Gwajiboy katika hotuba ya ufunguzi wa Bunge, alimwambia Rais ateue yeyote Yule katika wabunge... IMAGINE!?
 
Kama ndoto eti kwa mara nyingine miamba iliyokuwa ikichipuka kwa kasi kuelekea kwenye kilele cha kufanikiwa kisiasa ipo nje tena kwenye mfumo.Si Wajumbe wa baraza la mawaziri tena.Wametoswa.

Sote tunatambua sababu hasa kilicho wafanya wawe nje ya mfumo.

Kama hali hiyo itaendelea hivyo kwa wao kuendelea kuwa mbali na mfumo ilhali ndoto zao na matamanio yao hayakuwa hayo je ni nini hatma ya wanaume hao waliopata ajali ya kisiasa ya kujitakia?!

Ni kweli Magufuli aliwasamehe kwa dhati?!

Na kama aliwasamehe kwa dhati kwa nini japo mmojawao hakumteua kuwa sehemu ya baraza lake la mawaziri?

NI IPI HATIMA YA HAO?!
Wamepewa fursa ya kudhihirisha umahiri wao wa kuwa viongozi mahiri wasiotegemea 'mfumo' kuwanyanyua na kuwaweka kwenye uongozi.

Hawa tunaowaona sasa hivi waliopitia kwenye 'mfumo' tunaona mapungufu yao makubwa katika uongozi, kwa sababu sio viongozi, ni watu tu walionyanyuliwa na huo 'mfumo' na kuwekwa hapo.

Hawa Makamba, Nape na wengine, wakionyesha uimara wao wa uongozi, hata mfumo utarudi na kuwainua.

Nchi imefika hapa kwa kuwepo ombwe la uongozi kwa sababu tumetegemea sana 'mfumo'; kauli za "huyu ni mwenzetu." Hii ni lazima isitishwe kama taifa hili litaondoka hapa kwenda mbele.
 
Siasa za Tanzania hazina kanuni

Ila kwa uzoefu wangu mdogo naamini Rais ajae anaweza kuwapa fursa kwa kuwa Serikal ya Rais Magufuli kwny ngazi ya Cabinet imeshindwa kuzalisha Mawaziri Wanasiasa kwa kuwa Mfumo wa Rais wa Sasa hataki Mawaziri wanasiasa ndio sababu Mawaziri wengi hasa wa awamu yake ya pili sio Wanasiasa ki talent

Rais ajae anaweza kuwaibua hawa kama JPM alivyomuibua Hussein Bashe ambae hakutakiwa kabisa kwny Utawala wa JK

Jk aliwarudisha Kundini kina Samuel Sitta ambao walipotezwa wakati wa Mkapa
 
Siasa za Tanzania hazina kanuni

Ila kwa uzoefu wangu mdogo naamini Rais ajae anaweza kuwapa fursa kwa kuwa Serikal ya Rais Magufuli kwny ngazi ya Cabinet imeshindwa kuzalisha Mawaziri Wanasiasa kwa kuwa Mfumo wa Rais wa Sasa hataki Mawaziri wanasiasa ndio sababu Mawaziri wengi hasa wa awamu yake ya pili sio Wanasiasa ki talent

Rais ajae anaweza kuwaibua hawa kama JPM alivyomuibua Hussein Bashe ambae hakutakiwa kabisa kwny Utawala wa JK

Jk aliwarudisha Kundini kina Samuel Sitta ambao walipotezwa wakati wa Mkapa

..kweli.

..ila wanachotakiwa kufanya ni kum-support Raisi atakayemfuatia Magufuli.

..wanatakiwa wafanye hivyo toka mwanzo kabisa, sio wawe "ma-johnny come lately."

..Samuel Sitta alirudishwa kundini kwasababu alianza kum-support JK tangu mwaka 1995.
 
It won't, ameshatupwa nje ya mfumo, 2025 hatakuwepo kwenye mbio za urais na akiukosa hapo ajipange baada ya miaka 10 tena.
Huwa namuelewa sana ndugu January.

Hopeful the light will shin on him, again!
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Yaan ni mkadili mtu anayekula ugali na kuku ya kukaanga ilihali mimi nakula kiporo cha ugali na nyanya chungu a.k.a ngogwe . Mm nitakuwa nitachelewa kuwasemea hatma yao
 
Back
Top Bottom