Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 9,732
- 10,813
Kwisha habari yake...Mtandao wa January kuutaka Urais ni mkubwa kuuvunja ni kazi sana.
Cheza karata nyingine.
Kwisha habari yake...Mtandao wa January kuutaka Urais ni mkubwa kuuvunja ni kazi sana.
Kwani kuwa WABUNGE Haitoshi mpaka wawe na Vyeo Vingine Watulie na Ubunge Wao wahangaike na Wananchi kwenye Majimbo yao KUTATUA matatizo yaoKama ndoto eti kwa mara nyingine miamba iliyokuwa ikichipuka kwa kasi kuelekea kwenye kilele cha kufanikiwa kisiasa ipo nje tena kwenye mfumo.Si Wajumbe wa baraza la mawaziri tena.Wametoswa.
Sote tunatambua sababu hasa kilicho wafanya wawe nje ya mfumo.
Kama hali hiyo itaendelea hivyo kwa wao kuendelea kuwa mbali na mfumo ilhali ndoto zao na matamanio yao hayakuwa hayo je ni nini hatma ya wanaume hao waliopata ajali ya kisiasa ya kujitakia?!
Ni kweli Magufuli aliwasamehe kwa dhati?!
Na kama aliwasamehe kwa dhati kwa nini japo mmojawao hakumteua kuwa sehemu ya baraza lake la mawaziri?
NI IPI HATIMA YA HAO?!
..kweli.
..ila wanachotakiwa kufanya ni kum-support Raisi atakayemfuatia Magufuli.
..wanatakiwa wafanye hivyo toka mwanzo kabisa, sio wawe "ma-johnny come lately."
..Samuel Sitta alirudishwa kundini kwasababu alianza kum-support JK tangu mwaka 1995.
wacha weeHuwa namuelewa sana ndugu January.
Hopeful the light will shin on him, again!
Finally things are settled out, J. Makamba back in the game. As long as unaishi Duniani then just know the game is not over yet, anything can happen. Huwaga ni suala la muda tu. Hatima yao bado hatujaijua but for now one of them kawa WaziriKama ndoto eti kwa mara nyingine miamba iliyokuwa ikichipuka kwa kasi kuelekea kwenye kilele cha kufanikiwa kisiasa ipo nje tena kwenye mfumo.Si Wajumbe wa baraza la mawaziri tena.Wametoswa.
Sote tunatambua sababu hasa kilicho wafanya wawe nje ya mfumo.
Kama hali hiyo itaendelea hivyo kwa wao kuendelea kuwa mbali na mfumo ilhali ndoto zao na matamanio yao hayakuwa hayo je ni nini hatma ya wanaume hao waliopata ajali ya kisiasa ya kujitakia?!
Ni kweli Magufuli aliwasamehe kwa dhati?!
Na kama aliwasamehe kwa dhati kwa nini japo mmojawao hakumteua kuwa sehemu ya baraza lake la mawaziri?
NI IPI HATIMA YA HAO?!
Hiyo inaitwa the return of undertaker! Mwisho wa hao jamaa kisiasa ni mmoja kuwa Rais mwingine waziri mkuu! Tusubiri 2030!!Finally things are settled out, J. Makamba back in the game. As long as unaishi Duniani then just know the game is not over yet, anything can happen. Huwaga ni suala la muda tu. Hatima yao bado hatujaijua but for now one of them kawa Waziri
FrankensteinHiyo inaitwa the return of undertaker! Mwisho wa hao jamaa kisiasa ni mmoja kuwa Rais mwingine waziri mkuu! Tusubiri 2030!!
Naam mkuuwacha wee