Ni nini hasa kazi na umuhimu wa kuvaa nguo za ndani?

Sikiliza "umuhimu wa kuvaa saa mkononi alafu una simu nini?,"
Lengo kubwa ni kujisitiri inayojengwa na mazoea .
Mazoea kama ni mazuri haina shida .
kwahiyo miongoni mwa malengo ya hiyo kitu ni kujisitiri. Yes,well and good..

kujisitiri na nini sasa?

naona unakuja visuri tu 🐒
 
Chimbuko Eden Mungu alipomuita Adam badala ya kula tunda, ndipo Adamu na hawa kutafuta majani na kutengeneza chupi ya majani na kujistiri.!! Hope umeridhika na jibu langu mujarabu
Yes💪
naona unakuja vizuri sana japo unasita sita ila una kitu 🐒

Yes kujisitiri, lakini unajisitiri kuzuia nin kwa mfano 🐒
 
sema umeongoka kutoka kwenye upotofu 🐒

Mungu akubariki sana kwa kuongoka
Nimeokoka bana

Nina siri naye Yesu
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Kwa amani) Kwa amani nayo dhiki
(Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
(Hosana) Hosana, Amen
(Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka
Nikiimba Hosana, Amen
 
Back
Top Bottom