maelezo yamejitosheleza ndugu ni wewe sasa kufanya kwa vitendoelezea tipate kujua na kujifunza. au ndio ile umepewa majibu lakini hujui kusoma wala kuandika
Sawa mkuu...watakujibu wengine🙏🏽umuhunu kwa ke ni upi hasa
Chimbuko Eden Mungu alipomuita Adam badala ya kula tunda, ndipo Adamu na hawa kutafuta majani na kutengeneza chupi ya majani na kujistiri.!! Hope umeridhika na jibu langu mujarabulakini bado hujasema kabisa chimbuko, wala umuhimu wa hiyo kitu na huenda unayo
habari yako binti yanguSawa mkuu...watakujibu wengine🙏🏽
Sikiliza "umuhimu wa kuvaa saa mkononi alafu una simu nini?,"umekwamia hapo na umeivaa...
yaan umebeba majibu kabisa halafu unashundwa kuyaeleza
Umeshindaje Baba?habari yako binti yangu
kwahiyo miongoni mwa malengo ya hiyo kitu ni kujisitiri. Yes,well and good..Sikiliza "umuhimu wa kuvaa saa mkononi alafu una simu nini?,"
Lengo kubwa ni kujisitiri inayojengwa na mazoea .
Mazoea kama ni mazuri haina shida .
Yes💪Chimbuko Eden Mungu alipomuita Adam badala ya kula tunda, ndipo Adamu na hawa kutafuta majani na kutengeneza chupi ya majani na kujistiri.!! Hope umeridhika na jibu langu mujarabu
sana kinachohitajika ni utayari na uthubutukwahiyo ni zoezi la vitendo kibubububu tu halina maneno 🐒
Kuna kitu unatafuta nikidadavue na mi sitaki nimeokoka ss hivi 😂Yes💪
naona unakuja vizuri sana japo unasita sita ila una kitu 🐒
Yes kujisitiri, lakini unajisitiri kuzuia nin kwa mfano 🐒
usifiche kitu,Niliitwa (XxxJinaXx) tako
Kama si baba yangu kuhamishwa kikazi nilikuwa naelekea kupitia mengi sana
Wakuu
Tuvae nguo za ndani 😁
MUNGU ni mwema..mvua mvua kidogo yote heri joto lina pungua na heri kwa maeneo ya vilimo piaUmeshindaje Baba?
Nimeokoka banasema umeongoka kutoka kwenye upotofu 🐒
Mungu akubariki sana kwa kuongoka