Ni nani yuko nyuma ya Polepole?

Calculation
Script
Lowasa
MremaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
Uwezo wa watanzania kufikiri ni mdogo sana wana vichwa vikubwa akili ni punje ya limao
 
2 Wakorintho 5:17
[17]Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya.
 
Wawaonye vibaraka na chawa wao kama kina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah na kina Mengele wasimjibu huyo Polepole.

Zaidi zaidi watazidisha fukuto tu, maana kwa namna uchaguzi wa ndani unavyoendelea wengi hawana imani na chama chao.

Maza alisema hajatuma mtu, ila ni wazi katuma watu.
 
Mkubwa wa kazi

Hivi ni kweli mwalimu aliahirisha yeye mwenyewe kwa ridhaa yake kutokuchukua fomu ya ubunge hapo Namungo?
 
astala victoria siem-pre my friends, ladies and gentlemen.

there is no an individual person who is powerful than the rulling party or the country at large.

Tell your friends, relatives and your families that CCM will rule this country a millenniums to come πŸ’
 
Kwa aliyoyasema na kwa hali ilivyo unadhani atarudi nchini kweli?
Kwa nini asirudi? Tunahitaji zaidi kuwa 'unity in diversity' kuliko kuwa 'unity in uniformity'. Tujifunze kuona kwamba 'we are equal, but different'. Kama hatuoni hivyo, then tutaendelea kutazama bila kuona, kusikiliza bila kusikia, na mambo mengi yanayofanana na haya.
 
Kabisa kabisa .
 
Anawafahamu vema aliowasema
 
Hafrey kapiga kwa kushtukiza halafu kwenye chembe ya motoπŸ˜€
 
Mama Samia Suluhu Hassan: Kiongozi Jasiri, Mwenye Maono Anayeibadilisha Elimu ya Tanzania

Mama Samia Suluhu Hassan ni kiongozi wa kipekee ambaye ameonesha kwa vitendo kuwa elimu ni msingi wa maendeleo ya kweli ya Taifa.

β€œKazi na utu tunasongambele”
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…